Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Afu hapa kuna watu wanaleta masikhara eti kuvumilia usaliti, hilo halipo kamweeeeeh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utandawazii huu mabinti mnajiinua kutaka haki sawaaa...!! Utaumiaa mwenyewee shauri yakoo... Umri utafika utatamani uolewe hata mke wa tatu...
 
Daima Nazi haishindani na jiwee
 
Cheating hupoteza amani, uaminifu na upendo. Nakumbuka kipindi kile mtu akiniambia huyu ndiyo mke wako. Napatwa na hasira ghafla, natamani kumwamia siyo mke wangu
Niliamua kuachana naye tu japo nilimpenda sana. Cheating ni sawa na doa lisofutika kwenye nguo nyeupe
Udanganyifu na kuvunja Imani ni doa lisilofutika kiurahisi sio mahusiano tu hata Mambo mengine. Mahusiano mengi watu huishi kimazoea tu ile real intimacy ilishajifia kabisa siku nyingi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utandawazii huu mabinti mnajiinua kutaka haki sawaaa...!! Utaumiaa mwenyewee shauri yakoo... Umri utafika utatamani uolewe hata mke wa tatu...
Hata ikiwa mke wa 10, ila kuvumilia usaliti hapanaah kwa kweli, lazima kisasi kihusike ili kuweka mambo balanced,
Hata wanawake wana moyo was nyama unaohisi maumivu.
 
Wakati wanawake mnaendelea kushupaza shingo zenu, pitieni Bible na hasa hiki kifungu, linaweza kuwasaidia sana. View attachment 1522701
Siku hizi Kuna ma dildo, na wanaume wakukufanya tu vizuri pia Kuna mbegu unanunua uzaa kawaida tu mbona acheni kutumia hako ka mstari kuhalalisha vitu visivo faa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kaka kama mambo yenyewe ndiyo haya si bora niwe single tu aisee
Unakosa mema ya dunia, uliza Jael akuambie. Maisha lazima yawe na changamoto vyovyote vile utakavyoamua kuishi, so just have fun. Unless unataka kiungo kisipate matumizi yake...
 
Kaka usiniambie haujui tafsiri ya hicho kifungu na ukaamua kukichukulia kama kilivyo? Bible is a very mysterious book!
Nitafsirie basi, nimekibeba kama kilivyo, huwa tafasiri za Bible zimenikalia pembeni.
 
Siku hizi Kuna ma dildo, na wanaume wakukufanya tu vizuri pia Kuna mbegu unanunua uzaa kawaida tu mbona acheni kutumia hako ka mstari kuhalalisha vitu visivo faa
Utafananisha dildo na dyudyu? Yaani hata havifanani. Intimacy na mtu mnaependana ni mbingu ndogo mumy.
 
Hata ikiwa mke wa 10, ila kuvumilia usaliti hapanaah kwa kweli, lazima kisasi kihusike ili kuweka mambo balanced,
Hata wanawake wana moyo was nyama unaohisi maumivu.
Sasa kuolewa mke wa 10 na mmeo kucheat kimya kimya kipi kinauma????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanawake bhanaa...
 
Wewe hunitakii mema kabisa hafu kizazi changu kufanyiwa majaribio na kuanza kusumbuana staki kabisa. Si Bora nikanunue mbegu kwa mwanaume simjui kabisa huko
Tulia wewe mbegu mbeguu njooo nkupee bhasii[emoji1787]
 
Hata ikiwa mke wa 10, ila kuvumilia usaliti hapanaah kwa kweli, lazima kisasi kihusike ili kuweka mambo balanced,
Hata wanawake wana moyo was nyama unaohisi maumivu.
Unamkomoa nani sasa? Mnajimaliza kwa mikono yenu wenyewe
 
Siku hizi Kuna ma dildo, na wanaume wakukufanya tu vizuri pia Kuna mbegu unanunua uzaa kawaida tu mbona acheni kutumia hako ka mstari kuhalalisha vitu visivo faa
Dildo ndo linafaa???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mtu unatumia madildo alafu unataka tukomae ili uridhikeee

Wee umesikiaaa wapiiii....[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom