Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Jamaa alikuwa na Mungu aiseee....!!
Kabisa mkuu, lakini nahisi alikua ameshamgundua kutoka muda mrefu. Kuna moja niliwahi kusikia kwenye heka heka jamaa alikua amelala mke wake akamwagia mafuta ya moto halafu akakimbia.

Pia huko Kenya niliwahi kusikia kwenye taarifa ya habari kuna mama alimkata mumewe sehemu za siri wakati jamaa yupo usingizini.

Sasa why mtu kujipatia matatizo yote kama haya, mwisho mtu ufungwe bure watoto wabaki wanateseka.
 
If your happiness comes first and your kids happiness comes second, hapo nimekuelewa by 50% coz you don't have kids yet.

Ila ungekuwa ndoani na watoto tayari halafu ukaongea hivi walau ningekuelewa by 70%

Lastly, ungekuwa ndoani na watoto juu halafu ukapata maswahiba kama ya huyu dada, then ukaongea hivi, hapo ningekuelewa by 99.9%
My kaka my mito Mimi misimamo yangu haijawahi kubadilika tangu utoto na huu utu uzima iko palepale Yani Mimi ningelipiza tu Yani Hadi tuwe na watoto nakuwa nimekuchoka tayari I can establish my self Tena ukiwa kinganganizi nafanya hadharani, ili kila mtu achukue hamsini zake, even people wonder nilivo and I don't care you know better start from zero rather than tolerating narcistic behavior in relationship. When I'm tired and made up my mind mhhh, no turning back my dear, even if sijakukamata ume cheat I have a tendency of trying things, I'm more liberal and I respect other feelings and boundaries,mie Bora mtu anambie baby I'm tired I cheated on you, kuliko kuniomba msamaha mhhh naona unafiki I will prefer a relationship hata ya kutoana hamu, without other condition attached kuliko a fake relations wallah. Since sipendi kubanwa n I caught you let raise our kid's without affecting them, but don't limit my feelings of hanging with other people I like eeeh.
 
Mi nilicho ona kwa wanawake wengi huwa wanasamehe mdomoni tu ila moyoni huwa hawasamehi na ndio maana wengi unakuta akiwa kwenye maongezi na wenzake ukimuuliza baba fulani hajambo ata kujibu lipo halijambo mi nikishaona hivyo najua tayari huyu alishamtoa mme kwenye moyo wake.
Kuna mwingine jirani yangu mme alikuwa malaya sana. Akaanza kuumwa Ali muuguza vizuri tu maana alilazwa hospital.
Siku anaenda asubuhi kuleta chakula kumbe mme alifariki usiku sasa manesi wanafikiria jinsi ya kumwambia alivyowaona akawauliza amekufa? Wakamjibu ndio wala hakushughulika kuangalia maiti wala kulia ndio kwanza akaanza kupigia watu simu.
Baada ya kuzika nakumbuka alisema afadhali limeenda likafanye umalay huko liendako.
Sasa hivi ukimuona utajua tu yule baba alimkera maana kapendeza sana halafu watoto wake wako very successful yeye ana enjoy maisha sasa.
Umeongea kitu sahihi kabisa mkuu. Kuliko kuishi na vinyongo ni bora kila mtu aendelee na maisha yake.
 
Mi nilicho ona kwa wanawake wengi huwa wanasamehe mdomoni tu ila moyoni huwa hawasamehi na ndio maana wengi unakuta akiwa kwenye maongezi na wenzake ukimuuliza baba fulani hajambo ata kujibu lipo halijambo mi nikishaona hivyo najua tayari huyu alishamtoa mme kwenye moyo wake.
Kuna mwingine jirani yangu mme alikuwa malaya sana. Akaanza kuumwa Ali muuguza vizuri tu maana alilazwa hospital.
Siku anaenda asubuhi kuleta chakula kumbe mme alifariki usiku sasa manesi wanafikiria jinsi ya kumwambia alivyowaona akawauliza amekufa? Wakamjibu ndio wala hakushughulika kuangalia maiti wala kulia ndio kwanza akaanza kupigia watu simu.
Baada ya kuzika nakumbuka alisema afadhali limeenda likafanye umalay huko liendako.
Sasa hivi ukimuona utajua tu yule baba alimkera maana kapendeza sana halafu watoto wake wako very successful yeye ana enjoy maisha sasa.
Na ndio maana nasema wengi ni wanafiki Mimi nikiwa kwenye vikundi wanawake Wana machungu tele, kwanini uvumilie maumivu moyoni mwako, na wanawake wengi waume zao wakifa hunawiri na kupendeza maradufu.
 
Na ww unasubiria jamaa afe unawiri..?
 
Mimi mwenyewe tu na shine kabla yake. Wengi huchujuka kwa kuruhusu stress
Sema ww hutaki kujishusha kabsa yan jamaa akivimba na ww unavimba[emoji23][emoji23] akicheat na ww ni kucheat[emoji23][emoji23] sasa utaendelea kumpa jamaa mbunye au?
 
