Wanyamwezi na wasukuma

Basi jamani akina homeboys/homegirls inatosha ngoja turudi kwenye idhaa ya taifa.
 
i! basi jamani, tunafahamu kwmb hili kabila letu limejaa ukarimu na upendo. ndy maana mkikutana ni vicheko tu. Tuchongeni lugha ya bhose.
 
Tangu uhuru makabila haya yamepigwa chini na makabila madogo madogo!Maendeleo ya mikoa yao yako chini sana,ingawa natural resources nyingi zinatoka huko.Kisiasa tangu akina James Mapalala,Kasanga Tumbo,
Chief Fundikira na Chief Makwaia wapigwe chini na Nyerere ,mikoa hiyo haina uwakilishi kabisa katika maamuzi ya serikali.

Ukiangalia mafisadi wengi wanatoka makabila madogo madogo!Wapinzani wa serikali pia ni kutoka makabila madogo.Mpaka haya makabila yaibuke ,yaseme enough is enough,ufisadi na stupidity ya nchi yetu utaendelea milele.Tujadili!!!!!!!!!!!!!!!!

Mwanamasala suala la natural resources kutoka kanda ya ziwa na mikoa hiyo kubaki nyuma kimaendeleo ni janga la kitaifa maana kama ni madini yanaibiwa na wawekezaji na kuyapeleka kwao na hayachukuliwi kwenda kuendeleza mikoa mingine kiasi cha wewe kulalamika hivyo. Kuhusu suala la mafisadi mimi nafikiri ungeshukuru kuwa mikoa ya usukumani haina mafisadi wengi japo wako kama akina Chenge.
 
i! basi jamani, tunafahamu kwmb hili kabila letu limejaa ukarimu na upendo. ndy maana mkikutana ni vicheko tu. Tuchongeni lugha ya bhose.

Sawasawa gete wa namhala.
Turudi Nyerere Road (former Pugu road) sasa kule idhaa yetu ya taifa.
 
Mwanamasala kiongozi gani wa kisukuma sasa hivi anayeweza kuongoza nchi kwa mkono wa chuma?
 
Mimi nagisikia kwiimba.

"Mwanamugi wolaa - wola naweeeeeee, ee, wola!
mwanamugi wolaa - wola naweeeeeeee, ee, wola!
Karibuu tusenseme - sensema marunde sensemaaaa, sensemaaaa!
Karibu tusenseme - sensema marunde sensemaaaaa, sensemaaaa!
 
I am proud of:
Chief Abdallah Fundikira
Balozi Christopher Kasanga Tumbo
Joseph Kasella Bantu
James Mapalala

Hawa ndio walijaribu kuleta demokrasia,lakini Saint Nyerere aliwakaba koo!
 
Mkuu,
Wanyamwezi huwa tuna kaushamba fulani. Utaona jitu limesoma ila bado halijaelimika. Sidhani kama Mnyamwezi akipewa nchi tutafika mbali.

Nakubaliana na wewe tu kitu kimoja kuwa, Wanyamwezi wa Kaskazini (Wasukuma) na Wale wa Kusini (Wadakama) kama tungeliungana na kutunga WARAKA wetu wa uchaguzi, basi tungelileta mwanga mkubwa sana kwa wananchi. Ingeliwekwa wazi miiko ya viongozi. Tungelikuwa na Wapelelezi wetu na kila kiongozi FISADI, tungelimjadili na kumuumbua hapohapo mbele ya jukwaa na kuwambia apeleke huo uongo wake huko mbali. Na watu kama Chenge na Hosea, basi na wao wangelipewa palepale LIVE. Amini usiamini, makabila mengine yangelituiga na kuanza KUKEMEA ndugu zao (Ila sidhani Wachaga wangelifanya hivyo/Nyantuzu na Wakinga) maana hawa jamaa, mhhhhh.............

Ila la muhimu ni kuwa, mtu gani wachague hilo linaachwa WAZI kwao wenyewe wachague na mtu akijifanya kutumia ukabila kupendekeza fulani achaguliwe, basi tunaMPONDA dawa. Ila option ya kusema "fulani hatumtaki", hiyo inabaki wazi.

Mtu kama Waziri wa Energy, pamoja na kutoka huko, kuna haja gani kuwa naye? Tuko wengi saana na kama tukitumia huo wingi wetu kuirekeisha nchi basi tutafika mbali. Ila la muhimu ni HAKUNA kuoneana aibu. Akija Fisadi mnamtoa BARU.
 
Back
Top Bottom