Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Na wewe chepuka tu hapo kilichobaki nikulea watoto cheating haisameheki kabisa hasa mtu uliye mwamini, Hawa viumbe huua nyege za wake zao. Nakuhurumia maskini kiukweli na wewe chepuka tu ngoma droo wallah
Akili kama hizi ni hovyo kabisa. Yaani ukatoombwe ww ufikirie kuwa unamkomoa mwanaume kwani mnakuwa wote kwenye kukata viuno?

Unayetoombwa ni ww, maumivu au raha unapata ww, mimba utabebeshwa ww halafu unasema unamkomoa mumeo inakuja akilini??
 
Nikiwa na wewe haimanishi una niridhisha Sana nakuvumilia Sasa wewe Kama unahangaika na Mimi kwanini nisitafte mwanaume anayekuzidi wewe. Maana kila mtu ana mapungufu Sasa kwanini nisitafte body satisfaction sehemu nyingine maana umenikera Sina hamu na wewe kabisa. Kutoa hamu sio kukomoana ni kuupa moyo kitu inapenda mkuu[emoji23][emoji23]
 
Tambua kuwa mpaka mwanaume ameamua kuishi na na ww ni anakupenda ila kule anakochepuka ndio anadanganya.

Mchepuko ni sawa na choo cha stand ni sehemu ya kutolea haja ya dharura tu wakat nyumbani una choo cha kudumu na kisafi kuliko cha stand. Usije uka panic na kuharibu kila kitu.
Hata yeye anakupenda lazima abadili different taste ujue ukila maharage daily unachoka na kukinai mkuu.
 
Nikiwa na wewe haimanishi una niridhisha Sana nakuvumilia Sasa wewe Kama unahangaika na Mimi kwanini nisitafte mwanaume anayekuzidi wewe. Maana kila mtu ana mapungufu Sasa kwanini nisitafte body satisfaction sehemu nyingine maana umenikera Sina hamu na wewe kabisa. Kutoa hamu sio kukomoana ni kuupa moyo kitu inapenda mkuu[emoji23][emoji23]
Haya kila la kheri ktk kujipa raha
 
Haya mama kila la kheri ktk kujipa raha
 
Wanawake kama wewe mi ndio nawataka jaribu kucheat na wewe uone jinsi utageuka kuwa Malaya kama mbwa, hilo Jambo dogo sana sana, kwanza furahia ukamilifu wa kingono kwa mumeo bye
 
Mimi huwa naona kinyaa kabisa naona anachonifanyia kumbe kuna mwingine anafanyiwa hivyo..................... lakini huwa nasamehe mambo yanasonga mbele kabisa sina shida tena. haswa nikiombwa msamaha ule wa dhati. hata wewe umeombwa msamaha wa dhati maana hata vacation umepelekwa
 
kwanza elewa tuu sisi wanaume hatujaumbiwa mwanamke 1.kumbuka pia hata akicheat nje mapenz kwako hayataisha wala hatapunguza matumiz na watoto watasoma.ndio udhaifu tulio nao km nyie pia mna udhaifu wenu ingawa hamjielewi.unachofanya au kukosea ni kukosa apetite na huyo mmeo hilo ni kosa cha msingi wee mbadilishie style zile ambazo hamjawai kufanya yaani kiufupi ubadilike na usimtuhumu kwa chochote au kuonyesha hisia mbaya.mpende hivyo hivyo mpikie chakula kizuri umkaribishe kwa unyenyekevu badili mazingira yote ya mazoea!mfanye aone nyumbani ulipo wewe ni vantage point yake akute vitu ambavyo tofauti na anapochepukia na sio kumfanya ajione dhaifu kwa tuhuma unazompa.yaani mfanyie vitu ambavyo ataona siku zote alikuwa wapi kukufahamu.sisi wanaume akili yetu ndogo kututeka ni rahisi mno km kumpiga teke chura.soma hata majarida au tafuta watalam wakueleweshe jinsi ya kumkamata mume ili miaka yote aone hakuna mke km wee na sio kuonyesha chuki wazi waz au kuzira
wanaume hamjaumbiwa mwanamke mmoja? are u sure? kwani Mungu alipomuona Adam ni mpweke alimuumbia wanawake wangapi? hebu acha kumkufuru Mungu kwa kuhalalisha dhambi. wewe sema sisi wanaume wenye tamaa huwa hatutosheki na mwanamke mmoja lakini usiseme eti hatukuumbiwa mwanamke mmoja
 
