Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Siwezi ruhusu mtu aninyime kufanya linalo jiskia Bora kila ntu a mind bussiness zake tu kwa kweli
Ukiwa mama utajinyima mwenyewe furaha yako ili wanao waishi kwa furahaa ila kwa kuwa bado ni bintii kula ujanaa mama..!! Ndoa hizi isingekuwa watoto hakika hakuna ambayp ingekuwepo mpaka sasa...
 
Siku wao wakianza kukosa pumzi, tukisema nasiye tukatafute vinurudisho utaona wanavyotoa Meno nje mwanamke huyu malaya wanasahau wao kipindi wapo fit walishindwa kuyafanya hayo na kuendekeza uzinzi, na mwanamke akisema kachoka basi wakumrudisha hakuna.
 
Yusuf wamtaje wapi, wakati uaminifu wake mpaka akawa PM nchi ya watu na mabwege wakamtumikia mie upuuzi huo siutaki kabisa, kama mtu ananitaka na nimzinzi akafie mbele na wazinzi wenzie huko!

Kwa kweli wanajidanganya sana
 
Ukiwa mama utajinyima mwenyewe furaha yako ili wanao waishi kwa furahaa ila kwa kuwa bado ni bintii kula ujanaa mama..!! Ndoa hizi isingekuwa watoto hakika hakuna ambayp ingekuwepo mpaka sasa...
Hata hao watoto wasinichoshe naishi maisha yangu Mimi siwezi vumilia ujinga wowote wenye kero kwangu eti kisa watoto, ka baba yao yupo hai watakuwa wanaonana wenyewe.
 
Mabinti mkiwa kwenye umri chini ya 30 huwa mna maneno sana, ila stress za upweke zikianza kushika hatamu ndipo hapo mnapoacha goli wazi kwa kila mfungaji.
 
Siku wao wakianza kukosa pumzi, tukisema nasiye tukatafute vinurudisho utaona wanavyotoa Meno nje mwanamke huyu malaya wanasahau wao kipindi wapo fit walishindwa kuyafanya hayo na kuendekeza uzinzi, na mwanamke akisema kachoka basi wakumrudisha hakuna.
Na wengi hawana hata pumzi hapo walipo Ila wanaji mwambafai tu Hawa, wakuhurumiwa tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kila mtu hupata wakufanana nae ukiona uncle shamte katulia huo ndo ubavu wake halali
Pale anakula,kunywa,kulala bure na free p,pesa ndio imemuweka pale ikiisha nae anasepa...fanya nawe ufuge wako ila pesa ikiisha ni mwendo wa ngumi ya kustukiza kama shishi
 
Mabinti mkiwa kwenye umri chini ya 30 huwa mna maneno sana, ila stress za upweke zikianza kushika hatamu ndipo hapo mnapoacha goli wazi kwa kila mfungaji.
I'm 40 years now and I'm happy my dear, na sijali mtu Mimi ni bonge la disminder matata Sana hata nikifikisha 60 I don't care
 
Pale anakula,kunywa,kulala bure na free p,pesa ndio imemuweka pale ikiisha nae anasepa...fanya nawe ufuge wako ila pesa ikiisha ni mwendo wa ngumi ya kustukiza kama shishi
Uncle shamte mbona naye anauza sembe unafikri yupo yupo tu eeeh. Siwezi kufuga mwanaume Mimi napenda wanaume high class
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti mke wa nne ndio umenichoka hivo jamani, marriage is not for everyone aisee
Mtu mwenye nia ya kukuoa ujue hajakuchoka huyo, huyo unatakiwa umzingatie sababu ana nia njema na wewe wala hakuchezei, pili kuwa wa nne ni namba tu inayofata baada ya 1,2,3. Ila kilichokuwa bora ni kuwa mke.

Unalo sema ni sahihi siyo ndoa kwa kile mtu, ila ndoa ni jambo jema sana aisee, hii ni kwa mujibu wa vitabu na makubaliano ya watu wote wenye akili timamu hili wanalikubali.
 
Haya slay queen
Hata hao watoto wasinichoshe naishi maisha yangu Mimi siwezi vumilia ujinga wowote wenye kero kwangu eti kisa watoto, ka baba yao yupo hai watakuwa wanaonana wenyewe.
 
Na wengi hawana hata pumzi hapo walipo Ila wanaji mwambafai tu Hawa, wakuhurumiwa tu
Haaa haaa wakuhurumiwa tu hata huyo mwenye mke anawasi.wasi mke atalipa.kisasi [emoji23][emoji23][emoji23], na ujue kisasi cha mwanamke hakunaga break ni mbele kwa mbele
 
Mtu mwenye nia ya kukuoa ujue hajakuchoka huyo, huyo unatakiwa umzingatie sababu ana nia njema na wewe wala hakuchezei, pili kuwa wa nne ni namba tu inayofata baada ya 1,2,3. Ila kilichokuwa bora ni kuwa mke.

Unalo sema ni sahihi siyo ndoa kwa kile mtu, ila ndoa ni jambo jema sana aisee, hii ni kwa mujibu wa vitabu na makubaliano ya watu wote wenye akili timamu hili wanalikubali.
Wewe hizo mambo za ujinga wa wake wenza siwezi wa nne kabisa chakufia Nini hapo, ka huo upendo na ni ukose tu kwa kweli.
[emoji23][emoji23] Halafu eti wa nne ni number tu kiurahisi hivo.
Hayo maandiko matakatifu yanipite tu kwa kweli
 
Haaa haaa wakuhurumiwa tu hata huyo mwenye mke anawasi.wasi mke atalipa.kisasi [emoji23][emoji23][emoji23], na ujue kisasi cha mwanamke hakunaga break ni mbele kwa mbele
Huyo aliye cheat hapo mwenyewe Hana amani Tena mke akimpuuza atakuwa anajishtukia shtukia tu hamwamini mkewe
 
Wewe hizo mambo za ujinga wa wake wenza siwezi wa nne kabisa chakufia Nini hapo, ka huo upendo na ni ukose tu kwa kweli.
[emoji23][emoji23] Halafu eti wa nne ni number tu kiurahisi hivo.
Hayo maandiko matakatifu yanipite tu kwa kweli
Hivi kuna tofauti gani kati ya mke wa kwanza na mke wanne ? Sasa kivipi uke wenza uwe ujinga tena bibie ?

Uzuri wanawake kama nyinyi mkiingia tu kundini mnakuwa marafiki sana, yaani mke wa nne anakuwa na ushoga na mke wa tatu,huwa raha sana.
 
Back
Top Bottom