Wanene kuongezewa marupurupu

Wanene kuongezewa marupurupu

Zitto kama hata kama unashindwa kuingia humu and i can understand lakini tutumie hotuba yako na ya kiongozi wa upinzani ambayo soon utakapoweza.....kule kweny thread ya hotuba ya bajeti

Usitususe wenzio ....

Tanzanianjema
Mbona yupo! kawa kinyonga au unaweza kusema kabadilisha Kanzu ila sheikh ni yule yule.hivi sasa yupo humuoni?
 
Nakuhakishia hayupo kwani namjua vizuri kaka...akitoa sentensi moja tu nitagundua....labda awe mwangaliaji tu

Mengine hayana haja ya kukujibu kwani umeshaamua na huwezi kubadilika...

Naomba usome hii signature yangu hapo chini.

Tanzanianjema
 
As i said earlier, political strategy......

Tanzanianjema

kocha hubadili mbinu baada ya kuona mbinu ya kwanza imefeli. nimekuuliza kuwa kwanini Zitto hakufanya press ukasema aliogopa kuingia kwenye mtego aliotumbukia DR.Salim, ILIKUWAJE JK alipokwenda Kigoma na kuwahutubia watu wa Kigoma kijijini kwa Zitto, yeye akakurupuka haraka sana na kwenda ukumbi wa maelezo kutoa statement?, wakati umesema mbinu hiyo ilimtosa Salim Ahmed? nilitegemea kama unayodai yana chembe ya ukweli. angendelea kutumia mbinu ile ile ya mwanzo ambayo haija proof failure. sasa ilkuwaje akaifuata mbinu ilimtumbukiza shimoni Salimu?

Tanzania Njema-si lazima kujibu kila kitu hata kama hakuna hoja. Story hii mimi wala Nguli-Chadema kama Kitila mkumbo hanunuwi, atanunua Mtu kama Mwanakijiji tu ambaye alitulazimisha wananchi wote, tukose habari moto moto toka klh news International, redio inayosikilizwa ulimwengu mzima, kwa sababu zake binafsi tu eti ana flu kwa wiki tatu. hapo haoni kuwa suala lake binafsi lisilo na maslahi kwetu. kalitumia kutuadhibu dunia nzima tumekaa bila habari na redio imefungwa tumeishi bila habari,lakini tukimjadili kiongozi wetu zitto anasema mwacheni ni binafsi!

huku akitumia kauli Mbiu ya KlH news kuwa " HAPA HAPENDWI MTU WALA HAPENDELEWI MTU, UNASEMWA UKWELI TU" MIE ningemwambia aweke hivi " HAPA HAPENDELEWI MTU ILA CHADEMA NA WANACHAMA WAKE TU"
 
Then deal na mwanakijiji na si mama wa zitto...

Au hata mimi...

Tanzanianjema
 
Nadhani wakati umefika nikudharau sasa...

all the best

Tanzanianjema
 
Nilikwambia uombe ruhusa toka kwa Zitto mwenyewe akikubali niweke wazi full family background.msije kulalamika kuwa ooh Mswahili thats too personal. sikatai mama Zitto kuwa anakuja Dar huenda anafaa baibui style ya Ninja nani atamjua? kama huamini subiri siku akifa huyu mama utaona watu watakao kuja kuzuia jeneza hapo ndipo utanikumbuka Mswahili. nikiwa hai nitakukumbusheni au nikitangulia mtanikumbuka siku hiyo.

BI SENTI 50.
Utakata niweke history ya mama zitto na vimwanga vyake? nasubiri jibu.

Tupac said....

"And since we all came from a woman, Got our name from a woman and our game from a woman, I wonder why we take from our women
Why we rape our women, do we hate our women? I think it's time to kill for our women. Time to heal our women, be real to our women
And if we don't we'll have a race of babies, That will hate the ladies, that make the babies And since a man can't make one
He has no right to tell a woman when and where to create one
So will the real men get up I know you're fed up ladies, but keep your head up"


Don't pay me no mind.. just bored zzZzz!!!
 
Swali la "kuiba mwanamke wa mwananchi" kweli halijaweza kuingia akilini mwangu kabisa kwa vile Mbunge Zitto na Mbunge Amina ni watu wa calibre moja. Wakati ni kweli kabisa kuwa Zitto Kulala na m ke wa mtu ni kinyume cha maadili kwake yeye mwenyewe na kwa mwanamke aliyehusika, lakini matumizi ya neno "kuiba" nadhani linamdhalilisha Mbunge Amina kama vile alilazimishwa au alichukuliwa bila yeye mwenyewe kujua.

