Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wengi wao n waongo tyuuuh, wala sio uhalisia na wanaujua ukweli, wanachangamsha genge tyuuh hapa JF.
Hili ni kweli kabisa, mpaka mtu anatoa matusi kabisa kumbe siri yake, nyau kabisa!
 
Wanaume wanasema wanaume wote wana cheat

Ukweli ni kwamba wanawake kutokana mapungufu yao ya kijinsia hawana uwezo wa kutimiza mahitaji ya kingono ya mwanaume mwenye afya iliyokaa vzr

Sasa mwanaume ataweza kuvumilia kutotimiziwa mahitaji yake ya kimwili kwa mda mrefu kiasi???????kutokana na udhaifu wa kijinsia wa sisi wanaume ni kazi sana kuvumilia hisia za kimapenzi hapo ndo wengi wetu tunashindwa

Mwanamke hana uwezo wa kumtosheleza mwanaume sababu mwanamke ngono kwake sio kipaumbele na hisia za kimapenzi hazipo mda wote plus majukumu yake mengi ya kijinsia hayamruhusu kuwaza ngono mda mrefu.
 
Sio lazima kuendelea kuishi na kuumia eti kisa watoto and blah blah siwezi kwa kweli hapo Ni kupeana personal space baba yao Yuko alive lazima atawaona watoto so no problem because kabla yake I was living my life so married or kids sio kitu kipya kabisa, sio watoto au mume, or ndugu anayeweza kunifanya nivulie that's not me kwa kweli. My happiness is everything coz I know my heart.
So hyo ndoa ni watoto to me doesn't matter anything that's cost me a peace of mind I don't give a f.k aisee
Speaking like a typical, precious millennial lady
 
Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.

Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.

Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.

Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.

Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.

Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena[emoji134]
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.
Pole sana, inauma sana ila baada ya muda litapita. Ningumu kusamehe,na huwezi sahau. Ila jua sio kosa lako ni lake, mwili wake na hisia ni zake. Na kafanya akijua utakapojua utaumia, na ndoa itaingia mgogoro lakini akachagua kufanya. Kiakili yeye alijipanga , so ukiweza potezea usiumie kwa ajili ya mtu asiyekuhurumia.

Unahaki ya kukasirika hata miaka asikudanganye mtu kuwa ukimkasirikia ataondoka jumla , kumbuka mkiwa na amani aliweza Ku cheat so muda wowote katika hali yoyote anaweza aka cheat na akaendelea kucheat.

Tafakari na amua, unaweza usiachike na ukaishi kwa furaha kabisa, ukaondoka ukawa na furaha. Pia unaweza ukabaki ukaishi kwa mateso na mawazo na ukaondoka ukaishi kwa mastress na mateso pia. Yote yanategemea na wewe mwenyewe unataka nini katika ndoa na kama hayapo unachukua hatua gani.
Hapo mkombozi wako ni wewe mwenyewe kuwa mkweli wa nafsi yako, muombe Mungu akupe amani ya moyo.
 
Sasa kinachobaki kulea watoto tu basi hamuachani kila mtu a mind bussiness zake ukimwamini mtu akuzingue upendo hufa kabisa hata ufanyeje situation won't be the same again mnaishi kwa mazoea why mjidaganye ooh vumilia wanaume wote wako hivi kah.
Hata hao watoto wajifunze tu hivo hivo kuwa udanganyifu si mzuri na ndio maana wa Africa uongo na uchafu mwingi.


You sound so bitter and hurt. Ujaaliwe kupona na amani kama hauko nayo 🥂
 
Kwa Sasa Mimi I don't care hata anikuneje anifanyeje yet nikitoka hapo natumia akili zangu tendo limeisha siwezi mweka Moto moyoni binadamu anayebadilika badilika so akifanya it's okay, akifanya okay Ila sio eti nichanganyikiwe hapana. Kikubwa ni kuheshimiana tu.
And what cost us we expect much from people forgeting that they are human beings loh. Mimi hata anifanyeje simuweki moyoni namweka kiunoni akizingua nsmtingisha tupa kule
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.

Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.

Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.

Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.

Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.

Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena[emoji134]
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.

