Wandugu nimepatwa

Wandugu nimepatwa

its so much good to have you back,you are our confidence!
 
Mvuke wa maji moto kujivukiza na kujifunika nguo nyingi ili utoke jasho sana halafu maji moto kwa wingi na kula matunda tu
Ukila chakula kiwe ni cha kuchemsha tu na kisiwe chochote chenye damu huku ukiweka simu mbali nawe
Hii ni kwa magonjwa yote au ni kwa waliopatwa tu?
 
wasije wakapita nae mazima...maana kwa sheria ya kupiga risasi ukisikia mlio
ujue wewe mzima (haijakupata) ila ukiona kinyume chake...basi ndo hivyo tena
Hahahaha, dah nimecheka sana.

Kaka mkubwa karibu tena jukwaani
Kwa taarifa fupi tu kutoka magogoni ni kwamba tumempoteza kamanda Muwongo muwongo yule wa mtaa wa Escow
 
Back
Top Bottom