Acha kuhalalisha wizi.. hapa alieibiwa ni Mohammed Mpakanjia kwa maana amechukuliwa chake bila ya ridhaa yake.
 
Nimenawa mikono, haya tuambieni wanafunzi Ukraine leo wamekula au? Masatu again bravo kwa kusimamia heshima ya forum,

Ninarudia kuwa kwa mara ya kwanza, tumeifanya forum nyuma ya mwanachama mmoja, huyu anaonekana kuwa ni bigger than hii forum, hatujaiskia kuwa ninamtafuta ahojiwe, badala yake tunaambiwa kuwa alikula uroda, lakini ukraine! wanafunzi ukarine! wanafunzi Ukraine! Screw Muuungwana! Lowassa anatupeleka wapi?

Ukweli ni kwamba Zitto, anatupeleka kuzuri sana, na heshima mbele kwa kina "Malinzi" wa hii forum, ila ninasema wote hapa hatujalala, sasa nimeanza kumuelewa Manji Supporter, na ninasema kuwa kwa mara ya kwanza I am ashamed kuwa member wa hii forum!
 
Hamuwezi kukubali jibu lolote isipokuwa "ndiyo mimi na Amina tulikuwa na uhusiano wa kimapenzi na ulikuwa mzuri kweli". Akijibu hivyo haina maana itakuwa mwisho maswali yatakuja "kwanini uvunje ndoa ya watu, wewe kama kiongozi.. tukuamini vipi na wake zetu? vipi mabinti zetu na dada zetu, unawezaje kukaa Bungeni ilhali hivi na vile".

Unapata wapi hilo "hamuwezi kukubali jibu lolote" inakuwaje umekuwa sasa mganga wa kienyeji unaetabiri yatakayo tokea baadae. Hata hivyo inategemea na uzito wa majibu yake, kama ni majibu tosheleza obvious hakutakuwa na maswali zaidi, la kama majibu ya ujanja ujanja maswali zaidi yatazuka. Huu utetezi wako wa Zitto sasa umechupa mipaka!

Kila mtu ana haki ya kuuliza lolote lile kwa mtu yeyote yule, lakini huwezi kumlazimisha mtu kujibu kama hataki. Haki ya uhuru wa kusema, inahusisha na uhuru wa kutotaka kusema! Ndio maana wenzetu wamarekani wanayo mabadiliko ya tano ya katiba!

Sasa ilikuwaje Lowassa alipokwambia anaenda kula ukawa mbogo..............

Inapohusu mambo ya umma na yanayohusu maslahi ya TAifa kila kiongozi analazimika kutoa habari sahihi kwa wananchi. Hata hivyo hatuwezi kumlazimisha kiongozi kwa suala ambalo si la kisheria kutueleza habari za maisha yake binafsi? Hivi Malecela ana watoto wangapi? Je Kikwete amewahi kulala na wanawake wangapi? Mbona hatujawahi kumuona mke wa Lipumba? Vipi kuhusu Mrema na mke wake? Vipi kuhusu Freeman na mahusiano yake na kina dada? etc etc etc..

Mwanakijiji ushabiki umekuzidi kiasi unatoa conflicts statements! and what about this one....

Kitila, kama Zitto atatokea na kusema madai na shutma dhidhi yake hazina ukweli, tumwombe aseme zaidi au tutaridhika na kauli yake? Kwanini tumlazimishe aseme sasa hivi wakati wetu sisi na kwa kalenda yetu sisi? Nakubaliana kabisa na suala zima kuzungumza mambo binafsi ya viongozi lakini lazima tuyaweke kwenye maudhui yake yanayostahili. Ni kweli kwa public figure maisha ya binafsi hakuna kabisa, na ninakubali kutokuulizia itaoenekana ni kutoa leseni. Hata hivyo tunapoulizia lazima tuwe tayari kupokea majibu!

Halafu hapa, ukapiga msele mwingine.....


Mnaosema double standard, you have no idea what your setting up! Kama tunakubali (na ninaamini ndiyo hoja yenu) kuwa masuala ya chumbani na malezi ya familia za viongozi yanaweza kuchambuliwa hadharani. Basi tufungue mjadala huo na tusiishie kwa Zitto na viongozi wa Chadema tu, au viongozi wengine wa upinzani. Tuwazungumze wote kwa uhuru na uwazi.

