Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Kabisa mkuu kuna mzee ni ndugu yangu kabisaa alipata mafao akaenda kwa hawaraa wakazilaa na mpaka alimjengea nyumba zilipoishaa yule mdada alimfukuza Mchana kweupee yani kamtupia mabegi nje na jamaa hela za kustaafu ashatumbua nae zote...!! Akarudi kwa mkewe lakini now wanalala vyumba tofauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiseh sasa huo tuite ni udhaifu au ndio upendo uliopitiliza, naamini hakuna mwanaume anaweza kukubali kufanya hivyo.
 
Skiza, hakuna watu wanaowajua vizuri wanaume kuliko wanawake, wanawajua kuliko wanaume wanavyojiua.

Sent from my CAM-L21 using JamiiForums mobile app
Huenda upo sahihi mkuu, ila mwanamke anafahamu A-Z za mwanaume husika endapo tu mwanaume huyo akiamua mwanamke huyo azifahamu.. Nashindwa kueleza kwa njia rahisi ambayo itaeleweka lakini mfano rahisi.

Mwanamke anaweza kua na mwanaume wake na marafiki za huyo mwanaume wakamuaminisha kabisa kwamba yeye ndiye shemeji yao pekee to maximum mpaka akaamini ni kweli kumbe nyuma ya pazia wanaujua ukweli wote, na mwanamke kutokana na kuamini anaweza kumpenda huyo mwanaume mpaka hao rafiki zake wakaanza kumshauri mwanaume mwenyewe kua sasa atulie maana anavyofanya sio fair kabisa.
 
Ukiongea na mama yako dada yako shangazi yako na shoga zako hutapata majibu sahihi
Tafuta muda ongea na baba yako mchungaji au shehe wako kaka zako wajomba zako boss wako na wanaumee wengine swali waulizee moja tu JE WALISHAWAI KUCHEPUKA TOKA WAMEOA
Jibu la kweli ni ndiyo hapo jibu ni kuwa mumeo ni mwanaumee kamili ameungana na kundi la wanaume wenzake lingine ni je anakuheshimu kama zamani jibu ni ndio jiamini wenzako kuanzia mama yako walikubali na kuvumilia yakapita SASA WW JIFANYE MWANAMKEE SHUJAA ONDOKAA UONEE HASARA YAKE NA KWA WANAO
 
My kaka hata nikiingia wapi sijui ndoani anything that's cost my peace of mind natupilia mbali huko having kids to me doesn't matter na sipendi fake na unafiki that's how I'm born and when I make decision sirudi nyuma, so even kwenye ndoa I will prepare options a even up to z.
To me peace of mind and happiness matter's than anything I can't tolerate behaviors which are hurting me never loh.
Better pray for me kwa kweli I'm woman of principle failure to comply my principle mhhhh nikichukua maamuzi sirudi nyuma
My young sister there comes a time when you will need to tolerate for the happness of your innocent kids. This is what is referred to 'ndoa ni kwa ajili ya watoto' au "ndoa ni ya watoto'

Unaweza usielewe kwa sasa kwa vile huna watoto yet, huna ndoa.
 
Hawa ni wa kuwaacha. Hawashauriki.

Umri bado mdogo hauwezi kuwashauri. Wanajifunza kwa yanayowatokea.

Akili za ndoa ni nini huwa zinawajia wakishakua wakubwa na hasahasa wakishazalishwa (singo maza), hapo ndo wanaanza kuparamia kila mvaa suruali.
 
Ukweli ni kwamba cheating haisahauliki labda kama na wewe unachitiga.

Mkeo au mumeo akikuchiti huwezi sahau maisha yako yote. Ni Mungu tu ndo anayeweza kukupa nguvu za kuvumilia kuendelea kuishi naye, vinginevyo unaweza mvizia mwenzio usiku kalala umchome kisu umuue bure!

It's not that easy
@mito habari za masiku mkuu, watu wenye busara mmejificha mnaacha viandaeitini vinaropoka ropoka tu hapa jukwaani
 
Kabisa mkuu kuna mzee ni ndugu yangu kabisaa alipata mafao akaenda kwa hawaraa wakazilaa na mpaka alimjengea nyumba zilipoishaa yule mdada alimfukuza Mchana kweupee yani kamtupia mabegi nje na jamaa hela za kustaafu ashatumbua nae zote...!! Akarudi kwa mkewe lakini now wanalala vyumba tofauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afu hapo ndo mwanamke ajifanye yeye ana ujua uchungu wa ndoa? Kumsamehe mumewe? Labda ana moyo wa kuchorwa ila sio halisi huu wa nyama. Wanaume some times wanafanya dhambi hadi shetan mwenyewe anaogopa. Khaaaaaah
 
