Wandugu nimepatwa

Wandugu nimepatwa

Wasalaam !
Kwa wiki mbili mfululizo ushiriki wangu ulikuwa hafifu hapa mahali petu. Kiukweli ni kwamba nilipatwa na nikaumwa hasa. Sikujaribu tiba yoyote ya hospital wala kienyeji bali natural body healing...na Leo hii nina furaha kusema nimerejea rasmi na naendelea vema tuzidi kuombeana
Huo ugonjwa haukusababishwa na zoezi la uhakiki wa vyeti?
😀😀😀😀
 
Hahahahahahah,wacha nixheke tu maana uchawi enz za jakaya ungekula shavu ila zama za magu duuu akimaliza madini anakuja kwa waganga ila nyie kigwangala atawamalizia tu
 
Mvuke wa maji moto kujivukiza na kujifunika nguo nyingi ili utoke jasho sana halafu maji moto kwa wingi na kula matunda tu
Ukila chakula kiwe ni cha kuchemsha tu na kisiwe chochote chenye damu huku ukiweka simu mbali nawe
Duh!
 
Wasalaam !
Kwa wiki mbili mfululizo ushiriki wangu ulikuwa hafifu hapa mahali petu. Kiukweli ni kwamba nilipatwa na nikaumwa hasa. Sikujaribu tiba yoyote ya hospital wala kienyeji bali natural body healing...na Leo hii nina furaha kusema nimerejea rasmi na naendelea vema tuzidi kuombeana
pole mkuu
 
Back
Top Bottom