Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Ooh, I can read between your words kuna kitu nakihisi na kukiona. Haya Kwa Leo ngoja tuishie hapa.
Mbona nimefanya Mara nyingi na Nina furaha tele if you can't forgive then revenge
 
I agree with you, na Kama ni mwaminifu lazima unaweza kufanya maamuzi magumu, that's why advice people to have vidumuzi, maana hata ukijua utampuuzia na maisha yanaendelea kawaida.
Mmh vidumuzi tena, wee cariha wewe[emoji114][emoji114]
 
Ndio za only solution kwa hii dunia ambayo maadili yameporoka lazima ulinde moyo wako na afya yako ili uleee watoto mpaka wawe wakubwa, why another adult akupe pressure
 
Ngoja nikunyamazie tu maana kuna mahali umesema hujaolewa, hujawahi enda labour.

Ila siku ukiingia ndoani nina uhakika utabadili huu mtazamo wako
 
My kaka hata nikiingia wapi sijui ndoani anything that's cost my peace of mind natupilia mbali huko having kids to me doesn't matter na sipendi fake na unafiki that's how I'm born and when I make decision sirudi nyuma, so even kwenye ndoa I will prepare options a even up to z.
To me peace of mind and happiness matter's than anything I can't tolerate behaviors which are hurting me never loh.
Better pray for me kwa kweli I'm woman of principle failure to comply my principle mhhhh nikichukua maamuzi sirudi nyuma
 
Everything is mindset, nakuunga mkono mkuu. Zipo familia mimi nazifahamu ambazo baba zao waliondoka kabisa kwenda kuishi na wanawake wengine (ndani ya mkoa huo huo mmoja) tena hawakuzijali kabisa familia zao, lakini mama zao walipambana bila kubembeleza waume zao warudi wala bila kuolewa tena na wanaume wengine. Furaha zao pamoja na faraja zao zote waliziweka kwa watoto wao, wakawapambania na leo hii wana maisha yao mazuri, na ndio wanao walea mama zao. Japo ki imagination ni ngumu lakini kiuhalisia ukiamua inawezekana.

*You will never know how strong you are until being strong is the only choice you have.
 
It's about mindsets tu na ku focus na future dunia hii ilivo na mengi imagine una mipango familia I move on kimaendeleo mtu yeye anahangaika tu Tena michepuko ya sikuhizi mishirikina inakuloga mke ufe ubaki ili aolewe hafu wewe watoto wako waamze kuteseka, Mimi ikifika mtu amekuwa too much namruhusu tu aende mimi nipambane na wanangu umri huu Sijaona jipya kwenye uzinifu, si Bora nitafte hela, nifanye maendeleo nilee wanangu nikiwa mzima wa afya maana stress za mahusiano zimeua watu wangu Hadi unaingia kaburini no happiness. Kwa umri huu nilichobakisha ni kuwa na watoto tu basi hayo mengine kuhangaika na mtu mzima kwa kweli siwezi, Mola anipe ujasiri kwa kweli.
Nimeona watu wamelea watoto na wamekua tu vizuri, nimeshuhudia watu mahusiano yakiwaharibia maisha, so kikubwa nikuomba Mungu akupe ujasiri ku tackle changamoto bila kukata tamaa. Kuna kaka was smart Ila mahusiano na mkewe yamemfanya akachaganyikiwa kabisa na hawezi fanya Jambo lolote, kikubwa tabia ya kuweka binadamu moyoni ni hatari watu siwakuaminika
 
Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.

Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.

Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.

Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.

Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.

Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena[emoji134]
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.
Labda nikushauri tu achana na mmeo miezi mitatu alafu tafuta mwanaume mkamilifu utakuja kuadithia apa tena kama hutampenda mmeo kuliko mwanzo wanawake wengi kama wewe waliopata matatizo Kwa mara moja mnakuwaga na visirani sana alafu mnavunja ndoa zenu alafu wenyewe badaye mnataka kurudi Kwa wake zenu na apo roho ya kisasi imekujaa unatamani ata umlipizie ajue Ila nakwambia siku ukijaribu kulipiza ndiyo kaburi la ndoa yako kutakuwa limefika na utakuja kujuta siku zote jua asili ya mwanaume ndiyo uolewe siyo unaolewa unaisi mmeo ni mkamilifu unaisi uko nje hakutani na pisi kali za kichaga, kimbulu, kisukuma, kirangi na wengine kama mtu anaijali familia ana kupenda tuliza mshono chini furahi iyo ndoa
 
Everything is mindset, nakuunga mkono mkuu. Zipo familia mimi nazifahamu ambazo baba zao waliondoka kabisa kwenda kuishi na wanawake wengine (ndani ya mkoa huo huo mmoja) tena hawakuzijali kabisa familia zao, lakini mama zao walipambana bila kubembeleza waume zao warudi wala bila kuolewa tena na wanaume wengine. Furaha zao pamoja na faraja zao zote waliziweka kwa watoto wao, wakawapambania na leo hii wana maisha yao mazuri, na ndio wanao walea mama zao. Japo ki imagination ni ngumu lakini kiuhalisia ukiamua inawezekana.