Mi nilicho ona kwa wanawake wengi huwa wanasamehe mdomoni tu ila moyoni huwa hawasamehi na ndio maana wengi unakuta akiwa kwenye maongezi na wenzake ukimuuliza baba fulani hajambo ata kujibu lipo halijambo mi nikishaona hivyo najua tayari huyu alishamtoa mme kwenye moyo wake.
Kuna mwingine jirani yangu mme alikuwa malaya sana. Akaanza kuumwa Ali muuguza vizuri tu maana alilazwa hospital.
Siku anaenda asubuhi kuleta chakula kumbe mme alifariki usiku sasa manesi wanafikiria jinsi ya kumwambia alivyowaona akawauliza amekufa? Wakamjibu ndio wala hakushughulika kuangalia maiti wala kulia ndio kwanza akaanza kupigia watu simu.
Baada ya kuzika nakumbuka alisema afadhali limeenda likafanye umalay huko liendako.
Sasa hivi ukimuona utajua tu yule baba alimkera maana kapendeza sana halafu watoto wake wako very successful yeye ana enjoy maisha sasa.
aisee[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ni bora mtu asikusamehe ujue moja kuliko mtu akusamehe halafu akabaki na kinyongo. Nina uncle wangu mmoja alioa, changamoto kubwa kwenye ndoa yake mke wake alikua na wivu kupindukia, ilifika hatua akaanza hadi kumnyima tendo la ndoa. Uncle wangu alivumilia alijitahidi kuwatafuta ndugu wa mwanamke wafanye vikao wamalize changamoto yao lakini mke akawa hatoi ushirikiano, mwisho wa siku kwa kua nae ana hisia akatafuta mchepuko huko nje ili awe anajiliwaza + kitimiza haja zake.. Yule mke wake alipozipata taarifa ndio akajirudi, akajidai amebadilika kweli, waka solve matatizo yao wakaendelea kuishi pamoja kama awali. Kumbe yule mke wake ana kisasi kakiweka moyoni, siku moja wamelala usiku uncle wangu akasikia mtu ameamka, lakini akajidai bado amelala, kumbe yule mke wake ameenda jikoni kuchukua kisu ili aje amchome nacho, bahati nzuri alimuwahi. Mwisho wa siku kila mtu ana maisha yake, wanavyoishi hata haijulikani kama wameachana ama vipi, ila uncle amemuachia nyumba huyo mke wake maana wana watoto wawili, yeye kaenda zake kupanga.

Sasa kwa situation kama hizi si bora mtu kujiondokea tu mapema ili kuepusha madhara makubwa zaidi. Kuna mdau mmoja huko juu kaongea point kubwa sana, kama hauna uwezo wa kusamehe ni bora uachane na mhusika maisha mengine yaendelee.
jamaa aliponea kwenye tundu la sindano
 
Sema ww hutaki kujishusha kabsa yan jamaa akivimba na ww unavimba[emoji23][emoji23] akicheat na ww ni kucheat[emoji23][emoji23] sasa utaendelea kumpa jamaa mbunye au?
[emoji23][emoji23][emoji23] kwenye maisha watu watata hupata wanaume wastaarabu and vice versa is true. Mbunyege anapata tu vizuri Ila mpaka anipe hela nifurahi rohoni maana napenda hela ka ninavompenda Yesu.
 
Ukweli ni kwamba cheating haisahauliki labda kama na wewe unachitiga.

Mkeo au mumeo akikuchiti huwezi sahau maisha yako yote. Ni Mungu tu ndo anayeweza kukupa nguvu za kuvumilia kuendelea kuishi naye, vinginevyo unaweza mvizia mwenzio usiku kalala umchome kisu umuue bure!

It's not that easy
Mkuu, ulipotea sana. Comment yako imenifikirisha!!
 
My young sister there comes a time when you will need to tolerate for the happness of your innocent kids. This is what is referred to 'ndoa ni kwa ajili ya watoto' au "ndoa ni ya watoto'

Unaweza usielewe kwa sasa kwa vile huna watoto yet, huna ndoa.
Muda huwa ni mwalimu mzuri mkuu.
 
Je! Umesoma mpaka mwisho? Mme angeomba msamaha kama hajayafanya hayo?
Wanaume tunaweza kuomba msamaha hata kwa jambo ambalo hatujalifanya unajua hilo, ili kumfanya mke awe na amani...
 
If your happiness comes first and your kids happiness comes second, hapo nimekuelewa by 50% coz you don't have kids yet.

Ila ungekuwa ndoani na watoto tayari halafu ukaongea hivi walau ningekuelewa by 70%

Lastly, ungekuwa ndoani na watoto juu halafu ukapata maswahiba kama ya huyu dada, then ukaongea hivi, hapo ningekuelewa by 99.9%
Kwa hiyo sasa hivi inabidi umuelewe kwa 0%[emoji23], her happiness comes first coz she doesn't have kids yet, akiwa na watoto huenda kids' happiness ikaja first then her's, hapo ndio misimamo yote aloyonayo itabadilika.

I get your point mkuu.
 
Back
Top Bottom