Hukuwahi kujiandaa kuhusu mmeo kuchepuka, ukweli utabaki hivyo tu wanaume haturidhiki na mwanamke mmoja, hata ikitokea mmeshindwana kabisa usitegemee kumpata wa peke yako, utajihisi uko peke yako lkn nyuma ya pazia anawala sana.
Wewe tuliza akili utafakari upya, humpendi tena sawa, huna hamu nae tena sawa, je mkiachana unakoenda ni salama zaidi ya ulipo?
Pia kua makini unaweza jikuta umeadhirika kisaikolojia kiasi kwamba maisha yako yote hutakua na amani tena,
Kukosewa na kukosea pia kupo, kikubwa ni kusameheana tu maisha yaendelee
Wanaume waaminifu wenye upendo wa kweli tena wenye hofu ya Mungu wapo wengi tena sana, acha kupotosha Umma, zungumzia nafsi yako
 
Rejea kiapo chako cha ndoa. Uliahidi kumpenda katika hali zote. Hiyo ni moja ya hali aliyopitia na unatakiwa umsaidie ili asianguke tena.
kwenye kiapo cha ndoa, hakuna kiapo chakuvumilia uzinzi, tena sisi wakristo tunaruhusiwa kuvunja ndoa endapo kutatokea uasherati kwa mmoja wenu kwenye ndoa
 
Huwa tunaitumia hiyo excuse kuhalalisha kuendelea kuishi kweye ndoa na hao wazinzi (so far hata ndoa yenyewe kwenye spiritual realm inakuwa imeshavunjika). Inabidi tu niassume na kwa wenzangu kunawaka moto kama kwangu teh; ntafanyaje huku ndoa naitaka. It's wise kusema umeamua tu kuendelea kuishi na huyo mzinzi pamoja na yote (you don't owe anyone an explanation so far); kuliko kujifariji kuwa all men cheat ilhali unagugumia ndani kwa ndani

Hapa wengine tunajishaua all men cheat; ila tukihisi tu kuna mchepuko; tunautafuta then tunaenda kuanzisha timbwili au humo ndani kunawaka moto. Jiulize ni wangapi humu tukifumaniaga huwa tunawaambiwa waume zetu "hongera mume wangu; upo sawa tu kama wanaume wote? Kwa nini tuumie sasa ilhali hiyo ni tabia ya wanaume wote?

Bado wapo wanaume waaaminifu; wanaoheshimu wake zao, na viapo vyao vya ndoa kwa kutokuchepuka. Wengine ni personal decision tu kutokuchepuka; na wengine wanafanya hivyo kwa sababu ya hofu ya Mungu. Ndoa ni kitu chema sana; ndoa si kuishi na maumivu kama wengi wetu tunavyojifariji hapa. Although uaminifu sio chagamoto pekee kwenye ndoa; lakini uaminifu ukikosekana ni jambo la kujeruhi moyo sana. Kuna makosa mengi lakini usaliti sio tu ni kosa; bali ni kuvunja imani ambayo mtu alikuwa nayo juu yako. Ni gharama kubwa sana kurudisha imani ilivunjika; na kwa wengi ni kidonda kisichopona.

Let's stop legitimising nonsense. Usaliti sio tu kitu ambacho mtu anafanya kinapita. Usaliti umevunja ndoa nyingi; umetenganisha wazazi na watoto; watu wameambukizwa magonjwa yasiyotibika; familia zimetelekezwa hazina mbele wala nyuma. Kuna michepuko inaroga na kuua wake ili yenyewe iolewe afu baadaye watoto ndo wanateseka n.k. If one decides to settle for nonsense; it's very ok, but let us not propagate it. Ni upumbavu na ni ubatili

Mithali 6:26, 32-33

26. Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate;Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani.

