Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Tofauti na Yesu nani alijitoa uhai kwa ajili ya makosa ya mwingine? Yesu mwenyewe aliwakuta kwenye sinagogi wakiuza na kuuziana aliwatandika viboko, kwanini hakuwakarisha chini aanze kuwafundisha kwaya, yaani wanatetea uzinzi kama kulamba ice cream
Ndio wanaume hao so selfish Yani.
 
Sijasema hujaelewa andiko nililoliweka namini hajaelewa tu muunganiko mzima wa andiko hili

Nimezungumzia chanzo cha baadhi ya matatizo katika ndoa na kuwashauri wanawake wasikimbilie solution zinazowatumbukiza shimoni na sehemu nyingine nimeonesha tu vyanzo vya ugomvi kakita ndoa nyingi maana watu tunapenda kulaumu juu ya matokeo na kusahau mchango wetu katika matokeo hayo ili ikiwezekana tujilaumu wenyewe kuliko kuwalaumu wengine.
 
Ndio wanaume hao so selfish Yani.
Tena hao wanaochonga ukute wake zao wanamichepuko ya kufa mtu mpaka wanapata na watoto kabisa na hawasemi kitu, kelele hapa jukwaani lakini kwa wake zao ni kondoo
 
Hahaaa ndio ukweli mkuu hawatujui tu wanawake jinsi tuko hatari Sana dunia hii wanawake asilimia kubwa Wana michepuko Tena na maisha haya yalivo magumu, vile tu wanawake hufanya kwa Siri kubwa sana
 
Tena ukanda huu wa pwani uwiii! Wachepuke tu wake zao wasijue maana visasi vyake huwa ni balaa
 
Kanishangaza mno wakishindwa hoja ya kawaida hukimbilia maandiko badala ya uhalisia Sasa mtu anaji linganisha na Yesu
Soma andiko zima uelewe sijasema mimi ni Yesu nimemjibu yule aliyesema hajali watoto watabaki vipi anachocheck ni furaha yake tu basi (watu wa aina hiyo maandiko yanawakumbusha wafikiri vema kuwa upendo wa kweli haujitazami nafsi yako tu ,) ndiyo maana maandiko yakasema mpende jirani yako kama nafsi yako sasa kama mtu hajali hata wanae kisa mmewe kacheat unamwona ni mzima? Mtu anayeweza kuwachukia hadi wanae kisa makosa ya mzee basi hana tofauti na shetani kabisa
 
Ndio wanaume hao so selfish Yani.
Hakuna mtawala asiye na chembe za uselfish
Mwanamme ni mtawala ndiyo maana umeagizwa kumtii ukishindana naye unashindana na agizo la Mungu yanayokuja kutoka kwake uyapokee .
 
Mimi nashindana tu na yeye anayefanya ujinga haijalishi jinsia sijui blah blah za utawala hizo ni ngonjera tu kwangu
 
Hahaaa ndio ukweli mkuu hawatujui tu wanawake jinsi tuko hatari Sana dunia hii wanawake asilimia kubwa Wana michepuko Tena na maisha haya yalivo magumu, vile tu wanawake hufanya kwa Siri kubwa sana
Hahaha sio wote soma wabawake wenzenu walivyofanya
[emoji116]
1 Kadhalika ninyi wake, watiini waume zenu; kusudi, ikiwa wako wasioliamini Neno, wavutwe kwa mwenendo wa wake zao, pasipo lile Neno;
1 Petro 3:1

2 wakiutazama mwenendo wenu safi, na wa hofu.
1 Petro 3:2

3 Kujipamba kwenu, kusiwe kujipamba kwa nje, yaani, kusuka nywele; na kujitia dhahabu, na kuvalia mavazi;
1 Petro 3:3

4 bali kuwe utu wa moyoni usioonekana, katika mapambo yasiyoharibika; yaani, roho ya upole na utulivu, iliyo ya thamani kuu mbele za Mungu.
1 Petro 3:4

5 Maana hivyo ndivyo walivyojipamba wanawake watakatifu wa zamani, waliomtumaini Mungu, na kuwatii waume zao.
1 Petro 3:5

