Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Mimi hufanya Jambo linalonifuraisha moyo wangu hata kabla sijamkuta ni mtu ninayeoenda kujaribu jaribu Mambo.
Halafu huyo mwanaume angekuwa anaheshimu kiapo angetulia wallah, Mimi ningemfuraisha wallah[emoji23][emoji23]
Ni muhimu kupima na uzito wa jambo sio kwa sababu tu linakufurahisha moyo wako ndio ulifanye, kuna side effects baada ya kukufurahisha ndio maana inakuwa ni kwa siri sana na siri ikifichuka unaomba samahani. Ila bado nakazia ushauri uliompa mleta mada haufai kutumika.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kibomba cha nini ilihali vidume vipo? Unajitwaalia kamoja tu ka kupoozea machungu.
Kibomba kipo kwa niaba ya mume

Anachepuka kidogo tu ili kurudisha heshima iliyopotea. Akirudi ndani basi ana furaha tele, na mahaba kama yote kwa mumewe. Basi mambo yanasonga freeesh kabisa.

Tatzo lenu baadhi ya wanawake mkichepuka mnazama jumla mnasahau mpaka njia kuu.
 
Umesema umeachika mara saba sasa mbona hukukomaa ubaki kwenye ndoa na ukaendeleza michepuko pembeni?Unamshauri mwenzio abaki kwe ndoa ila awe na kidumu cha kumfariji ili hali we mwenyew tu ulishindwa na ukaachika mpaka mara saba,Rejea post zako huko juu,
Huwa hatusamehi kabisa tunaweza ishi na mtu hatumpendi sembuse hyo, na tukiishi Hadi kuzeeka mume akifika uzeeni ndo hupata shida akiona anadharaulika kumbe ni Mambo ya kale
 
Ni muhimu kupima na uzito wa jambo sio kwa sababu tu linakufurahisha moyo wako ndio ulifanye, kuna side effects baada ya kukufurahisha ndio maana inakuwa ni kwa siri sana na siri ikifichuka unaomba samahani. Ila bado nakazia ushauri uliompa mleta mada haufai kutumika.


Kibomba kipo kwa niaba ya mume



Tatzo lenu baadhi ya wanawake mkichepuka mnazama jumla mnasahau mpaka njia kuu.
Msijali, tutajitahidi sana tusiwasahau.
 
Pole mkuu kwa kilichokukuta. Ni wewe pekee unaeelewa uzoefu na machungu ya kupitia uzoefu wa aina hii.
Huu ndio mtazamo wangu, Kunaweza kuwa na sababu mbalimbali za kwanini tuingie kwenye ndoa. Mwisho wa siku ndoa inajengwa na upendo, utii na uvumilivu. Katika vipindi tofauti kimoja,viwili au vyote katika hivi vinaweza kuondoka na ndoa ikawepo au kinyume chake. Tayari kosa limeshatokea hamna namna ya ku-reverse. Ni vyema kuukubali uhalisia. Bado kuna nafasi ya kuijenga upya ndoa yenu, sio rahisi lakini inawezekana. Leave your children out of this wao ni wapitaji leo wapo kesho wataondoka, watoto sioni kama wanapaswa kuwa sababu ya kwanini ndoa yoyote ivunjwe au iendelee kuwepo. Wao sio sehemu ya ndoa ni matokeo ya ndoa (it is confusing).
Jipe nafasi pumzika, pata muda tengana na mwenzio kwa muda ufikirie kwa kina utaona uamuzi upi ni sahihi kuchukua.
Mwisho kabisa kaa chini hesabu gharama za kuendelea kuwa na hii ndoa au kuivunja. Weka kwenye mzani uamue ni gharama ipi uko tayari kubeba. Endapo ndoa itaendelea there is a price to pay., kama ndoa utaamua ivunjwe there is also a price topay, choose wisely how willing are you ready to pay.
 
Siku mwanamke atakapoamua kujutegemea na kuacha kumfanya mwanaume kama kitega uchumi..yaan yupo kwenye ndoa kwa mahitaj ya ndoa..ndipo atakua huru kufanya maamuz

Weng wanashindwa fanya maamuz sbaab anajua.dah ..niache nyumba hii.niache magar haya.niache ubwabwa wa bure huu..haiwezekan.ntakomaa nae hapa hapa

Hapo ndipo mnatupa jeur ya sis kucheat na kutoogopa kufanya hvyo sbaab tunajua huwez fanya chochote zaid ya kunilaum.kununa.kutukana..etc
 
Yaani unakuwa huna habari kabisa. Vaa pendeza kweli kweli, jipodoe uwake haswa. Kuwa busy na kazi na watoto, wekeza hapa na pale. Pika vyakula vitamuu faidi na wanao, achelewe awahi walaa usijisumbue. Ukijifanya kumtilia maanani na kumfuatilia anajiona bila yeye maisha yako yamesimama. Jipende na wanao inatosha.
Ujue wanaume ukiwaheshimu, hugombani naye automatic huona huyu mwanamke mjinga nimemkamata Hana option anakufanyia vitimbi vyote, Ila ukijipenda ufanye yako utapata furaha Sana, na yeye atajiona mjinga . Wanawake tusiwe blinded kiasi hicho huo mda wa kulilia mwanaume fanyeni maendeleo yenu binafsi maana mahusiano hayaeleweki, ukiwa busy hata utopolo wake utaupuuzia utaelea wanao Hadi uone wajukuu. Na kinachotesa wanawake na kuvumilia maumivu ni vipato na kuwa tegemezi, hafu mjue jukumu la furaha unalo wewe mwenyewe na sio mtu mwingine, binadamu ni unpredictable creature
 
