Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Na wajaluo mnavojifanya mnajua kupenda... anyway... usithubutu kutaka kumjua mwanaume haswa Kama unampenda au unajua huwezi kumuacha..haswa Kama n mumeo wa ndoa... usithubutu... USITHUBUTUUUUUU for your own health...... Hapo Sasa sijui ufanyeje jamaani...Ila ukifanikiwa kupona usithubutu Tena kumjua mumeo...

Mimi bado nacoment kwenye post za wapendanao... "Wooow nice couple" alafu nakunywa maji nalala...
kumbe wajaluo wanajua kupenda
 
Jifunze hapa, otherwise utakufa kwa stress mapema
 
Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.

Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.

Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.

Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.

Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.

Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.
Ukujua kuwa Mapenzi yana ladha aina tatu kama ulimi yaani tamu, chachu na chungu? Sio kwako tu ndiyo iko ivyo haikwepeki!!
 
Kabla ya kuchukua uamuzi wa mtu yeyote humu fikiria kwanza ukimuacha itakusaidia kuondoa hasira ulizo nazo? Binadamu tuna madhambi makubwa, kusameheana ni jambo muhimu sana.
Mimi nilicheat kwa wife, sikutaka kucheat kabisa ila tabia zake ndo zilinisababishia kucheat. Ilivyotokea kweli alijua kabisa I did it, tulikaa chini tukashauriana yakaisha. Wana ndoa mara nyingi ndo wanasababisha mwenzao kucheat, unakuta unataka kumchagulia mmeo mda wa kutoka na kurudi nyumbani, yes ni haki yako kufanya hivo lakini ujue mwanaume hapendi hayo masharti. Wanawake wengine wanawachagulia waume zao marafiki, wengine hawataki kabisa marafiki wa kike, just trust your husband, amecheat yes but kaa nae atakueleza na kutubu aliyofanya maisha yataendelea, binadamu tuna maisha mafupi sana hapa duniani, tujitahidi kuishi free of stress and enjoy to the fullest.
 
Huyo mwanaume kama ameomba msamaha,nae ni kiazi..anatakiwa kukana everything....

Na huyo mwanamke kama anajitia hana mapenzi nae tena,ni well and good,na akijitusu tu nae a-cheat akishikwa ndio ndoa inafia hapo hapo siku hiyo hiyo.

Na kama ukikaa humo ndani ndio unajifanya humpendi tena,viburi,etc,unajipoteza tu maana huo usumbufu wa kukaa kama alien ni wako and he never cares what you actually feel maana nobody is in your heart or brain,she will sit on that shit...

Hivi viwanawake mume aki-cheat vinapaniki kupita maelezo ni visichana vya hovyo vyenye feminism ndani na vyenye theory ya mashindano
Most of the time these kinds of female kills their husband. You can’t forget someone who apologized to you?
 
Huwa tunaitumia hiyo excuse kuhalalisha kuendelea kuishi kweye ndoa na hao wazinzi (so far hata ndoa yenyewe kwenye spiritual realm inakuwa imeshavunjika). Inabidi tu niassume na kwa wenzangu kunawaka moto kama kwangu teh; ntafanyaje huku ndoa naitaka. It's wise kusema umeamua tu kuendelea kuishi na huyo mzinzi pamoja na yote (you don't owe anyone an explanation so far); kuliko kujifariji kuwa all men cheat ilhali unagugumia ndani kwa ndani

Hapa wengine tunajishaua all men cheat; ila tukihisi tu kuna mchepuko; tunautafuta then tunaenda kuanzisha timbwili au humo ndani kunawaka moto. Jiulize ni wangapi humu tukifumaniaga huwa tunawaambiwa waume zetu "hongera mume wangu; upo sawa tu kama wanaume wote? Kwa nini tuumie sasa ilhali hiyo ni tabia ya wanaume wote?

Bado wapo wanaume waaaminifu; wanaoheshimu wake zao, na viapo vyao vya ndoa kwa kutokuchepuka. Wengine ni personal decision tu kutokuchepuka; na wengine wanafanya hivyo kwa sababu ya hofu ya Mungu. Ndoa ni kitu chema sana; ndoa si kuishi na maumivu kama wengi wetu tunavyojifariji hapa. Although uaminifu sio chagamoto pekee kwenye ndoa; lakini uaminifu ukikosekana ni jambo la kujeruhi moyo sana. Kuna makosa mengi lakini usaliti sio tu ni kosa; bali ni kuvunja imani ambayo mtu alikuwa nayo juu yako. Ni gharama kubwa sana kurudisha imani ilivunjika; na kwa wengi ni kidonda kisichopona.

