Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,942
it seems like you have a good heart ila ndo hivyo mambo ya michepuko yanakukera sanaHapana salamu Kama kawaida
it seems like you have a good heart ila ndo hivyo mambo ya michepuko yanakukera sanaHapana salamu Kama kawaida
I have good heart tu, Mimi michepuko hainikeri maana inatoa balance, shida ni pale wanaume kujihalalisha wakati hata wao hawaridhishi wanawakeit seems like you have a good heart ila ndo hivyo mambo ya michepuko yanakukera sana
Kuna namna wanaume wanakosea na Kuna namna wanawake wanakosea pia hasa katika mtazamo.Ni bora mara 100 mtu kama amekuchoka avunje ndoa tu kuliko kujitia anakupenda saana kumbe anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Sijui hata umeongelea niniKuna namna wanaume wanakosea na Kuna namna wanawake wanakosea pia hasa katika mtazamo.
Ndoa ni merger ya maisha mawili, malezi mawili na Malengo mawili..kwa azma au lengo moja kubadilika kwa pamoja kufikia makubaliano ya co-existance.
Changamoto ni mmoja au wote kuhisi the road to that acceptable co-existance is as simple as sleeping and waking up everything is green and beautiful. It takes sweat and pain to arrive at that point.
Leo mahusiano yamekua tit for tat.. unaweka ..naweka... Kesho inakuwa.. hayana uvumilivu and the worst of it all kizazi hiki hatujui kusikiliza... Interest na wenza imepungua almost to non.. mwenzako asipokuambia basi hushuguuliki na kuendelea kumjifunza..kumjua kupitia viashiria nk..
Na hizi trend Kama feminism (the toxic kind) zinaleta changamoto zaidi maana zinashift a bag of responsibility to another person na zinaset standard za performance bila kuzingatia background and culture.. tukipimwa na hizi standard hakuna mwanaume anatoboa..na anayetoboa is almost a robot without feelings....
Kwa kifupi wanaume wanakosea katika ndoa na wanawake wanakosea ..ushauri especially kwa ndoa changa ni kuvumilia kuwasilisha na kusikilizana.. usitake utafuniwe mtengeneze unayemtaka.. hutaki acheat njoo na namna ya kumfanya.. hakuna mtu utamkuta mume.. on the wedding day you either get a groom/bride go and make each other husband and wife... Goodluck.
Kwani wewe umeelewa nn!?Sijui hata umeongelea nini
Nimerudi kiongozi, habari za masiku lakini mkuuMkuu, ulipotea sana. Comment yako imenifikirisha!!
Exactly mkuu, that's what I meant, nashukuru umenielewa vizuri, japo sidhani kama yeye kanielewa.Kwa hiyo sasa hivi inabidi umuelewe kwa 0%[emoji23], her happiness comes first coz she doesn't have kids yet, akiwa na watoto huenda kids' happiness ikaja first then her's, hapo ndio misimamo yote aloyonayo itabadilika.
I get your point mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijui hata umeongelea nini
Ningekuwa nimeelewa nisingesema hiviKwani wewe umeelewa nn!?
My kaka unanicheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kila la kheri....nikutane nae mara ngapi? nilishakutana nae, nipo kwenye ndoa, na nina amini mume wangu ni muaminifu
Hapo sasa, wanawake kila kukicha wanaume wanaongeza viporo, kuna mama alisema utasikia baby baadaye nimechoka na kazi ngoja nipumzike kidogo hapo atajikohoresha weee, break ya kwanza ni asubuhi, ngoja niwahi job mapema tu wife akirudi drama hizo hizo mpaka inakuwa single music chumbani, na wanavumiliwa!I have good heart tu, Mimi michepuko hainikeri maana inatoa balance, shida ni pale wanaume kujihalalisha wakati hata wao hawaridhishi wanawake
Ni kweli wanaume wengi Wana underperform kwa wake zao na wanavumiliwa tu maana daily excuse humu JF kutwa kujimwambafaiHapo sasa, wanawake kila kukicha wanaume wanaongeza viporo, kuna mama alisema utasikia baby baadaye nimechoka na kazi ngoja nipumzike kidogo hapo atajikohoresha weee, break ya kwanza ni asubuhi, ngoja niwahi job mapema tu wife akirudi drama hizo hizo mpaka inakuwa single music chumbani, na wanavumiliwa!
Mbona kujimwambafai, tena wale wanaojua kuchonga ndiyo zero kabisa tena mwenye pembe 2, wanatunziwa siri!Ni kweli wanaume wengi Wana underperform kwa wake zao na wanavumiliwa tu maana daily excuse humu JF kutwa kujimwambafai
Nimecheka ulivomjibuMy kaka unanicheka
...mwenye pembe 2 ndo yupi mkuu? Umeniacha gizaniMbona kujimwambafai, tena wale wanaojua kuchonga ndiyo zero kabisa tena mwenye pembe 2, wanatunziwa siri!
Wanajijua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...mwenye pembe 2 ndo yupi mkuu? Umeniacha gizani
Wengi wao n waongo tyuuuh, wala sio uhalisia na wanaujua ukweli, wanachangamsha genge tyuuh hapa JF.Acha tu kutwa kudharirisha wanawake, bila sababu mwingine eti sababu ya mwanaume kucheat ni mwanamke mwenyewe anakuwa hajui majukumu yake, mtu kama huyu unamuona ni mzima kweli?