Ukiongea na mama yako dada yako shangazi yako na shoga zako hutapata majibu sahihi
Tafuta muda ongea na baba yako mchungaji au shehe wako kaka zako wajomba zako boss wako na wanaumee wengine swali waulizee moja tu JE WALISHAWAI KUCHEPUKA TOKA WAMEOA
Jibu la kweli ni ndiyo hapo jibu ni kuwa mumeo ni mwanaumee kamili ameungana na kundi la wanaume wenzake lingine ni je anakuheshimu kama zamani jibu ni ndio jiamini wenzako kuanzia mama yako walikubali na kuvumilia yakapita SASA WW JIFANYE MWANAMKEE SHUJAA ONDOKAA UONEE HASARA YAKE NA KWA WANAO
Hakuna aliposema anataka kuondoka, tena kaweka wazi kuwa wana watoto na hataki kuharibu future za wanawe,

Ila ni kuwa hana furaha wala amani ya ndoa, japokuwa kaombwa msamaha, kapelekwa vacation, kapewa muda wa kupumzika pekee, lakini bado haoni tofaut.

Ndo maan sie tumemshauri akatafute furaha, amani na faraja huko nje, pasipo haribu mustakabali wa familia yake.
Revenge ts a must in ths situation.
 
Na wewe chepuka tu hapo kilichobaki nikulea watoto cheating haisameheki kabisa hasa mtu uliye mwamini, Hawa viumbe huua nyege za wake zao. Nakuhurumia maskini kiukweli na wewe chepuka tu ngoma droo wallah

dah jirani mpaka wewe...kama hakuna wa kupigania ndoa hapo ...hamna ndoa tena...
 
Afu hapo ndo mwanamke ajifanye yeye ana ujua uchungu wa ndoa? Kumsamehe mumewe? Labda ana moyo wa kuchorwa ila sio halisi huu wa nyama. Wanaume some times wanafanya dhambi hadi shetan mwenyewe anaogopa. Khaaaaaah
Ndo hivyo mkuu.. Shetani anamjaribu mwanaume akiwa na Helaa...!! Na mwanamke anajaribiwa kipindi mumewe kachokaa sana..
 
Wanaume waaminifu wenye upendo wa kweli tena wenye hofu ya Mungu wapo wengi tena sana, acha kupotosha Umma, zungumzia nafsi yako
Wewe ni wa kike huwezi kujua ya kiumeni, amini unavyoamini wewe...

Sijasema wote, ila ktk 1000 yupo mmoja muaminifu utakutananae
 
My young sister there comes a time when you will need to tolerate for the happness of your innocent kids. This is what is referred to 'ndoa ni kwa ajili ya watoto' au "ndoa ni ya watoto'

Unaweza usielewe kwa sasa kwa vile huna watoto yet, huna ndoa.
Sio lazima kuendelea kuishi na kuumia eti kisa watoto and blah blah siwezi kwa kweli hapo Ni kupeana personal space baba yao Yuko alive lazima atawaona watoto so no problem because kabla yake I was living my life so married or kids sio kitu kipya kabisa, sio watoto au mume, or ndugu anayeweza kunifanya nivulie that's not me kwa kweli. My happiness is everything coz I know my heart.
So hyo ndoa ni watoto to me doesn't matter anything that's cost me a peace of mind I don't give a f.k aisee
 
Hawa ni wa kuwaacha. Hawashauriki.

Umri bado mdogo hauwezi kuwashauri. Wanajifunza kwa yanayowatokea.

Akili za ndoa ni nini huwa zinawajia wakishakua wakubwa na hasahasa wakishazalishwa (singo maza), hapo ndo wanaanza kuparamia kila mvaa suruali.
Mbona una foka Sana na umekimbilia single mother, kuzaa ni kuzaa tu uwe nje ya ndoa au ndani, kwani walio ndani walizaa kwa midogo au?
Very low
 
@mito habari za masiku mkuu, watu wenye busara mmejificha mnaacha viandaeitini vinaropoka ropoka tu hapa jukwaani
Nzuri my dada, kweli nimejificha sana siku hizi, mara moja moja nakuwa kule michezoni.

Yaan huku mi niko kama wewe my dada, nakwepa kwepa kufungua nyuzi kama hizi, comments za immature zinaharibu sana siku, so better stay away!!
 
Ahsante nimefurahi kukuona
 
Ukiongea na mama yako dada yako shangazi yako na shoga zako hutapata majibu sahihi
Tafuta muda ongea na baba yako mchungaji au shehe wako kaka zako wajomba zako boss wako na wanaumee wengine swali waulizee moja tu JE WALISHAWAI KUCHEPUKA TOKA WAMEOA
Jibu la kweli ni ndiyo hapo jibu ni kuwa mumeo ni mwanaumee kamili ameungana na kundi la wanaume wenzake lingine ni je anakuheshimu kama zamani jibu ni ndio jiamini wenzako kuanzia mama yako walikubali na kuvumilia yakapita SASA WW JIFANYE MWANAMKEE SHUJAA ONDOKAA UONEE HASARA YAKE NA KWA WANAO
Barikiwa kwa ushauri mzuri maana wanawake wengi wanadhani kutunisha misuli ndiyo solution kumbe wanaharibu zaidi tena kwa kiwango cha kutisha na matokeo ya hasira yanaharibu zaidi ndoa na maisha kwa ujumla wake.Kisasi hakisaidii bali kinaharibu zaidi nyumba ambayo ingedumu kama kujipa moyo kungezingatiwa.

