Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,548
- 88,539
Unamjambawazia nani hapa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuhusu nini tena
Unamjambawazia nani hapa?
[emoji23][emoji23][emoji23]weweSasa unaumia nini na katumia viungo vyake?
Kama huyo ni ndg yangu kabisaaaaaaaaa[emoji23] [emoji23] wazee wa kuonganisha dots.. Mimi sijui
Kuishi maisha huku ukitengeneza ushahidi wa kila kitu unachofanya na mumeo, ni bora usiolewe..!! Unaishi kwenye ndoa kama afisa mpelelezi wa mwenzio kila siku... yaani unaishi kama unaishi na mtuhumiwa...!! BORA USIOLEWEMtu ataambuwa ukweli wa Jambo lililotokea a to z bila kuficha na kila process nahifadhi Kama kumbukumbu za kila Jambo, na Wala sio sumu
Eti anafanya kazi ya kuzibua choo halafu hataki kusikia harufu, inawezekanaje? Ukitaka watoto basi uwe tayari kwa kelele pia.Kabisa maadam, wala wasijitoe ufahamu hapa, khaaaah
Tena wanaume walivyo na roho nyepesi, akipigwa tuiko la kuchapiwa mkewe huwa anavurugwa kweli kweli, na hakuna rangi wana acha kuona wallah. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ndo msimamo wangu,,maisha mafupi kuanza kuishi kinafiki na kusubiri uzeeni akifa na ujana wake je?? Hizo hasira zitaishia wapi,, anakusaliti unajua unampiga matukio mpaka anainua mikono juu,
[emoji23][emoji23]nyie wanaume bana Sasa ikiwa 97/2020 ndio Nini Sasa ujue kila mtu na madhaifu eeehShwaini zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kama mama yake mpumbavu na ndo kalelewa nae unategema mtoto atakuaje?
Wewe nawe siutoe wako acha unafikiUsifanye iv n hatar zaid
Puuza ushaur huu
Ila wasome miandiko yao humu utadhani sio wao wanaojiua kisa wanawakeTena wanaume walivyo na roho nyepesi, akipigwa tuiko la kuchapiwa mkewe huwa anavurugwa kweli kweli, na hakuna rangi wana acha kuona wallah. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Huu usingo umekuja kujaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuhusu nini tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Sasa unaumia nini na katumia viungo vyake?
Kuna siku niliimbiwa ekuemeee ekueme ghafla akaanza za Upendo Nkone na sijui nani yule anajiliza liza?... Kila nikijifukunyua sijui kosa langu, nikaona isiwe taabu saa tano asubuhi nikajitwisha huyo nae bar...hata sijui kesi iliishaje na hizo ekuemeee sizisikii tena zaidi ya "hapa nilipo mimi ni kwa neema za Mungu... "[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shem sio kila pambio linaloimbwa ulifikirie vibaya, mengine huwa tunaimba tukijazwa na roho.
Leo wanapewa za uso hadi waelewe somo, km n nature yao huu upumbavu basi wajue na wanawake wana nature yao vile vile ambayo ni kulipa kisasi.Eti anafanya kazi ya kuzibua choo halafu hataki kusikia harufu, inawezekanaje? Ukitaka watoto basi uwe tayari kwa kelele pia.
Mimi siwezi nafukia nafsi yangu nifuraishe jamii huku naumia ndani I will never, Kuna vitu vya kumvumilia mtu Kama maradhi, shida uchumi kuyumba na sio kuvumilia ujinga wa mtu kukuumiza hisia huwa inauma Sana Bora ivunjike mguu Kuna pain Killers sio mtu kukuumiza hisia zako hovyo. Na hisia zinauma jamani, Bora tu na Mimi nifanye yangu kwanza mda wa kumpenda mtu nautoa wapi Mimi. Acha niipende nafsi yangu na wananguNdo msimamo wangu,,maisha mafupi kuanza kuishi kinafiki na kusubiri uzeeni akifa na ujana wake je?? Hizo hasira zitaishia wapi,, anakusaliti unajua unampiga matukio mpaka anainua mikono juu,
Hizo karata zichange vizuri haswa, uki mess up utakosa vyote, watoto wanakua, wanapata upeo na uelewa wa kuchakata mambo , hutoamini kitakacho tokea , uchange karata vizuri... unaweza dhani unajenga yakaja kukufikisha pabaya, wewe na baba watoto kwa watoto wenu thamana yenu kwao ni moja , watachakata taarifa, watapewa habari na ndugu marafik na watu wa karibu, chonde chonde incase ikawa hivyo changa karata vizuri..Omba Mungu yasitokeeUkitoa hela Sina shida kabisa na Mambo yetu hawatajua, Sasa jifanye kichwa ngumu, utajuta kabisa hutaki kutoa matunzo natafta lawyer kabisa u sign, na nibahifadhi kumbukumbu nije kuwaambia jinsi baba alivogoma kuhudumia na ushahidi huu, usije sema niliwalisha sumu. Tumegombana Mimi na wewe kwanini utese watoto kwa kukataa kuwahudumia wao Wana kosa gani?
[emoji23][emoji23] asante na wewe piaSawa mama nakubali, nikutakie siku njema.
Yuko single na kaachive Mambo makubwa kuliko hao wanaoteseka moyoni na kukosa furaha huku hata maisha mazuri hawanaYuko single mpaka Leo.
Haha sema usikate tamaa, kuwa jasiri kama jackline wolper