Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

My kaka my mito Mimi misimamo yangu haijawahi kubadilika tangu utoto na huu utu uzima iko palepale Yani Mimi ningelipiza tu Yani Hadi tuwe na watoto nakuwa nimekuchoka tayari I can establish my self Tena ukiwa kinganganizi nafanya hadharani, ili kila mtu achukue hamsini zake, even people wonder nilivo and I don't care you know better start from zero rather than tolerating narcistic behavior in relationship. When I'm tired and made up my mind mhhh, no turning back my dear, even if sijakukamata ume cheat I have a tendency of trying things, I'm more liberal and I respect other feelings and boundaries,mie Bora mtu anambie baby I'm tired I cheated on you, kuliko kuniomba msamaha mhhh naona unafiki I will prefer a relationship hata ya kutoana hamu, without other condition attached kuliko a fake relations wallah. Since sipendi kubanwa n I caught you let raise our kid's without affecting them, but don't limit my feelings of hanging with other people I like eeeh.
Usije kufanya wazi mtu wangu, hatutaki kuona magunia mawili ya mkaa sisi. Yaani hata kama utalipiza kisasi kwa mume aliyecheat, basi iwe siri coz unaweza kuleta shetani wa pili hapo mkauana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwenye maisha watu watata hupata wanaume wastaarabu and vice versa is true. Mbunyege anapata tu vizuri Ila mpaka anipe hela nifurahi rohoni maana napenda hela ka ninavompenda Yesu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Unajua shida ya hapa Jf hatujuani. Unaweza ukatoa macho mwenyew kuelekeza watu ukijua ni watu wazma waelewa kumbe wngne ni vitoto vya shule (kula, kulala na kusaza) vinapost uku vinachezea rimoti ya tv ya babake, hajui hata mche wa sabuni unauzwaje
 
Mimi nimekusamehe moyo mweupe chukua hamsini zako staki mazoea kabisa, wewe Baki na huo mstari wako mkuu. When I draw my boundaries I mean it.
Hiyo yako si tafsiri ya kusamehe , sema bado umenuna tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo yako si tafsiri ya kusamehe , sema bado umenuna tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kwanza huwa siweki kinyongo moyoni moyo wangu mweupe kabisa Ila ndo staki mazoea. Kusamehe I maanisha nibaki na wewe. When it's over ni over kweli
 
Usije kufanya wazi mtu wangu, hatutaki kuona magunia mawili ya mkaa sisi. Yaani hata kama utalipiza kisasi kwa mume aliyecheat, basi iwe siri coz unaweza kuleta shetani wa pili hapo mkauana.
[emoji23][emoji23][emoji23]kwanini aniue na nimeamua kufanya yangu, mbona yeye kafanya sijamuua.
Hahaaa eti nilipize kisiri Siri nikifanya kisiri hataumia lazima niji mwambafai na mda huo nakuwa nimesha Hama mji
 
Kwa hiyo sasa hivi inabidi umuelewe kwa 0%[emoji23], her happiness comes first coz she doesn't have kids yet, akiwa na watoto huenda kids' happiness ikaja first then her's, hapo ndio misimamo yote aloyonayo itabadilika.

I get your point mkuu.
My happiness comes first, and my peace, the rest of other issues I don't care just I ignore it.
 
My happiness comes first, and my peace, the rest of other issues I don't care just I ignore it.
Unapata kidume kinakukuna hadi unaona dunia yote yako, halafu kinaku-cheat. Well, tusiombe hayo yatokee, tunahitaji jamii iliyostaarabika, familia bora hujenga jamii bora.
 
Unapata kidume kinakukuna hadi unaona dunia yote yako, halafu kinaku-cheat. Well, tusiombe hayo yatokee, tunahitaji jamii iliyostaarabika, familia bora hujenga jamii bora.
Kwa Sasa Mimi I don't care hata anikuneje anifanyeje yet nikitoka hapo natumia akili zangu tendo limeisha siwezi mweka Moto moyoni binadamu anayebadilika badilika so akifanya it's okay, akifanya okay Ila sio eti nichanganyikiwe hapana. Kikubwa ni kuheshimiana tu.
And what cost us we expect much from people forgeting that they are human beings loh. Mimi hata anifanyeje simuweki moyoni namweka kiunoni akizingua nsmtingisha tupa kule
 
We uko sealed bwana![emoji39]
 
Wanaume tunaweza kuomba msamaha hata kwa jambo ambalo hatujalifanya unajua hilo, ili kumfanya mke awe na amani...
Hakuna kitu kama hicho, wanawake ndiyo huomba msamaha hata kama si kosa lake, wanaume wengi ndiyo huwa wagumu kuomba msamaha kwa wenzi wao!
 
Mhh, sasa nimeshaconfirm nilichokuwa nakihisi. Good. Haya, moto wa volcano huo uliopo ndani yako. Mhh safi sana.
It's about mindsets tu na ku focus na future dunia hii ilivo na mengi imagine una mipango familia I move on kimaendeleo mtu yeye anahangaika tu Tena michepuko ya sikuhizi mishirikina inakuloga mke ufe ubaki ili aolewe hafu wewe watoto wako waamze kuteseka, Mimi ikifika mtu amekuwa too much namruhusu tu aende mimi nipambane na wanangu umri huu Sijaona jipya kwenye uzinifu, si Bora nitafte hela, nifanye maendeleo nilee wanangu nikiwa mzima wa afya maana stress za mahusiano zimeua watu wangu Hadi unaingia kaburini no happiness. Kwa umri huu nilichobakisha ni kuwa na watoto tu basi hayo mengine kuhangaika na mtu mzima kwa kweli siwezi, Mola anipe ujasiri kwa kweli.
Nimeona watu wamelea watoto na wamekua tu vizuri, nimeshuhudia watu mahusiano yakiwaharibia maisha, so kikubwa nikuomba Mungu akupe ujasiri ku tackle changamoto bila kukata tamaa. Kuna kaka was smart Ila mahusiano na mkewe yamemfanya akachaganyikiwa kabisa na hawezi fanya Jambo lolote, kikubwa tabia ya kuweka binadamu moyoni ni hatari watu siwakuaminika
 
Mhh, sasa nimeshaconfirm nilichokuwa nakihisi. Good. Haya, moto wa volcano huo uliopo ndani yako. Mhh safi sana.
Kumbe ni ume confirm ulichokuwa unahisi badala ya logic
 
Nyie endeleeni kujidanganya tu, eti wanaume wa kiafrika, karibu kutafuta data za infidelity na divorce rate za wazungu na waafrica halafu ndio utaelewa, rangi ya mtu, haidetermine tabia yake.

Unaweza kupata mwenza nzuri au mbaya bila kutegemea rangi yake.
Mbona simpo tu, muache huyo umtafute huyo mume wa pekeyako.

**Mwanaume yyote (wa kiafrika) sio wa kuwa na mwanamke mmoja.
 
wanaume hamjaumbiwa mwanamke mmoja? are u sure? kwani Mungu alipomuona Adam ni mpweke alimuumbia wanawake wangapi? hebu acha kumkufuru Mungu kwa kuhalalisha dhambi. wewe sema sisi wanaume wenye tamaa huwa hatutosheki na mwanamke mmoja lakini usiseme eti hatukuumbiwa mwanamke mmoja
mkuu wanaume wanapenda vipande vipande according to mkuu wa mkoa wa kilimanjaro
 
Back
Top Bottom