Wandugu nimepatwa

Wandugu nimepatwa

Warozi wenzio walikuwa wanakujaribu Mkuu, wamekukuta uko fit. Pole sana na hongera kwa kuwa fit 🙂🙂

Wasalaam !
Kwa wiki mbili mfululizo ushiriki wangu ulikuwa hafifu hapa mahali petu. Kiukweli ni kwamba nilipatwa na nikaumwa hasa. Sikujaribu tiba yoyote ya hospital wala kienyeji bali natural body healing...na Leo hii nina furaha kusema nimerejea rasmi na naendelea vema tuzidi kuombeana
 
Mkuu tulipata wasiwasi,tukadhani ndio vile kama wale.
 
Ulipatwa???;; hii kauli tata sana hii mkuu.
Hebu fafanua kidogo.
Tusije tukaamini kuwa ulivamia kingunge mwenzio kwenye ile taaluma yako kaka
Kupatwa kwa Mshana Jr..
 
Ulipatwa???;; hii kauli tata sana hii mkuu.
Hebu fafanua kidogo.
Tusije tukaamini kuwa ulivamia kingunge mwenzio kwenye ile taaluma yako kaka
Aliyacheka machawi kwamba eti yana wakati mgumu sasa hivi shauri ya mvua nyingi eti huwa hayawezi kwenye MAJI, sasa naona yakamtingisha!
 
Back
Top Bottom