Wewe ungekua Mwanaume ukakuta Mwanamke kaachika utaoa??
kwamba Mwanaume mwenzio alikua kiazi kumwacha huyo mwanamke?

mkiwaza upande wenu, jaribuni kuwaza na upande wa pili pia, inawezekana ila ni ngumu kupita maelezo
Hivi nikimwacha mtu ndio nakuwa nimeachika? Unajua maana ya kuachika?
Hebu jigonge gonge kifuani ujiambie "ifike mahali na mimi nitumie akili kuwaza".
 
Mkuu mbona unalazimisha heshima iwe kwa nyakoo tu peke yake ! Je yeye Nyakoo hapaswi kuheshimiwa

Unachokifanya hapa ni double standard sote kwa pamoja tunapaswa kuheshimiana it has to be both ways

Na Hili la kuikimbilia nature wanaume litaendelea kututafuna sana tujitahidi kubadilika na kukabiliana na mazingira kama tulivyofanya tangia mwanzo
Jael ndo kasema kuchepuka kwa nyakoo kutaleta heshima, mimi nikasema basi nyakoo achepuke ili apate heshima. Double standard iko wapi hapo?
 
Hii mbinu haiwezekani

Wanawake wenyewe mnafurahia kunyang'anyana mabwana mwisho wa siku inakua furaha Kwa wanaume Kwa sababu mnalalamika wanaume wachepuko na at the same time unachepuka kwenda kua mchepuko Kwa mwanaume mwingine Kwa Sera ya bampa to bampa unakua hautatui tatizo Kwa sababu hakuna tatizo linalotatuliwa Kwa ubabe juu ya ubabe

Hizo unazoongea zote ni nadharia ngoja ukutane na uhalisia

Mwanaume/mwanamke akikosea tazama tatizo ni nini? Kama uko clean zungumza nae vzr
Sasa Mimi nimenda kwa ajili ya starehe, no feelings attached, hayo mengine hata ctaki kuyafikiria kabisa, Yani ni kustarehe without conditions attached Tena hapo mnakuwa wote kuridhishana basi, na sio kumilikiana
 
Talaka for what yaani? Ilihali suluhisho zuri kabisa lipo hapa.


Sasa huu ushauri wako ndio mufilisi kabisaaa, wewe huna nia njema na hii ndoa. Tangu awali nilikuwa nakuona tu teh!
Yani wewe unayemshauri achepuke na possibly atiwe mimba ndo una nia nzuri? Ila mimi nnayeshauri kama kashindwa aombe talaka ndo nina nia mbaya? Are you serious?
 
Mkuu mbona unalazimisha heshima iwe kwa nyakoo tu peke yake ! Je yeye Nyakoo hapaswi kuheshimiwa

Unachokifanya hapa ni double standard sote kwa pamoja tunapaswa kuheshimiana it has to be both ways

Na Hili la kuikimbilia nature wanaume litaendelea kututafuna sana tujitahidi kubadilika na kukabiliana na mazingira kama tulivyofanya tangia mwanzo
Kuna ndoa ya dogo inayumba kwa mfumo huu huu, mke kajifungua dogo hataki kubaki nyumbani akitoka kazini kisa mtoto analia sana, ukimpigia simu anapokea yupo bar tena kwenye kelele za muziki. Simu imejaa sms za wasichana, hashauriki, anasema yeye ni mwanaume hawezi kuvumilia miezi miwili hadi apone mke wake. Sijui wanaume tuna tatizo gani!!
 
Kuchepuka kwa Mwanaume hakuna uhusiano wowote na kumpenda au kutompenda mkewe
Haiwezekani, mchepuko huyohuyo zaidi ya mwaka, na mke anajua kabisa, na siyo muislam useme utaoa mke wa pili.. Ukishakaa na mtu mda mrefu hivyo lazima tu utampenda, na upendo kwa mke lazima utapungua au kuisha kabisa
 
Kaa
Kuna ndoa ya dogo inayumba kwa mfumo huu huu, mke kajifungua dogo hataki kubaki nyumbani akitoka kazini kisa mtoto analia sana, ukimpigia simu anapokea yupo bar tena kwenye kelele za muziki. Simu imejaa sms za wasichana, hashauriki, anasema yeye ni mwanaume hawezi kuvumilia miezi miwili hadi apone mke wake. Sijui wanaume tuna tatizo gani!!
Kaa kwa kutulia uje uone kamasi atazotolewa na huyo mkewe pindi mtoto akikua,, acheni kucheza na mwanamke nyie watu
 
Back
Top Bottom