"Wanawake weupe wanajisikia sana".....ni kweli?

"Wanawake weupe wanajisikia sana".....ni kweli?

Sidhani kama kuna ukweli katika hili,taabia ya mwanamke kujiona ni mtu mwenyewe na hulka zake na alivyolelewa kwao,mbona huku kwetu hawana taabia kama hiyo na wengi niweupeeeeeee!!!!!!
 
Kweli kabisa sababu kubwa ni kwamba wanatongozwa sana ndo maana wanajisikia

So inawezekana kuwa soko ndo limejikita kwenye hiyo quality....!
Sasa hapo theories of demand and supply zina-apply:
High demand, high price...?
 
Yule dada kwenye tangazo la magodoro ya vita raha angekua mweusi,,asingekua na mvuto ule wa kutangaza lile tangazo.

Hana uzuri wowote, ila rangi ndo inampa shavu.
 
Ngozi yangu ni inyeusi - naweza qualify kama almost brown.

Rocky nimnekumiss pia... nini kimenipita rafiki??

Nafikiri kilipita kimbunga cha tsunami kikachukua kila kitu
Nipo dear tunalisongesha kama kawaida
 
Yule dada kwenye tangazo la magodoro ya vita raha angekua mweusi,,asingekua na mvuto ule wa kutangaza lile tangazo.

Hana uzuri wowote, ila rangi ndo inampa shavu.

Kwani naye ni mashauzi..?
Kama anajishaua basi huenda kuna kaukweli hapo.
 
kwa mmoja kivip_wakati mama igwe na mama enock hawako ivo,....ni wengi tu bana,...sema labda mshkaji wako anawatokea wasiompenda.

Mama igwe ni wa kwanza katika 1000 ya kwanza na huyo mama enoki ni wa 2 ktk 1000 ya 2, atakayefuata atakuwa 3/1000 ya tatu....n.k.
 
Mama igwe ni wa kwanza katika 1000 ya kwanza na huyo mama enoki ni wa 2 ktk 1000 ya 2, atakayefuata atakuwa 3/1000 ya tatu....n.k.

halafu mbona huyo uliyemshika hapo unapocheza sijui ndio kiduku cha wazee!.....ni mweupe lakn anaonekana tu kwa macho hana majivuno,,..hakuna bana.
 
Mkeshaji,

Wa usiku siyo wanawake? Au wale ni vinyonga - mchana Blaki Usiku Waiti?

Ni wanawake mkuu...
Sasa uliza price ya white halafu compare na ile ya blaki...jibu utalipata hapo hapo.
 
Siyo kweli kabisaaaaa!
Kujisikia ni tabia ya mtu, havihusiyani na rangi ya mtu! hayo ni mawazo mabovu ya rafiki yakoo.
 
Back
Top Bottom