U-flip flop wako unaendelea.....

Ninachosema na ninapenda kueleweka ni kuwa kama Zitto alikuwa anatuhumiwa kujihusisha na biashara fulani haramu, hilo linazungumzika; kama anatuhumiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mfanyakazi wake hilo linajadilika; kama Zitto angekuwa anatuhumiwa kuingiza jimbo lake kwenye mkataba wa ajabu ajabu hilo linazungumzika. Ni kutokana na mawazo hayo ndio maana tunauwezo na kila sababu ya kuhoji utendaji kazi wa viongozi wa serikali yetu, nia na matumizi yao.


What abt statement kuwa unakokuwa public figure maisha binafsi hakuna kabisa....

Kuamua kutong'ang'ani kutaka kujua mambo ya undani ya chumbani ya mheshimiwa Zitto kwa vile tu yeye ni Mwakilishi wetu siyo unafiki! Sijawahi mahala popote kutaka kujua mambo ya chumbani ya Malecela, Kikwete, Kawawa, Lowassa, Nchimbi n.k SIyo kwa sababu hakuna madai dhidi yao au kwamba watu hawajui, ni kwa sababu tu kwamba jambo hilo linafungua sanduku ambalo hatuko tayari kulifungua. Mnapotetea kulazimisha Zitto awape undani wa kile "kilichotokea" hata kama keshakanusha hamtaki ukweli, bali mnataka ukweli kama ulivyoandikwa na nyinyi! Nilionya huko nyuma kuwa wanaotaka Zitto aseme hawawezi kuridhika hadi akiri kuwa na mahusiano ya kimapenzi na ni hicho ambayo baadhi ya ndugu zetu hapa wanataka. Chochote chini ya hapo, hakitakubalika.

Ukazidisha usanii......

Ninawaomba na tena nina wasihi kutoka ndani ya moyo wangu, msifungue sanduku hili la kujadili mambo ya chumbani ya viongozi au madhaifu ya kibinadamu ya viongozi wetu endapo mambo hayo hayahusiani moja kwa moja na nafasi zao, pesa za walipa kodi au maslahi yoyote yale ya kitaifa. Na msilazimishe kuwa kiongozi akienda msalani basi hilo ni jambo la kitaifa na mnataka details zake, kisa tu alionekana akienda msalani kwa jirani yake! Kipimo ambacho mnataka kukitumia kwa Zitto kikikubalika siyo kwamba kitaonesha umakini wa forum hii bali kutaishusha hadhi yake kuliko tunavyofikiria. Nawahakikishia kama mnafikiri mambo yanayojulikana ni ya Zitto peke yake fikirini tena. Wenye data za viongozi au wanaotaka kujua mambo ya viongozi siyo nyinyi peke yenu! Kuna watu wanajua viongozi wanaposafiri huja na kina nani, wanakaa wapi, na kina nani wanakutana nao. Tukikubali kuwa Zitto LAZIMA azungumze hapa (licha ya kuwa tayari amezungumza) na akiri (licha ya kuwa ameshakanusha) kuwa amefanya kitendo fulani (ambacho tayari amesema hakufanya) basi siyo kwamba tunataka kutenda haki bali kufurahisha tu udadisi wetu wa kibinadamu. Nawasihi tena, kama kweli ninyi mnaitetea forum hii, basi heshimuni mambo ya binafsi ya viongozi na hilo litumiwe kwa viongozi wote.

Hata hivyo endapo mambo yale ya binafsi yanahusiana na nafasi, vyeo, au yanaweza kuwa ni matendo ya kihalifu (criminal acts) basi hilo halina mjadala kwani hakuna mtu yeyote aliyejuu ya bodi au juu ya wanachama. Wote wako chini ya ukweli, ukweli mtupu, na si kingine bali ukweli.

Nakutakiwa kila la kheri....


Hata hivyo, sitarajii kuwa mtakubali ushauri huu kwani tayari mmeshanipa chama kuwa miye Chadema na ninamtetea Zitto. Na hii ni mara ya mwisho kuweka jambo hili sawa, mimi SIYO mwanachama wa CHADEMA ila ni mfuasi madhubuti wa mafundisho ya Mwalimu na mpenzi wa classical ideas za CCM. Kwa vile ninaandikia Tanzania Daima basi baadhi ya watu wamedhani mimi ni Chadema. Sasa hivi ninaandikia Kulikoni pia na sijui hilo linaendana na chama gani, na muda si mrefu (inshallah) nitaanza kuandikia magazeti ya serikali.

