Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Unakosa mema ya dunia, uliza Jael akuambie. Maisha lazima yawe na changamoto vyovyote vile utakavyoamua kuishi, so just have fun. Unless unataka kiungo kisipate matumizi yake...
We mwache tu ajikatili, sie twaendelea kufaidi.
 
Sasa kuolewa mke wa 10 na mmeo kucheat kimya kimya kipi kinauma????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanawake bhanaa...
Na wanawake wanacheat kimya kimya pasipo kujua mume.
 
Dildo ndo linafaa???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mtu unatumia madildo alafu unataka tukomae ili uridhikeee


Wee umesikiaaa wapiiii....[emoji1787][emoji1787]
Nakwambia njia zipo nyingi kuliko kubaki na mwanaume suruali Tena asiye na hizo nguvu za kuridhisha mkewe daily kuruka ruka tu ili aonekane kidume
 
Nakwambia njia zipo nyingi kuliko kubaki na mwanaume suruali Tena asiye na hizo nguvu za kuridhisha mkewe daily kuruka ruka tu ili aonekane kidume
Haya mama badala ya kumheshimu mumeo anakulaa puss moja mwaka mzimaa unaanza kubwabwaja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cariha anaongea hapa ila akikosa dyudyu ya mwanaume mwezi tu hizo temper, hasira na underperformance kazini tunajua wenyewe[emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23]hapa yenyewe Mimi bikra mbona nime survive jamani siku zote hzo
 
Haya mama badala ya kumheshimu mumeo anakulaa puss moja mwaka mzimaa unaanza kubwabwaja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini ale pus.s moja lazima abadili badili, na Mimi nitafte tofauti, tofauti hizi Mambo za kutaka kujimilikisha viungo vya wengine staki na siwezi, kwanini tupangiane matumizi ya viungo vya mwili lakini, kila mtu atumie atakavyo.[emoji23][emoji23]
 
Unakosa mema ya dunia, uliza Jael akuambie. Maisha lazima yawe na changamoto vyovyote vile utakavyoamua kuishi, so just have fun. Unless unataka kiungo kisipate matumizi yake...

Daah mnanitamanisha lakini nafsi inasita. Huko kwa kweli nawatakia tu ninyi mnaoenjoy kila la kheri ila mimi sijui kwanini mapenzi hayanibariki yaani siyawezi tu.

Na siyo kwamba naona eti wanaume tu ndiyo mna matatizo hapana. Bali mimi mwenyewe tu pia nina matatizo yangu ambayo nisingependa nimbebeshe mtoto wa mtu.
 
Utajijua bwana...

Muache uende huko duniani udhani wa huko ndio hawa-cheat ndio utaelewa vizuri...

Achika,wanawake wengine wamchukue na wewe uchukuliwe na hao wanaume ambao "hawacheat" wa kufikirika!

Hivi mwanaume ku-cheat ni ishu siku hizi?

Kwanza ulijuaje ana-cheat kwa kidhibiti kipi,tuanzie hapo maana utatuletea utoto wa nilikagua simu,ulitokana nayo wapi to begin with?
Naona umeamua kumtoa ngeo binti wa watu. Kama aliolewa na bikra ndio apate kuhoji tofouti na hapo haruhusiwi kuhoji kabisa kama ameshindwa atafute talaka maisha yaendelee.
 
Atakaeumia ktk kucheat kwa mwanamke ndo anakomolewa. Khaaaaaah
Rejea mada husika.
Then rejea comment yako ,umesema unalipa kisasi.nikakuuliza unamkomoa nani?

Halafu jibu unalosema saivi kuwa mwanamke ndo anaumia .nani kasema hivyo??
 
Kusamehe ni ngumu, esp kama ulishamfuma zaidi ya mara moja na habadiliki...au anachepuka na mwanamke mmoja zaidi ya mwaka, hapo mnaishi tu ila upendo hamna
We muda wote unafuatilia nyayo za mumeo utaacha kumfumania kweli?
Achana nae fanya mambo yako
Huyo ni mumeo tosheka na hilo hayo ya kuifuatilia utajipa presha bure
 
Nyie hizo akili hamnaa...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tinazo tunawapumbaza tu mnajifanya kusimamia kucha huku tunawachora moyoni tunawaza baby mwingine huko, hafu na wewe unajiona kidume kweli
 
Wewe hunitakii mema kabisa hafu kizazi changu kufanyiwa majaribio na kuanza kusumbuana staki kabisa. Si Bora nikanunue mbegu kwa mwanaume simjui kabisa huko
Ila siumekubali naomba nije PM
 
Na wewe chepuka tu hapo kilichobaki nikulea watoto cheating haisameheki kabisa hasa mtu uliye mwamini, Hawa viumbe huua nyege za wake zao. Nakuhurumia maskini kiukweli na wewe chepuka tu ngoma droo wallah
Una ndoa ama unabwabwaja humu ndani?
 
Back
Top Bottom