"Wanawake weupe wanajisikia sana".....ni kweli?

"Wanawake weupe wanajisikia sana".....ni kweli?

e
Usitutukanie Wake zetu bana! Mama_Enock hana majivuno!

Umenena vyema, sio wote ndungu.... MIMI MKE WANGU HANA MAJIVUNO.....
Kuhusu kujiamini ni kweli wanajiamini sana, nawapa hongera kwa hilo....
mimi napenda mabinti weupe
 
e

Umenena vyema, sio wote ndungu.... MIMI MKE WANGU HANA MAJIVUNO.....
Kuhusu kujiamini ni kweli wanajiamini sana, nawapa hongera kwa hilo....
mimi napenda mabinti weupe

Kwenye kumi anaweza akawepo mmoja au hakuna kabisa.
 
<br />
<br />

Kujisikia kunajidhihirisha kwa style tofauti. Hata unapojitokeza na ku post kwamba ' wewe ni mweupe' ni kama kujisikia pia.
Ni mtazamo wangu tu, dont take it personal.

Kuna tofauti kati ya kujisikia na kujiamini!!..Tafakari

I will never take anything personal in JF..I know nobody here, so usijali kabisa..napenda challenge na criticism!!
 
Mi mweusi na nnaringa....ina maana kukiwa na wengine 6 kati ya 10 wanaoringa pamoja na mimi tayari tutakua tumeanzisha mashindano kati ya waringaji weupe na weusi?!

Nwy dada yangu ni mweupe ila sijawahi kumuona/hisi akiringa kwahiyo binafsi nabaki kuamini kwamba kuringa kwa mtu kunatokana na tabia yake...pamoja na kile anachojazwa na jamii.Ndio maana kuna watu wasiojua kuosha vyombo na wanajisikia kwa hilo sababu mazingira yao yamewaaminisha kwamba kufanya kazi za ndani sio sifa (japo sio sifa) bali kunaonyesha kwamba mtu sio matawi.Ndio maana kuna sehemu ukienda unaweza kukuta mtoto wa kike anajifelisha sababu maeneo hayo inaaminika sio kazi ya msichana kumchallenge mvulana na kua juu yake na kuna nyingine utakuta msichana anaringia akili zake sababu mazingira yake yanamjulisha kwamba kua na akili (smart) ni kitu kizuri na cha kujivunia.

Vile vile rangi ya ngozi ya mtu inaweza
kumfanya aringe au ajione duni kutokana na mazingira aliyopo.....Mazingira na tabia binafsi ndio vishawishi vikuu hapa.Kama mtu hana roho ya kujiona yeye ni bora zaidi na akalelewa kwenye mazingira yasiyomfunza/mzoesha kwamba ngozi yake ni bora zaidi ya wengine hata awe mweupe kama snow hatoringa kwaajili hiyo!

Kwahiyo kama mnataka watu wasiwe na tabia za aina hiyo (kama sio internal) inabidi sisi wenyewe tuache ubaguzi wa wenyewe kwa wenyewe kwenye jamii yetu.Kuanzia ngazi ya kifamilia na kuendelea...maana sio ajabu ukakuta hata ndugu wanabaguliwa mpaka kufikia kubaguana kwasababu tu mmoja ana ngozi ambayo ni lighter zaidi ya mwenzake!Nadhani tukiweza hili hata wale wanaojilazimishia cancer kwa kujichubua watapungua!

Utakuwa unaringia weusi wako
 
Kwa upande wangu naona ni kweli wengi wanaringa sana lkn bahati mbaya wengi wao micharuko na wanakuwa kikazi zaidi sijui inakuwaje labda mtu wa psychology atusaidie
 
Kwa upande wangu naona ni kweli wengi wanaringa sana lkn bahati mbaya wengi wao micharuko na wanakuwa kikazi zaidi sijui inakuwaje labda mtu wa psychology atusaidie

Watu do you mean by kikazi zaidi.
 
mie sijui mweupe au mweusi, nahisi katikati, hakuna kuringa bana
 
sielewi humu ndani kinazungumzwa nn naskia tu uweupe uweusi jaman ni nn uweupe nn uweuc!
 
Hivi kweli katika reality,duniani kuna mtu mweupe?mimi rangi yangu ni brownish lakini bado sijaona mtu mweupe kama pamba i.e cotton!
 
ukweli hapa upo, ila sio kua ni kweli kua kila mwanamke mweupe ni mrembo.
Ni kua tafsiri iliyoppo katika jamii, mwanamke akiwq mweupe basi anaonekana yupo juu, akini kiukweli
weupe ni rangi tu y mwili, kuna weusi wazuri mnoooo, na kuna weupe wabaya mnoo.
 
Back
Top Bottom