Wewe unadhani mienendo mibaya inakusaidia? Inakubomoa mara mbili zaidi
 
Soma andiko zima uelewe sijasema mimi ni Yesu nimemjibu yule aliyesema hajali watoto watabaki vipi anachocheck ni furaha yake tu basi (watu wa aina hiyo maandiko yanawakumbusha wafikiri vema kuwa upendo wa kweli haujitazami nafsi yako tu ,) ndiyo maana maandiko yakasema mpende jirani yako kama nafsi yako sasa kama mtu hajali hata wanae kisa mmewe kacheat unamwona ni mzima? Mtu anayeweza kuwachukia hadi wanae kisa makosa ya mzee basi hana tofauti na shetani kabisa
Sasa kwani kumsamehe mtu lazima uendelee naye nimekusamehe endelea na maisha yako uliyo chagua watoto wapo tu utawaona mda wowote ukitaka.
Kwenye hii dunia tumekuja kuishi na ku enjoy na sio kuteseka
 
Mimi nashindana tu na yeye anayefanya ujinga haijalishi jinsia sijui blah blah za utawala hizo ni ngonjera tu kwangu
Na sidhani kama umewahi kushinda na hutoshinda
,umri unapozidi kusogea utagundua ulipotea njia but it will be too late
 
Sasa kwani kumsamehe mtu lazima uendelee naye nimekusamehe endelea na maisha yako uliyo chagua watoto wapo tu utawaona mda wowote ukitaka.
Kwenye hii dunia tumekuja kuishi na ku enjoy na sio kuteseka
Kosa afanye mwingine halafu uliyekosewa ndiyo uwe mtii daa watateseka sana, kama Yesu wamfuate huko aliko halafu yeye hakuoa kabisa hata demu hakuwa naye , ndiyo maana hata wanafunzi wake walipomkuta anaongea na yule msamalia walishangaa sana!
 
Hawa dawa yao kutungua mimba tu hlf unasepa mazima ndo akili inawakaa sawasawa.
 
Sasa kwani kumsamehe mtu lazima uendelee naye nimekusamehe endelea na maisha yako uliyo chagua watoto wapo tu utawaona mda wowote ukitaka.
Kwenye hii dunia tumekuja kuishi na ku enjoy na sio kuteseka
Unamaanisha kuna watu Mungu amesamehe dhambi zao na bado mbinguni hawatakwenda?
Hivi unaelewa hata dhana ya msamaha kweli? Soma hapa
[emoji116]
14 Tena, nimwambiapo mtu mwovu, Hakika utakufa; kama akighairi, na kuiacha dhambi yake, na kutenda yaliyo halali na haki;
Ezekieli 33:14

15 kama mtu mwovu akirudisha rehani, na kumrudishia mtu mali yake aliyomnyang'anya, akizifuata sheria za uzima, asitende uovu wo wote; hakika ataishi, hatakufa.
Ezekieli 33:15

16 Katika dhambi zake zote alizozitenda, hata mojawapo haitakumbukwa juu yake; ametenda yaliyo halali na haki; hakika ataishi.
Ezekieli 33:16

Msamaha ni ishara ya kwamba unakubali kuendelea na safari pamoja na huyo uliyemsamehe na kama hujawahi kukosea lolote katika maisha basi hupaswi kuupuza msamaha maana nawe umewahi kusamehewa.
 
Kosa afanye mwingine halafu uliyekosewa ndiyo uwe mtii daa watateseka sana, kama Yesu wamfuate huko aliko halafu yeye hakuoa kabisa hata demu hakuwa naye , ndiyo maana hata wanafunzi wake walipomkuta anaongea na yule msamalia walishangaa sana!
Acha kumtii mmeo akutimue ukawatii wanaume wasio na idadi maalumu maana ndicho unachoweza
 
Halafu eleweni mie sisemi kuchepuka ni sahihi iwe kwa mume au mke no , ishu ya utii nimesema wanawake wengi wamesahau wajibu huo kwa waume zao na ni moja ya sababu za wanaume kuchepuka ila utashupaza shingo kulaumu tu kumbe chanzo ni wewe mwenyewe.
 
Kwahiyo wanaume wanaochepuka sababu ni wake zao kutotimiza wajibu wao?
 
Back
Top Bottom