Kila mwanamke ajiulize swali hili , wale wanawake walionenwa katika Biblia walipigania kuwa na wanaume nje ya ndoa au kuolewa na wanaume wawili? Kama hawakupigania hayo mbona waume zao walikuwa na wanawake zaidi ya mmoja na maisha yakasonga vema tu?

Shida ni kwamba dunia ya leo wanawake wanapenda kuaminishana vitu visivyowasaidia , badala ya kuwatii waume zao leo wanapambana kuwapenda kwa kuwaletea maua , yaani mwanamke anajua unapenda kula wali na unamsisitiza apike ule anapika ugali kisa anapenda ugali.Mwingine eti akitoka nyumbani anajipodoa hadi mwisho ila akiwa nyumbani hana tofauti na mpiga debe wa zama zile.Mwingine anabeba maua kumletea mmewe kuonesha anampenda ila mmewe akimwambia aache jambo fulani au afanye jambo fulani hafanyi.Kiukweli kama mwanamke akimudu majukumu yake hasa ya utii basi ni wazi ndoa nyingi zitapona na wanaume wengi watakuwa watulivu tu.

Siku hizi kuna tatizo jingine na hilo ndilo huwa nawashauri wanawake msilipe kipaumbele japo ndilo mnalifanya mno , kumnyima tendo la ndoa mwanamme yaani hiyo ni balaa zaidi maana kiukweli wanaume ni dhaifu mno katika tendo hilo na si rahisi wakamudu kulikosa kwa muda mrefu yaani chukia ,zira nk ila ukifika mida ya usiku kuwa free kutumika la sivyo hii michezo ya nje itaibuka tu hata kama mmeo ni Mchungaji maarufu kuliko wote anaweza kuanguka tu.Na nadhani huwa mnalifanya hili bila kutafakari , kama unamnyima tendo ambalo kwake ni muhimu unategemea akalipate wapi?Maandiko yenyewe yalishauri katika hili tendo tusinyimane
[emoji116]
3 Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
1 Wakorintho 7:3

4 Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.
1 Wakorintho 7:4

5 Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.
1 Wakorintho 7:5

Na pia wanawake makini hampaswi kamwe kuishi kwa kuwasikiliza waliofeli kwa kisingizio cha urafiki kamwe usifuate mawazo ya watu walioshindwa maana watakufelisha tu maana wakati wanaume hushauriana mambo ya msingi zaidi katika maisha , wanawake hushauriana zaidi mambo ya kuwaangusha japo katika maneno yao hudhani yanawaimarisha sana kwa kuwa huwa na wingi wa maneno kumbe yanawaingiza shimoni.Simameni kumtii Mungu wanawake maana ninyi ndiyo walinzi wa nyumba ,bila ninyi future ya familia ni kudra za Mungu tu
 
Wewe ni wa kike huwezi kujua ya kiumeni, amini unavyoamini wewe...

Sijasema wote, ila ktk 1000 yupo mmoja muaminifu utakutananae
nikutane nae mara ngapi? nilishakutana nae, nipo kwenye ndoa, na nina amini mume wangu ni muaminifu
 
Sio lazima kuendelea kuishi na kuumia eti kisa watoto and blah blah siwezi kwa kweli hapo Ni kupeana personal space baba yao Yuko alive lazima atawaona watoto so no problem because kabla yake I was living my life so married or kids sio kitu kipya kabisa, sio watoto au mume, or ndugu anayeweza kunifanya nivulie that's not me kwa kweli. My happiness is everything coz I know my heart.
So hyo ndoa ni watoto to me doesn't matter anything that's cost me a peace of mind I don't give a f.k aisee
Ni kwa sababu husomi Biblia vizuri , mtu makini anaishi kwa kutazama mambo ya wengine yawe mazuri (kujifikiria wewe tu ni ishara kuwa huna upendo wa kweli popote) soma hapa Yesu alivyokuchukua uamuzi wa wokovu wako hadi kufa msalabani
[emoji116]
3 Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake.
Wafilipi 2:3

4 Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine.
Wafilipi 2:4

5 Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu;
Wafilipi 2:5

6 ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho;
Wafilipi 2:6

7 bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu;
Wafilipi 2:7

8 tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.
Wafilipi 2:8

Ukijaa chuki na husuda kisa umekosewa jiulize kama umefikia nusu tu ya kile kilichompata Yesu kwa ajili yako.Angeamua kubaki zake mbinguni asingepungukiwa chochote kwa hivyo kama unawapenda wanao huwezi kushangilia kuachana
 
Back
Top Bottom