"Wanawake weupe wanajisikia sana".....ni kweli?

"Wanawake weupe wanajisikia sana".....ni kweli?

sisi wanaume ndo vnawapa vichwa hawa weupe. Ndio maana weusi nao wanataka kuwa weupe ili wawe kwenye soko.
 
Kweli kabisa sababu kubwa ni kwamba wanatongozwa sana ndo maana wanajisikia
kweli nimekukubali mkuu hata ukiaproach hizi ngozi mbili,,hii nyeupe huwa sumbufu sana.....hata huko kwa wagosha wanalipiwa ng'ombe nyingi sana
 
wenye rangi ya chocolate ndio watamu zaidi
wakifuatiwa na weusi
weupe wa mwisho kwa utamu lol

chocolate = waliochanganya damu......weusi =wamakonde na wazaramo......weupe= warangi!akili yangu imenituma, hivyo na kwakuwa nimefanya utafiti wa vitendo naunga mkono hoja!
 
Hakuna correlation kati ya tabia na hulka za mtu kuendana na rangi ngozi yake.
Hiyo ni myth ambayo haijawa proved scientifically.
Kuna wanawake wengi weusi tii ambao wana hulka ya kujisikia, at the same time kuna hao mnaowaita weupe sijui light skinnned (hata weupe wa mkorogo/mvurugo) ambao pia hujisikia.
Ni vibaya sana tena sana kum-judge mtu kwa namna yoyote ile based on the color of his/her skin.
 
[ATTACH=CONFIG said:
0[/ATTACH] avatar34732_2.gif.jpg
mkeshaji;2350962]wakuu habari ya mwanzo wa mwisho wa juma,
kuna wakati jamaa yangu mmoja aliwahi kutamka kuwa kamwe hatajihusisha na mwanamke mweupe.
Kwa mtazamo wake yeye ni kuwa eti mwanamke akishakuwa mweupe tu, basi huona hicho ni kigezo kimojawapo cha urembo hata kama hali haiko hivyo. Kwa sababu hiyo husababisha yeye kujisikia sana.


Jamaa yangu aliendelea kudai kuwa ndiyo maana hata baadhi ya wale ambao hawajajaaliwa weupe, hujitahidi kuutafuta kwa gharama yoyote ile kutegemea na kipato cha muhusika.
Kinyume chake akadai jamaa yangu kuwa anawapenda sana wanawake weusi kwani wengi wao wana nidhamu ya hali ya juu, hawajisikii na hawana complications kiujumla.

Je dhana hii ina ukweli wowote?
Michango chanya inakaribishwa.


ndo mana na wewe unaonekana kwenye avatar yako umemkamatia cheupeeee zero(o) distance , hapo unasubiria dance liishe ukamchojoe cheupe wa watu, duh!
 
Sina saabbu ya kusingizia mkuu...!<br />
Vyovyote iwavyo, hii dhana imeenea sana kwenye jamii tunayoishi...nadhani hata wewe waweza kuwa shuhuda.


Mkuu hapa hujakosea tena wasukuma kule mahari ya binti mweupe inafika hata ng'ombe kumi na tano, ila kwa binti mweusi mahari ni kuku tu wawili au watatu ikizidi saana mbuzi mmoja kwishaaaa!
 
Naomba muongozo kwa mtoa mada, hawa wanawake weupe wanajisikia kwa wanaume weusi? au kwa wanaume weupe?
 
kwa upande wangu nafahamu kuwa tabia ya mtu aitokani na rangi ya mtu bali utokana na mtu mwenyewe, ndio maana kuna wanawake weusi pia wanajisikia kuliko hao weupe, na kuhusu mvuto wa mwanamke haupimiki 100% maana kila mwanaume ana vivutio vyake binafsi ambyo utofautiana na mwengine, yaani huyu anapenda wanawake weusi na yule anapenda weupe. inategemea na mtu.
 
Mnazungumzia uzuri kwa age gani. Maana wengi ninaowaona wakifika late 40s wanachakaa vibaya. Ngozi nyeusi na brown ndiyo inaweza kuhimili jua letu.
 
Back
Top Bottom