Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,161
- 137,228
Kitu gani kinawa-drive kuutafuta weupe?
Kitu kinachowafanya wautafute weupe ni ile perception ya kwamba weupe = uzuri/ mvuto. Hakuna kingine zaidi ya hapo.
Halafu hii ya kujimenya sio sisi tu. Hata huko Afrika Magharibi usipime. Visiwa vya Caribbean nako ni hivyo hivyo tu. Mgoogle mwanamuziki mmoja wa Jamaica aitwaye Vybz Kartel. Jamaa kajimenya hadi kageuka kuwa zimwi!
Waafrika na watu wenye asili ya Afrika tuna matatizo sana ikija kwenye rangi ya ngozi.