"Wanawake weupe wanajisikia sana".....ni kweli?

"Wanawake weupe wanajisikia sana".....ni kweli?

Mkeshaji

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,258
Reaction score
1,418
Wakuu habari ya mwanzo wa mwisho wa juma,
Kuna wakati jamaa yangu mmoja aliwahi kutamka kuwa kamwe hatajihusisha na mwanamke mweupe.
Kwa mtazamo wake yeye ni kuwa eti mwanamke akishakuwa mweupe tu, basi huona hicho ni kigezo kimojawapo cha urembo hata kama hali haiko hivyo. Kwa sababu hiyo husababisha yeye kujisikia sana.

Jamaa yangu aliendelea kudai kuwa ndiyo maana hata baadhi ya wale ambao hawajajaaliwa weupe, hujitahidi kuutafuta kwa gharama yoyote ile kutegemea na kipato cha muhusika.
Kinyume chake akadai jamaa yangu kuwa anawapenda sana wanawake weusi kwani wengi wao wana nidhamu ya hali ya juu, hawajisikii na hawana complications kiujumla.

Je dhana hii ina ukweli wowote?
Michango chanya inakaribishwa.
 
me napenda black coz kadri unavyomchojoa viwalo ndivyo anavyozidi kuwa mweupe but whites wengi kwenye maeneo ya nanihino zao huwa ni peusi sana................. sijui kwa nini!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
We upe upi unamaanisha?
Weupe wazungu?
Weupe walijichubua?
Weupe baina na jamii yetu
Namaanisha hapa nyumbani kuna
Wasichana wamezaliwa na rangi
Ya brown kidogo na hao pia au??
 
me napenda black coz kadri unavyomchojoa viwalo ndivyo anavyozidi kuwa mweupe but whites wengi kwenye maeneo ya nanihino zao huwa ni peusi sana................. sijui kwa nini!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ni utafiti au hisia tu mkuu..!
 
We upe upi unamaanisha?
Weupe wazungu?
Weupe walijichubua?
Weupe baina na jamii yetu
Namaanisha hapa nyumbani kuna
Wasichana wamezaliwa na rangi
Ya brown kidogo na hao pia au??

Weupe waswahili.
Kwani AD we ni mweupe au blaki?
 
sio wote wanaojiona kwani weupe kitu gani,mie naona sawa mweupe mweusi sawa2 sema kuna wale wanaume wenye kasumba ya wanawake weupe
tena anasema mie mwanamke mweusi simtaki kabisi yeye ukimuona mweusi kama lamii,sasa anapota mwanamke mweupe ndio aaaaaaaaaaaaah...
mtatafuta pakuweka roho zenu kuna watu wakutoka sehemu flani ndio wanakasumba ya wanawake weupe.
 
Afu Ashadii we mwarabu eeh..



Mkeshaji mwarabu gani mke wa mtu anaweza spend time yoote hii online??

Hii avatar tu rafiki... niko opposite kabisa katika kila aspect ya hio avatar....lol
 
Usitutukanie Wake zetu bana! Mama_Enock hana majivuno!

Utafiti wa jamaa yangu unaonesha wengi wao...si wote mkuu.
Yaani tuseme katika 1000, 1 tu ndo hana majivuno/maringo...huenda ndo mama enoki huyo.
 
sijui kama umemuo akiwa mweusi alafu akapaka mkorogo inakuwaje hapo?
 
Mkeshaji mwarabu gani mke wa mtu anaweza spend time yoote hii online??

Hii avatar tu rafiki... niko opposite kabisa katika kila aspect ya hio avatar....lol

Basi mwisho wake itakuwa leo...
 
Kweli kabisa sababu kubwa ni kwamba wanatongozwa sana ndo maana wanajisikia
 
Back
Top Bottom