*You will never know how strong you are until being strong is the only choice you have.
Unasema mkoa mmoja???? Yani kuna hiyo me naijua baba kaacha jumba la gorofa kaenda kuoa mwanamke mwingine mtaa wa pili tu hapoo....Hizi ndoa zina mengi mkuu
 
Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.

Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.

Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.

Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.

Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.

Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena[emoji134]
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.
Mbona simpo tu, muache huyo umtafute huyo mume wa pekeyako.

**Mwanaume yyote (wa kiafrika) sio wa kuwa na mwanamke mmoja.
 
Unasema mkoa mmoja???? Yani kuna hiyo me naijua baba kaacha jumba la gorofa kaenda kuoa mwanamke mwingine mtaa wa pili tu hapoo....Hizi ndoa zina mengi mkuu
Hatari sana mkuu, kuna baadhi ya wanaume nahisi dishi hua linayumba baada ya muda fulani, maana kuna mambo wanayafanya kwa akili ya kawaida unabaki unajiuliza hivi huyu mtu alikosa nini kwa mkewe, ok fine labda kamchoka mkewe but what about his own kids. Mfano kama huyo kaenda kuishi hapo hapo mtaani si makusudi tu ili amuumize mke wake, usikute hata familia yake hai support (financial) na yupo hapo karibu, au hua anaipa shavu?
 
Kabla ya kuondoka walikuwa na biashara nadhani kawaachia familia yake
Hatari sana mkuu, kuna baadhi ya wanaume nahisi dishi hua linayumba baada ya muda fulani, maana kuna mambo wanayafanya kwa akili ya kawaida unabaki unajiuliza hivi huyu mtu alikosa nini kwa mkewe, ok fine labda kamchoka mkewe but what about his own kids. Mfano kama huyo kaenda kuishi hapo hapo mtaani si makusudi tu ili amuumize mke wake, usikute hata familia yake hai support (financial) na yupo hapo karibu, au hua anaipa shavu?
 
Mbona simpo tu, muache huyo umtafute huyo mume wa pekeyako.

**Mwanaume yyote (wa kiafrika) sio wa kuwa na mwanamke mmoja.
Kiuhalisia upo sahihi sana mkuu, tatizo ukisema hivyo kua hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja wanawake watasema unasifia uzinzi, lakini kumbe kutokana na sisi wenyewe wanaume kufahamiana na kuzijua tabia zetu kutokana na kuona kwa wanaume wengine wengi kuna vitu tunakua tunavijua ambavyo wanawake hawavijui, ikiwamo hio ya hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja.

Wanawake lazima wajue kua tunaposema hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja hatutetei uzinzi na wala sio kwamba wanaume waaminifu hawapo, wapo ila ukienda overall kitakwimu wanaume waaminifu idadi yao ni ndogo sana kama uki compare na wanaume wasio waaminifu. Pia sio kila mwanaume anaesema hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja ni mzinzi, mwingine anaweza kua muaminifu kabisa ila akaongelea kutokana na experience yake au yale aliyoyaona kwa wanaume wengine.
 
Kabla ya kuondoka walikuwa na biashara nadhani kawaachia familia yake
Angalau huyo kidogo ni muungwana, kuna wazee wengine aiseh hua hawajali chochote, halafu mwisho wa siku life likimpiga amarudi kwake kirahisi rahisi kana kwamba hakuacha matatizo, na wanawake nao walivyo na huruma wanawapokea simple simple tu.
 
Kabisa mkuu kuna mzee ni ndugu yangu kabisaa alipata mafao akaenda kwa hawaraa wakazilaa na mpaka alimjengea nyumba zilipoishaa yule mdada alimfukuza Mchana kweupee yani kamtupia mabegi nje na jamaa hela za kustaafu ashatumbua nae zote...!! Akarudi kwa mkewe lakini now wanalala vyumba tofauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Angalau huyo kidogo ni muungwana, kuna wazee wengine aiseh hua hawajali chochote, halafu mwisho wa siku life likimpiga amarudi kwake kirahisi rahisi kana kwamba hakuacha matatizo, na wanawake nao walivyo na huruma wanawapokea simple simple tu.
 
Kiuhalisia upo sahihi sana mkuu, tatizo ukisema hivyo kua hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja wanawake watasema unasifia uzinzi, lakini kumbe kutokana na sisi wenyewe wanaume kufahamiana na kuzijua tabia zetu kutokana na kuona kwa wanaume wengine wengi kuna vitu tunakua tunavijua ambavyo wanawake hawavijui, ikiwamo hio ya hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja.

Wanawake lazima wajue kua tunaposema hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja hatutetei uzinzi na wala sio kwamba wanaume waaminifu hawapo, wapo ila ukienda overall kitakwimu wanaume waaminifu idadi yao ni ndogo sana kama uki compare na wanaume wasio waaminifu. Pia sio kila mwanaume anaesema hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja ni mzinzi, mwingine anaweza kua muaminifu kabisa ila akaongelea kutokana na experience yake au yale aliyoyaona kwa wanaume wengine.
Skiza, hakuna watu wanaowajua vizuri wanaume kuliko hao wanawake, wanawajua kuliko wanaume wanavyojijua.
 
Back
Top Bottom