Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Acha ujinga wewe Kama mamako alikuwa single mother ni yeye mbona wewe umetoa yako no one blamed you. Jibu hoja mfyuu

leo nimelisikia sonyo la kinageria wallah.... 😆 😆 😆 😆 😆 😆
 
kama ndoa yako imeingia doa dawa cyo kuivunja ni kutafuta suluhisho...kuachana na mumeo kisa kucheat ....utakuwa ni mwendawazimu..ni sawa iwapo hamna upendo kati yenu...ila kama umeamua kukaza tu ..mwisho wa siku utajikuta unakuwa mnzinzi kuliko hata huyo uliyeamua kuachana nae.....

kukimbilia kuvunja ndoa iwe ni alternative ya mwisho baada ya njia zote kugonga mwamba.....maisha ya useja ni magumu sana..hususani kwa wale walio onja ladha ya ndoa tayari
 
Ni kwa sababu husomi Biblia vizuri , mtu makini anaishi kwa kutazama mambo ya wengine yawe mazuri (kujifikiria wewe tu ni ishara kuwa huna upendo wa kweli popote) soma hapa Yesu alivyokuchukua uamuzi wa wokovu wako hadi kufa msalabani
[emoji116]
3 Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake.
Wafilipi 2:3

4 Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine.
Wafilipi 2:4

5 Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu;
Wafilipi 2:5

6 ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho;
Wafilipi 2:6

7 bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu;
Wafilipi 2:7

8 tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.
Wafilipi 2:8

Ukijaa chuki na husuda kisa umekosewa jiulize kama umefikia nusu tu ya kile kilichompata Yesu kwa ajili yako.Angeamua kubaki zake mbinguni asingepungukiwa chochote kwa hivyo kama unawapenda wanao huwezi kushangilia kuachana
Mkuu hivo ni vifungu vya Yesu, na Mimi ni cariha na hapo Ni vitu viwili tofauti I can forgive ila kila mtu awe maisha yake kiroho Safi kabisa, unafiki ni pale una force sehemu huku moyoni una chuki huna furaha Sasa hapo si unajidaganya nafsi yako na huyo muumba.
I can forgive but mind ur bussiness with ur life, kids are good and health you can meet them, they have food on table they can meet you anytime.
So tusitumie vifungu vibaya kwa kushindwa kutafsiri maandiko Sasa Mimi Kama Sina amani na kitu sikitaki Tena nataka maisha yangu back why nijidaganye kufuraisha jamii, maandiko yenyewe nasema ukiona hata kiungo kitakuzuia kufanya Mambo ili usiende mbinguni Bora ukitoe ukitupilie mbali.
Hafu ujue tu people differ eeeh kuliko kubaki na kero nikose amani nishindwe kusali au kufanya yangu why nikumbatie hicho kitu?
But we differ on how we perceive and handle our issues.
 
Kwahiyo mke amuhesabu mme mzinzi kuwa bora kuliko yeye? Wapi andiko limeruhusu uzinzi kwenye ndoa, nyie ndiyo mnafanya wakristo tuonekane hatuna maana wala kulijua neno!
 
I agree with you, Tena ikiwezekana zaa kabisa life is too short to sacrifice for someone who doesn't care, hafu asingizie kupitiwa eti ni Mwanaume, ndio maana kumbe wabibi zamani walizaa nje kuponya makovu.
Una stress kuliko hata mwenye uzi anayeomba ushauri.😂😂😂
 
Mkuu hivo ni vifungu vya Yesu, na Mimi ni cariha na hapo Ni vitu viwili tofauti I can forgive ila kila mtu awe maisha yake kiroho Safi kabisa, unafiki ni pale una force sehemu huku moyoni una chuki huna furaha Sasa hapo si unajidaganya nafsi yako na huyo muumba.
I can forgive but mind ur bussiness with ur life, kids are good and health you can meet them, they have food on table they can meet you anytime.
So tusitumie vifungu vibaya kwa kushindwa kutafsiri maandiko Sasa Mimi Kama Sina amani na kitu sikitaki Tena nataka maisha yangu back why nijidaganye kufuraisha jamii, maandiko yenyewe nasema ukiona hata kiungo kitakuzuia kufanya Mambo ili usiende mbinguni Bora ukitoe ukitupilie mbali.
Hafu ujue tu people differ eeeh kuliko kubaki na kero nikose amani nishindwe kusali au kufanya yangu why nikumbatie hicho kitu?
But we differ on how we perceive and handle our issues.
Aisee kwel umejeruhiwa vibaya
 
Kwahiyo mke amuhesabu mme mzinzi kuwa bora kuliko yeye? Wapi andiko limeruhusu uzinzi kwenye ndoa, nyie ndiyo mnafanya wakristo tuonekane hatuna maana wala kulijua neno!
Kanishangaza mno wakishindwa hoja ya kawaida hukimbilia maandiko badala ya uhalisia Sasa mtu anaji linganisha na Yesu
 
Soma uelewe nadhani hujaelewa vema kile nilichokiandika.
 
Hahaaaaa huo mtazamo wako na uheshimu mkuu, unaweza sema chochote since it's a free world
Sure.
Sina hakika sana ila nimetumia simple rule kuwa "kimtokacho mtu ndicho kilichoujaza moyo wake". Na hik ndio hunajis haswaaa
 
Unaruhusiwa kufikiria lolote mkuu ni mtazamo wako nauheshimu
 
Kanishangaza mno wakishindwa hoja ya kawaida hukimbilia maandiko badala ya uhalisia Sasa mtu anaji linganisha na Yesu
Tofauti na Yesu nani alijitoa uhai kwa ajili ya makosa ya mwingine? Yesu mwenyewe aliwakuta kwenye sinagogi wakiuza na kuuziana aliwatandika viboko, kwanini hakuwakarisha chini aanze kuwafundisha kwaya, yaani wanatetea uzinzi kama kulamba ice cream
 
Back
Top Bottom