Mimi ni mweupe na sijisikii wala kujiona nipo juu..Ni hulka ya mtu!

Acheni hizo, hakuna kitu kama intelligence kuhusiana na rangi.
Inawezekana majority wako hivo maana nyie wanaume hushobooooooka!
Huyo atakuwa amenikera sana. Sitoweza kumwacha kwa sababu mwili ni wake na anahaki ya kuurembe na kuurembua anavyotaka, lakini kwangu atakuwa amepoteza asilimia fulani ya mapenzi nilokuwa nayo. Kama nilimpenda na kumwoa kwa jinsi alivyo, tena akijibadilisha atakuwa amebadilisha mapenzi yangu pia.sijui kama umemuo akiwa mweusi alafu akapaka mkorogo inakuwaje hapo?

Mi mweusi na nnaringa....ina maana kukiwa na wengine 6 kati ya 10 wanaoringa pamoja na mimi tayari tutakua tumeanzisha mashindano kati ya waringaji weupe na weusi?!

Nwy dada yangu ni mweupe ila sijawahi kumuona/hisi akiringa kwahiyo binafsi nabaki kuamini kwamba kuringa kwa mtu kunatokana na tabia yake...pamoja na kile anachojazwa na jamii.Ndio maana kuna watu wasiojua kuosha vyombo na wanajisikia kwa hilo sababu mazingira yao yamewaaminisha kwamba kufanya kazi za ndani sio sifa (japo sio sifa) bali kunaonyesha kwamba mtu sio matawi.Ndio maana kuna sehemu ukienda unaweza kukuta mtoto wa kike anajifelisha sababu maeneo hayo inaaminika sio kazi ya msichana kumchallenge mvulana na kua juu yake na kuna nyingine utakuta msichana anaringia akili zake sababu mazingira yake yanamjulisha kwamba kua na akili (smart) ni kitu kizuri na cha kujivunia.

Vile vile rangi ya ngozi ya mtu inaweza

kumfanya aringe au ajione duni kutokana na mazingira aliyopo.....Mazingira na tabia binafsi ndio vishawishi vikuu hapa.Kama mtu hana roho ya kujiona yeye ni bora zaidi na akalelewa kwenye mazingira yasiyomfunza/mzoesha kwamba ngozi yake ni bora zaidi ya wengine hata awe mweupe kama snow hatoringa kwaajili hiyo!

Kwahiyo kama mnataka watu wasiwe na tabia za aina hiyo (kama sio internal) inabidi sisi wenyewe tuache ubaguzi wa wenyewe kwa wenyewe kwenye jamii yetu.Kuanzia ngazi ya kifamilia na kuendelea...maana sio ajabu ukakuta hata ndugu wanabaguliwa mpaka kufikia kubaguana kwasababu tu mmoja ana ngozi ambayo ni lighter zaidi ya mwenzake!Nadhani tukiweza hili hata wale wanaojilazimishia cancer kwa kujichubua watapungua!

Hivi mie sijui rangi gani aisee
Tumeshuhudia wanawake wengi wakiutafutaa weupe kwa nguvu, lakini hatujashuhudia kinyume chake....why??
tukiacha rangi, kwa 'utamu' yupi mtamu zaidi. Kwa wastani
Naomba muongozo kwa mtoa mada, hawa wanawake weupe wanajisikia kwa wanaume weusi? au kwa wanaume weupe?
ni kweli wengi wana ringa haswaa.
Ndio maana dada mmoja ni albino kila nikimuita ananikimbia kumbe wanaringaga.