It's highly unlikely kuwa ataacha, and it will hard for you to find out (Though not impossible). I know it's hard for you as well. Talk to someone who is not close to the family. After sometimes utasahau and if he is nice to you, you'll love again. If you don't deal with it, you are pushing him away. And if either you or he finds consolation somewhere else the marriage is doomed. Huu ndio wakati akili inatakiwa kufanya kazi zaid ya moyo... Pole sana kwa kushuhudia hilo (I mean many ladies here have the same problem. They just haven't found out yet)
 
Huyu usikute yeye mwenyewe kazaliwa kwa mke mdogo Ila anataka mume wake peke yake.
Au mumewe katoka familia ya wake zaidi ya mmoja.
Niliwahi muuliza mke wangu, ulivyokuja kwetu ulimkuta Mama yangu peke yake kama mke wa baba?
Baba yako kazaa na Mama yako tu?
Mimi nimetoka dunia tofauti na hao wengine!?
Ubinafsi tu ndio umewajaa. Yaani anawaza kuwa anavyofaidi yeye na wengine watafaidi!!
Mumeo kama anatimiza majukumu yake ya familia na anakuheshimu usianze kufukua hayo mengine
 
  • Thanks
Reactions: amu
Na wewe chepuka tu hapo kilichobaki nikulea watoto cheating haisameheki kabisa hasa mtu uliye mwamini, Hawa viumbe huua nyege za wake zao. Nakuhurumia maskini kiukweli na wewe chepuka tu ngoma droo wallah
Wanawake wanaochepuka kulipiza kisasi huwa wanaishia kupata magonjwa wengi wao.
 
Nikisomaga komenti za wababa humu Jf huwa najikuta nakata tamaa na siku yangu inaharibika kabisa. Ndio maana huwa sipendi kufungua nyuzi zinazohusu mambo ya ndoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Binamu, siita!!
 
Kuna chizi mmoja eti anakishauri nawewe uchepuke, achana naye atakupoteza huyo inaonekana ameshindwa kuhandle matatizo yake na amevurigikiwa..

Iko hivi, zaidi ya 90% ya wanaume hawana uhusiano wa mwanamke mmoka na hata kabla ya wewe kuolewa mumeo alikuwa na wanawake wengine, jiulize kwanini alikuoa wewe na sio hao wengine - WEWE NI WATHAMANI KWAKE..
Kucheat akiwa tayari kakuoa bado ni ile ile zaidi ya 90% ya wanaume hawawezi kuwa na mwanamke mmoja na hii ni nature au uumbaji ndio maana waislamu wameruhusiwa mpaka wanne.. Huyo ni mumeo miaka yote alijificha na sasa umegundua kwa nini alijificha kwanini hakufanya wazi na kuja na huyo mchepuko hapo nyumbani? ANAKUHESHIMU..kifupi huwezi kumridhisha mwanaume kwenye mapenzi na usishindane na hili kama Mke..KAMA UNAMPENDA MLINDE mfanye awe na furaha na apende kuwepo nyumbani na wewe na akuone wewe ni responsible kwa familia hasa ambayo mko nayo..atarukaruka ila atabaki na wewe with respect kama Mke hiyo ni heshima yako hata MUNGU anajua..

Unaweza nawe kucheat, kumbuka nao unaowafuata ni wanaume ndio wale wale ambao 90% hawawezi kuwa na mwanamke mmoja, ukipata wakucheat naye utakuja naye kumfuma siku moja anamwingine na mwingine tena utagundua the same hapo sasa unakuwa umeshaachana na mume wa kwanza UNAWEZA KUWA CHIZI KIASI CHA KUWA MALAYA MBWA na kujenga chuki kubwa na mume wako wa kwanza due to your wrong calculatio and timing..

Kuwa makini katika hilo, usivunje mji kwa tatizo hilo...jishushe na jitahidi ujue sababu ya yeye kucheat ni ile ile nature ya wanaume au kuna shida hapo nyumbani na kikubwa WANAUME NYUMBANI TUNATAKA AMANI na Mke Rafiki sio mapenzi yakitandani asikudanganye mtu kwetu NYUMBANI NI KAMBINI baada ya doria zote..
 
Dunia yote wanaume wanacheat, kuanzia ulaya, amerika, urusi, china mpaka India....huu ni ugonjwa wa wanaume na hii ni kama au zaidi ya 90% hao 10% ambao hawacheat ni wakutafuta na tochi..

Mwanamke ukilijua hilo huwezi kupata shida na wanaume, Tafuta wako mmpende mfanye awe na furaha muanzishe familia mengine usiyachimbe sana....mfanye mumeo rafiki popote pale kuanzia sebuleni, nje na chumbani muwe marafiki kwa maana ya zaidi ya mke na mume...hizo tabia za mume kucheat aisee achana nazo...Hizo ndoa unazoona zina miaka 40-30 bado mwanaume alicheat sana lakini uzeeni amefika na wa ujanani..
 
You sound so bitter and hurt. Ujaaliwe kupona na amani kama hauko nayo [emoji1635]
Hahaaa that's my standing about this issue, it has nothing to do with hurt, bitter or wherever you call. That's my standing as I respect URS.
 
Back
Top Bottom