"Wanawake weupe wanajisikia sana".....ni kweli?

"Wanawake weupe wanajisikia sana".....ni kweli?

Mkeshaji, inaelekea haya ni mawazo yako na ndiyo mtazamo wako. Kwa nini usingizie kuwa ni mawazo ya jamaa yako?? Mwezi wa toba huu, jaribu kuwa mkweli!!
 
Miaka hiyo wakati najaribu kuukaribia ujana uzuri na weupe wa dada fulani ulimponza akaaangukia mikononi mwa kiumbe wa ajabu sana

mkuu wazee wetu walikuwa na busara za ajabu

yaani hii misemo haipotezi maana kabisa

so huyo dada aliponzwa na uzuri wake naona
 
Acheni hizo, hakuna kitu kama intelligence kuhusiana na rangi.
 
Mkeshaji, inaelekea haya ni mawazo yako na ndiyo mtazamo wako. Kwa nini usingizie kwa ni jamaa yako?? Mwezi wa toba huu, jaribu kuwa mkweli!!

Sina saabbu ya kusingizia mkuu...!
Vyovyote iwavyo, hii dhana imeenea sana kwenye jamii tunayoishi...nadhani hata wewe waweza kuwa shuhuda.
 
mkuu wazee wetu walikuwa na busara za ajabu

yaani hii misemo haipotezi maana kabisa

so huyo dada aliponzwa na uzuri wake naona

Kinomma na alikuwa anaringa mbaya kwa vijana na anawaona hawana mpango
Siku ya siku kaangukia kwa mtu mmoja ambae badala ya kumfanya kitoweo alimrarua rarua na kundi lake na ukawa mwisho wa yule dada kurinda
 
Acheni hizo, hakuna kitu kama intelligence kuhusiana na rangi.

TB alielezea vizuri sana..
Si kwamba hawana uwezo ki-intelijensi ila they are driven by behaviours....behaviours change them na hadi ndoto zao kubwa kufifia.
Hufikia hatua wakaamua kufanya kitu tofauti na ndoto zao...tena yaweza kuwa mshangao kwa wengi..
 
Kinomma na alikuwa anaringa mbaya kwa vijana na anawaona hawana mpango
Siku ya siku kaangukia kwa mtu mmoja ambae badala ya kumfanya kitoweo alimrarua rarua na kundi lake na ukawa mwisho wa yule dada kurinda

Alikwambieni anaringa kwa sababu mweupe au kutojiamini kwenu tu?

Hivi hakuna watu weusi au brown wanaoringa? Hakuna watu wa rangi hizo walowahi kufikwa na mikasa kama hiyo?
 
Alikwambieni anaringa kwa sababu mweupe au kutojiamini kwenu tu?

Hivi hakuna watu weusi au brown wanaoringa? Hakuna watu wa rangi hizo walowahi kufikwa na mikasa kama hiyo?

Ukiona mpaka tumekisema ujue alikuwa anajijua she is beautiful na anaringa kwa hilo maana ulikuwa ukimfuata kwa issue hata tuu ya kuongea nae jambo ambalo ni la kawaida wala sio la kimapenzi anakuambia wazi siwezi kuongea na mtu kama wewe kwanza sio type yangu. Tusijiamini kwa kipi sasa
 
TB alielezea vizuri sana..
Si kwamba hawana uwezo ki-intelijensi ila they are driven by behaviours....behaviours change them na hadi ndoto zao kubwa kufifia.
Hufikia hatua wakaamua kufanya kitu tofauti na ndoto zao...tena yaweza kuwa mshangao kwa wengi..

Amefikia conclusion hiyo kwa kutumis sample gani? Anawajua wanawake weupe wangapi wanaoringa kati ya wangapi weusi?
 
Kinomma na alikuwa anaringa mbaya kwa vijana na anawaona hawana mpango
Siku ya siku kaangukia kwa mtu mmoja ambae badala ya kumfanya kitoweo alimrarua rarua na kundi lake na ukawa mwisho wa yule dada kurinda

Mara nyingi mwisho wao huwa ni mbaya....na hapo ndo huwa wanataka kurudi kuleee..
Pema ujapo pema, ukija pema si pema tena.
 
Ukiona mpaka tumekisema ujue alikuwa anajijua she is beautiful na anaringa kwa hilo maana ulikuw aukimfuata kw aissue hata tuu ya kuongea nae anakuambia wazi siwezi kuongea na mtu kama wewe kwanza sio type yangu. Tusijiamini kwa kipi sasa

Umejuaje kuwa ana ringa kwa sababu mweupe? Hakuna mtu mweusi anaeringa kwa sababu ni beautiful?
 
Alikwambieni anaringa kwa sababu mweupe au kutojiamini kwenu tu?

Hivi hakuna watu weusi au brown wanaoringa? Hakuna watu wa rangi hizo walowahi kufikwa na mikasa kama hiyo?

its all about statics
and what you see around you....

mimi nilipokuwa high school kulikuwa na wasichana wawili weupe na wazuri sana
walikuwa na akili sawa na wengine but wao hawakufika chuo ,wote waliishia kuwa
nyumba ndogo za watu fulani hivi na wakiwategemea hao wanaume kwa kila kitu
while wenzao walienda chuo na kufanya kazi na kufika mbali kwa ujumla
 
Umejuaje kuwa ana ringa kwa sababu mweupe? Hakuna mtu mweusi anaeringa kwa sababu ni beautiful?

Nimeongelea kisa ninachokijua na kinachomhusu mweupe na wapo weusi pia wanaoringa ila my point here ni huyo dada na nimekizungumzia kutokana na msemo wa TB kuwa mbega aliponzwa na uzuri wake
 
gaijin hatusemi ni biological fault

tunachosema matokeo kwa kutazama jamii ilivyo

Unawajua watu weupe wangapi hata ukafikia na majibu hayo?

Akija mzungu akisema watu weusi hawana mvuto, tutakasirika lakini anachokifanya mzungu ndo hicho hicho kinachofanywa na sisi hapa.

Weusi, maji ya kunde, brown, wapo wanaoringa na wasioringa na vile vile kwa watu weupe. Rangi ya mtu haidefine tabia kama ilivyo kwa kabila la mtu.
 
Mara nyingi mwisho wao huwa ni mbaya....na hapo ndo huwa wanataka kurudi kuleee..
Pema ujapo pema, ukija pema si pema tena.

Yeah and thats what happening kwa yule dada maana she ended up to be loughing stone
 
Back
Top Bottom