Madam Principle
Member
- Aug 3, 2016
- 16
- 6
Ahsante Mkuu Tutor BHeshima kwako Madam Principle
Ahsante Mkuu Tutor BHeshima kwako Madam Principle
Na inawezekana hapo alipo melogwa lakn hajui kama amelogwa....... Sky EclatInawezekana uliwahi kulogwa lakini hukulogeka vizuri
Acha kutumia jina LA Tbjoshua ili update watu ,tbjoshua hana huduma wala mwanafunzi aliyempa eneo LA kufanyia huduma ,,huduma yake inapatikana Lagos Nigeria ikotun igbe,acha ulagai ,,,mimi ni mmoja ya wainjilist wake na ,hakuna kitu kama hicho ,,acha ulagai ,hell and heaven is there cjui unataka uingie wapi wapi,,,,
...mkuu wewe upo Nigeria au unafanyia wapi uinjilisti wako..? maana na wewe unajiita mwinjilisti wa Tb Joshua....
Dah...Shukrani??[emoji15]Kwa taarifa yako mwombaji huyo; ni mtu mwenye pesa zake wala hachukui hata sadaka ya mtu, wanaoombewa wakapona ndo wanapeleka shukrani.
Hiyo hotel iko MWANZA sehemu gani na room namba gani tafadhali? Mie niende nikapate deliverance maana mie naamini bado wapakwa mafuta Wa Bwana wapo. Asante.Ndiyo.. maombi ni popote pale Bwana atakapokuonesha
Umesoma hilo tangazo? Ni kila siku za Jumapili na Jumatano ... ukumbi wa juu (Flypark Hotel) Iko Iloganzala barabara iendayo uwanja wa ndege.Hiyo hotel iko MWANZA sehemu gani na room namba gani tafadhali? Mie niende nikapate deliverance maana mie naamini bado wapakwa mafuta Wa Bwana wapo. Asante.
Napafahamu sana hapo ukitoka Pasiansi kabla hujafika sabasaba karibu na maji taka kushoto hapo. VP kuhusu Anointing water anayo pia?? AsanteUmesoma hilo tangazo? Ni kila siku za Jumapili na Jumatano ... ukumbi wa juu (Flypark Hotel) Iko Iloganzala barabara iendayo uwanja wa ndege.
Hayo maji ni Yale ya TB Joshua au ya kwake tuuu? Na yanauzwa bei gani au ni free deliverance mkuu?Yapo pia mkuu, ni kila kitu kwa msaada wa Bwana!
Mkuu ni ushauri wangu tu ikiwa huduma hii mnahitaji watu wasike neno la Mungu kwanini mnang'ang'ania mjini ambapo idadi kubwa ya watu wameshasikia habari njema ya wokovu? Unaonaje ukiongea na TB Joshua ili huduma hiyo muielekeze Itilima ambapo watu wengi bado hawajaamini? Achaneni na flypark hotel pelekeni huduma Yenu Simiyu mtabarikiwa.Umesoma hilo tangazo? Ni kila siku za Jumapili na Jumatano ... ukumbi wa juu (Flypark Hotel) Iko Iloganzala barabara iendayo uwanja wa ndege.
Habari waungwana!
Leo asubuhi nimebahatika kumtembelea Muombaji ambaye ni mwanafunzi wa TB Joshua. Niliwapeleka mambinti 2 kwa ajili ya kuombewa. Maajabu niliyoyaona sijawahi kuona tangu nimezaliwa.
Binti wa kwanza aliongea maneno mengi lakini alipojitambua hakujua nini kilikuwa kinaendelea. Katika baadhi ya maneno alosema ni hivi "sitaki asome ndiyo maana nilimwibia madaftari yake usiku, wakati wa vipindi nitakuwa namficha chooni"
Huyo binti nilipomuuliza kama kweli madaftari yake yalipotea akasema kweli yaliibiwa ...
Nikamuuliza kuhusu bibi yake .. akasema ni kweli bibi yake ni mchawi hadi wana kijiji walishataka kumchomea nyumba akakimbilia mjini kwa watoto wake ...
Swali: Hivi wachawi ni kwa nini huwa wanapenda kurudisha maendeleo ya watu wao wa karibu nyuma?
Kwa faida ya wale watakaotaka kwenda kuombewa: Mwombaji huyo yuko Kiseke jijini Mwanza, ila anafanya maombi Fly Park Hotel kila Jumatano na Jumapili. Sikuwahi kuhudhuria Fly Park, natarajia kuanza kwenda wiki hii! Hakika nimeuona mkono wa Bwana kupitia kwa mwanafunzi wa TB Joshua kwa jina anaitwa Zelamula.