Let's stop legitimising nonsense. Usaliti sio tu kitu ambacho mtu anafanya kinapita. Usaliti umevunja ndoa nyingi; umetenganisha wazazi na watoto; watu wameambukizwa magonjwa yasiyotibika; familia zimetelekezwa hazina mbele wala nyuma. Kuna michepuko inaroga na kuua wake ili yenyewe iolewe afu baadaye watoto ndo wanateseka n.k. If one decides to settle for nonsense; it's very ok, but let us not propagate it. Ni upumbavu na ni ubatili

Mithali 6:26, 32-33

26. Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate;Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani.

32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

33 Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima;Wala fedheha yake haitafutika.
I loved your comment
 
Kuna kitu jamii huwa inajisahaulisha hasa wanawake na kudhani vitu vinabadilika kirahisi.
Umeolewa na mwanaume ambaye kwetu ni mtoto wa mke wa pili au tatu unadhani wewe utakuwa peke yako?
We ni Nani mpaka uwe peke yako?
Unaanza kusema kutoka nje ya ndoa ni dhambi, Ina maana ulikubalije kuolewa na Mimi ambaye ni product ya dhambi!?
Maana bila dingi kutenda hiyo dhambi ya kuongeza mke usingekuwa na mume.
Women mnaimagine maisha yenu peke yenu not happening katika society mnazoishi.
Na bahati mbaya wengine mlikuwa mnaishi kwa kuchepuka na waume za watu kabla ya kuolewa. Ila mlipoolewa hamtaki waume zenu tusaidie kuwapendezesha wenzenu walio singo.
 
Pole dada najua me nikama mdogo wako but nikwambie tu ili fanya hvi...chukua likozo aga nenda katembelee sehem kama unaweza ukiwa uko fikilia ili mume angu ananicheat je naweza kuishi bila yeye? Kama jibu ni ndio basi muache kama jibu ni hapana rudi nyumban na sahau kila kitu na habari za kucheatiwa toa hakirin mwako kwa sababu uko nikujisabishia maradhi ya moyo bure wakat kumuacha auwezi sasa ni bora umuache ukae na amani au bora usimuache usamehe muishi kwa amani.... Ila Nik ushauri kitu kama mwanaume wako anacheat na akuoneshi azalani acha kufatilia maan maumivu unayo yapata wewe ndo unayatafuta kingine wewe ni wa thamani sana kwake ilo ndo unatakiwa kujua kitendo cha mtu kukoa kukuweka ndan sio kwamba mapenzi alianzia kwako no ni kwa sababu aliamini wewe ni mtu special kwake kamwe dada hakuna mwanaume ambaye acheat lakn kukucheat kwake sio kwamba hakupendi acha kabisa kukalisha adui kwa ndoa yako cha msingi kama uko na imani muombee mumeo aepukane na hvyo vishawishi nini mengi ya kukuambia ila kwa hyo machache kuwa na furaha na mumeo a nakupenda mno.
 
Acheni viburi vya lilith
Mwanaume kamili lazima a cheat...kwaio mwanamke tambua ukweli huu ku cheat ni lazima ila kuna viwango na heshima kukutunzia...
Mwanaume hana dhambi ya uzinzi
 
Go back to your house, ukiona huwezi usiolewe kabisa
 
Kiukweli wa mambo halisi, dada si wanaume wote hucheat hata uwe mzuri kiasi gani ila hutofautiana tu mbinu za kucheat ; kuna wengine ambao hukamatwa mapema na wake zao na wengine milele na milele hawatakuja kukamatwa

Kifupi hata kama utaachana na mumeo ukidhani utampata wa tofauti ni kujiweka kwenye wakati mgumu zaidi
 
Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.

Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.

Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.

Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.

Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.

Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.
tupe mrejesho
 
Kuchagua ni kupanga,CHAGUA KUBAKI NA NDOA MLEE WATOTO,AU KUCHEPUKA NJE YA NDOA UJIUGUZE NA UKIMWI.choice is yours.

Maana sisi kama wanaume kucheat ni kuteleza kwa tamaa na sio kupungukiwa akili wala kuharibu ndoa.

#ALAFU ACHA KUSHIKA SIMU YA MMEO#

MUOMBEEE NA MUWEKE KWENY SALA ZA FAMILIA..ATAAACHA
 
Back
Top Bottom