Hahaha sio wote soma wabawake wenzenu walivyofanya
[emoji116]
1 Kadhalika ninyi wake, watiini waume zenu; kusudi, ikiwa wako wasioliamini Neno, wavutwe kwa mwenendo wa wake zao, pasipo lile Neno;
1 Petro 3:1
2 wakiutazama mwenendo wenu safi, na wa hofu.
1 Petro 3:2
3 Kujipamba kwenu, kusiwe kujipamba kwa nje, yaani, kusuka nywele; na kujitia dhahabu, na kuvalia mavazi;
1 Petro 3:3
4 bali kuwe utu wa moyoni usioonekana, katika mapambo yasiyoharibika; yaani, roho ya upole na utulivu, iliyo ya thamani kuu mbele za Mungu.
1 Petro 3:4
5 Maana hivyo ndivyo walivyojipamba wanawake watakatifu wa zamani, waliomtumaini Mungu, na kuwatii waume zao.
1 Petro 3:5
Wewe unadhani mienendo mibaya inakusaidia? Inakubomoa mara mbili zaidi