haa ndioAisee na wewe una kautaalamu kama ka kaka yako?
kwani kuna tatizoUnanitafuta siyo!
Hayo mambo si nimekukataza!
Hahahaha eti Gagula, hili jina lilitokana na kile kitabu cha bwana Makhumazahn
Mashimo ya Mfalme suleman
kwani kuna tatizo
Raimundo unanitaka nini mimi mpaka hutaki ukakaUnanitafuta siyo!
Hayo mambo si nimekukataza!
wel come back jrWasalaam !
Kwa wiki mbili mfululizo ushiriki wangu ulikuwa hafifu hapa mahali petu. Kiukweli ni kwamba nilipatwa na nikaumwa hasa. Sikujaribu tiba yoyote ya hospital wala kienyeji bali natural body healing...na Leo hii nina furaha kusema nimerejea rasmi na naendelea vema tuzidi kuombeana
Tatizo lipo, tukianza kuitana hivyo tutashindwa kufika malengo ya baba na mama.
Maana unaanza kujiuliza namwingiaje sasa mtu tunaheshimiana kama dada na kaka.
Yaani we acha tu unasoma kitabu kama unaangalia move vile.Mkuu;
Vile ndo vitabu, Umslopogaazi na shoka lake, dah! Elim, elim, elim. Wameitia maji hadi imekuwa majiiiii
Yaaah!! Ilikuwa utuombe mialiko ya michakato maana uko fiti sasa kukabiliana na hekaheka za purukushani za songombingo kiundava undava.
unakichaa wwMimi na wewe ukaka na dada hapana, labda niwe nimepatwa.
unakichaa ww
Bora umerudi kuna ka mbebez kanaitwa lusungo naomba ukatumie radi ya sh. 150 tu kajue kuheshimu kaka zake hapaWasalaam !