Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 857
- 2,241
Duuh.....afisa maabara tena? Dogo alifanyaje fanyaje asee🙄🤔Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026.
Polisi tayari imewakamata watuhumiwa wanne kuhusiana na tukio hilo, akiwemo Steven Rogers Chaka (31), mkazi wa Bomang’ombe mkoani Kilimanjaro na Afisa Maabara; Anna Frank Lema maarufu kama “Happines” (30), mfanyabiashara mkazi wa Tabata Chang’ombe; Twalibu Khamis maarufu “Mputo” (23) pamoja na Michael John maarufu “Tambali” (26), wote wakazi wa Kigogo Kati.
Na ana jina la kazi pia, madogo wana umri mdogo sana ila makatili🫢Duuh.....afisa maabara tena? Dogo alifanyaje fanyaje asee🙄🤔
Hatar sana!Nimeangalia ile video ya mwili wa Temba, aisee Wabongo tunazidi kuwa makatili
Yaani unashika kisu una mchinja binadamu mwenzio kama unachinga Kuku/Mbuzi
Na kama hao ndiyo washukiwa, basi watakuwa wametumwa tu hiyo kazi...maana miaka 30 hawezi kuwa na uchumi wa kuweza kuona tusema awe ameibiwa mkeHatar sana!
Kuna mmoja ana 23 hapo Mkuu!Na kama hao ndiyo washukiwa, basi watakuwa wametumwa tu hiyo kazi...maana miaka 30 hawezi kuwa na uchumi wa kuweza kuona tusema awe ameibiwa mke
Erythrocyte kwa hili, huoni aibu na uzi wakoJeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026.
Polisi tayari imewakamata watuhumiwa wanne kuhusiana na tukio hilo, akiwemo Steven Rogers Chaka (31), mkazi wa Bomang’ombe mkoani Kilimanjaro na Afisa Maabara; Anna Frank Lema maarufu kama “Happines” (30), mfanyabiashara mkazi wa Tabata Chang’ombe; Twalibu Khamis maarufu “Mputo” (23) pamoja na Michael John maarufu “Tambali” (26), wote wakazi wa Kigogo Kati.
Wanaweza kuwa walikuwa watu wa mwisho kuwasiliana naye kwa simu kabla jamaa hajapatwa na mautiKuna mmoja ana 23 hapo Mkuu!
Aiseee inasikitisha sana.Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026.
Polisi tayari imewakamata watuhumiwa wanne kuhusiana na tukio hilo, akiwemo Steven Rogers Chaka (31), mkazi wa Bomang’ombe mkoani Kilimanjaro na Afisa Maabara; Anna Frank Lema maarufu kama “Happines” (30), mfanyabiashara mkazi wa Tabata Chang’ombe; Twalibu Khamis maarufu “Mputo” (23) pamoja na Michael John maarufu “Tambali” (26), wote wakazi wa Kigogo Kati.
Mkuu kwa Dunia ya sasa kila kitu kinawezekana,Wanaweza kuwa walikuwa watu wa mwisho kuwasiliana naye kwa simu kabla jamaa hajapatwa na mauti
Ila kusema kweli hilo tukio sio la kawaida aisee kufanywa na vijana wa huo umri
Jicho langu la tatu ambalo naliamini kwa zaidi ya 95% inaniambia kwamba hapo ni issue ya Mapenzi na wala si Uwinga wa Simu Kariakoo.Hao polisi wafanye kazi yao kwa ukweli na uadilifu.Maana hawaaminiki kwa asilimia nyingi kasoro wachache sana.
NB:Siyo kwamba nilivyoandika "kasoro wachache" ndiyo wote wajidai wamo kwenye hao wachache.
Kwa kweli inaogopeshaMkuu kwa Dunia ya sasa kila kitu kinawezekana,
Hawa wenye umri mdogo ndio rahisi zaidi kutumika coz akili zao bado zinakua hazijakomaa kisawasawa ili kupima madhara ya baadae kwa wanachokifanya.