32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

33 Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima;Wala fedheha yake haitafutika.
Ewaaaa hebu ngoja kwanza nile ndo nije nisome hili gazeti lako, najua limejaa madini tupu!!
 
Dada za kuambiwa changanya na zako.Mi sikushauri umuache huo ndo ukubwa na ndio kuolewa.Zinaa ni dhambi lakini sema na Mungu,ameomba msamaha,msamehe kingine usimuamini 100% binadamu mwenzio.Najua unaumia kwa kua uliwekeza akili yako yoote na limoyo hukoo then ukute ile kujisifu kwa Sana kwa mashosti kua wa kwako hanaga Tabia hizoo(malaika)unamuamini.Hao ndo wanaume Dada vumilia tu wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
I can see you are talking from experience.unakumbuka yale maneno aliyokwambia pale dodoma kwamba hakupendi
 
Huwa tunaitumia hiyo excuse kuhalalisha kuendelea kuishi kweye ndoa na hao wazinzi (so far hata ndoa yenyewe kwenye spiritual realm inakuwa imeshavunjika). Inabidi tu niassume na kwa wenzangu kunawaka moto kama kwangu teh; ntafanyaje huku ndoa naitaka. It's wise kusema umeamua tu kuendelea kuishi na huyo mzinzi pamoja na yote (you don't owe anyone an explanation so far); kuliko kujifariji kuwa all men cheat ilhali unagugumia ndani kwa ndani

Hapa wengine tunajishaua all men cheat; ila tukihisi tu kuna mchepuko; tunautafuta then tunaenda kuanzisha timbwili au humo ndani kunawaka moto. Jiulize ni wangapi humu tukifumaniaga huwa tunawaambiwa waume zetu "hongera mume wangu; upo sawa tu kama wanaume wote? Kwa nini tuumie sasa ilhali hiyo ni tabia ya wanaume wote?

Bado wapo wanaume waaaminifu; wanaoheshimu wake zao, na viapo vyao vya ndoa kwa kutokuchepuka. Wengine ni personal decision tu kutokuchepuka; na wengine wanafanya hivyo kwa sababu ya hofu ya Mungu. Ndoa ni kitu chema sana; ndoa si kuishi na maumivu kama wengi wetu tunavyojifariji hapa. Although uaminifu sio chagamoto pekee kwenye ndoa; lakini uaminifu ukikosekana ni jambo la kujeruhi moyo sana. Kuna makosa mengi lakini usaliti sio tu ni kosa; bali ni kuvunja imani ambayo mtu alikuwa nayo juu yako. Ni gharama kubwa sana kurudisha imani ilivunjika; na kwa wengi ni kidonda kisichopona.

Let's stop legitimising nonsense. Usaliti sio tu kitu ambacho mtu anafanya kinapita. Usaliti umevunja ndoa nyingi; umetenganisha wazazi na watoto; watu wameambukizwa magonjwa yasiyotibika; familia zimetelekezwa hazina mbele wala nyuma. Kuna michepuko inaroga na kuua wake ili yenyewe iolewe afu baadaye watoto ndo wanateseka n.k. If one decides to settle for nonsense; it's very ok, but let us not propagate it. Ni upumbavu na ni ubatili

Mithali 6:26, 32-33

26. Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate;Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani.

32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

33 Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima;Wala fedheha yake haitafutika.
Ndugu upooo!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utajijua bwana...

Muache uende huko duniani udhani wa huko ndio hawa-cheat ndio utaelewa vizuri...

Achika,wanawake wengine wamchukue na wewe uchukuliwe na hao wanaume ambao "hawacheat" wa kufikirika!

Hivi mwanaume ku-cheat ni ishu siku hizi?

Kwanza ulijuaje ana-cheat kwa kidhibiti kipi,tuanzie hapo maana utatuletea utoto wa nilikagua simu,ulitokana nayo wapi to begin with?
Imeisha hiyo!
Akishupaza shingo aachie aone maisha nje ya ndoa!
 
Back
Top Bottom