Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,197
- 44,188
Dr. Salim alisema uongo ukirudiwa rudiwa bila kuijbiwa hugeuka ukweli.
Let me do this on my own terms.
Zitto, hili suala la binafsi kama utalizungumzia utalizungumzia on your own personal terms siyo kwa kufurahisha JF au watu wachache wanaotaka kuridhisha udadisi wao tu. NI kweli jambo hili lilivuta hisia za watu wengi na mambo ya kitaifa n.k. Kama tulivyosema awali kama CCM na wahusika upande huo hawataki kuzungumzia kwanini tukulazimishe wewe ulizungumzie ilimradi tu tujue "nini kilitokea". Ukisema ndiyo ilikuwa kweli, utaulizwa "mlilala hoteli gani" ukisema hizo ni njama za kisiasa utaambiwa "tukuamini vipi wewe wakati ilishasemwa...". In any case hakuna atakayeridhika kwani majibu yatazua maswali zaidi ambayo yatahitaji majibu zaidi yakakayo zua maswali zaidi, na gurudumu la maswali yasiyoisha na majibu yasiyotosheleza litazidi kubingirishwa.
Nitoke Vpi!!!?Nimeipenda hii strategy ya "kutokea" ya Zitto. Ile ya kwanza ya kumsingizia Rais ilikuwa amateurish prepared lakini hii ya hapa JF ya kufafanua posho za wabunge sound to work, though so far so good. Mwkjj and his coy are doing more than enough. Keep it up bro......
Jana niliandika hapa kuhusu jambo hili. Ukiangalia, ni kuwa ongezeko kubwa liko kwenye posho, ambapo kabla ya kuongezewa, walikuwa wakilipwa TShs145,000 kwa siku wakati wakiwa Dodoma bungeni. Kati ya hizo, TSh.85,000 zilikuwa ni posho ya wao kuhudhuria kikao cha bunge! Ni kama vile kuhudhuria kwao bunge wanatufanyia favor wakati ndiyo kazi waliyoomba! It does not make sense!!!!!