Since when?
 
Mzee ES,

Hujaelewa tu? wakisema Lowassa anakamua Waziri Batilda ni masuala muhimu ya kitaifa kujadiliwa. Ikiwa anaekamua Zitto ( or any Chadema leader for that matter) hilo ni suala binafsi halina maslahi ya kitaifa...!! Thats Jamboforums!

Im equally ashamed here....
 
Mzee ES,

Hujaelewa tu? wakisema Lowassa anakamua Waziri Batilda ni masuala muhimu ya kitaifa kujadiliwa. Ikiwa anaekamua Zitto ( or any Chadema leader for that matter) hilo ni suala binafsi halina maslahi ya kitaifa...!! Thats Jamboforums!

Im equally ashamed here....

Sio kweli, some of us (chadema) tulikuwa na msimamo mkali kuhusu Zitto kuliko nyie. Kama maelezo yake hayajitoshelezi si mseme sasa, na mseme kipi ambacho hajasema ili aseme. Kama ni maswali, ni swali gani ambalo hajajibu?

Take: simplicity is the enemy of truth, I hope we are not being simplistic by thinking that anybody who has a different view from you necessarily loves chadema and hates the establishment!
 
Nilikuwa sijachungulia huku, kumbe mambo motomoto (hadi siri za kutotahiriwa).

Seriously, jamani hapa suala ni beyond Zitto. Hapa la msingi ni kwamba kuna unafiki kwenye masuala gani yajadiliwe na kina nani wawe criticised na nani wapewe a free pass. Perception kwamba hii ni Forum ya CHADEMA haijatokea hewani tu hivi hivi, msingi wake ni misimamo ya watu kama kina Mzee Mwanakijiji. Wengine wetu kuna nyakati tunalazimika kuchukua contrarian views just for the sake of balance - to poke at the hyprocrisy of some members here. Tusipoangalia, hii forum itapoteza credibility kabisa na hata ya msingi yanayosemwa na watu wa CHADEMA yataonekana ni ushabiki tu. Hasira za kina Mzee ES kwenye hili zinaeleweka kabisa. Why should I be receiving PMs za kusema nipunguze kidogo moto kwa hawa jamaa zetu?
 
To: All

Nadhani sasa hoja hii imejikanganya tofauti na heading yake.

Kuna hoja nahisi zingeunganishwa kwenye topic nyingine ambayo huenda inafaa kuliko hii.

Kwa upeo wangu nahisi hoja zinarandana na ile nyingine ya Zitto ashangiliwa Bungeni. Kama ni hivyo basi; naomba tuziunganishe kwakuwa hoja hizi kwa wingi zinalenga issue ileile. Vinginevyo nielewesheni kwa niaba ya mods wengine.

Ni imani yangu nimeeleweka. Nasubiri wazo/mawazo
 
JF Advisor,

Mimi nadhani iache ife yenyewe. Acha busara ya wanachama irejeshe mjadala kwenye mstari. Ukitupeleka kule, unaondoa possibility ya kuwepo kwa uerevu wa kuirudisha mada ilipoanzia. Wakati mwingine let things flow as they are.
 
Great, I take your word.

Kilichosababisha niseme hivyo ni kutokana na hoja hizi kushabihiana sana. Haina neno, siku njema na w/end njema kwa wote.

Thanks and out
 
Mugongo: it is pitty kuna watu wanakwambia kupitia PM kuwa upunguze; tunahitaji sana mgongano wa mawazo. Hii ni fursa ambayo hatukuwa nayo katika nchi yetu kwa muda mrefu sana. So, maybe it is understandable kwa nini watu wengine wanakuwa namby-pamby wanapokosolewa. Tutazoea as we go along with pluralism.

My only plea is that our criticism should always be evidence-based, objective, constructive and not eroding others' dignity as people and human beings!
 
Mkubwa nakuelewa sana. Kwa binadamu wengi, "the Other" is an object, hata kama ni binadamu. Tunasahau kwamba what you look at the mirror is also "the Other".

Tutaendelea kuambiana ukweli na kuonyeshana njia pale unafiki unapokuwa dhahiri.
 
Back
Top Bottom