Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wao wakisalitiwa wanavyotia huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shenzi zao

Wengine hata nguvu hawana wapo hapa wanajishaua,, 'mwanamke mmoja hatoshi'' (ukisoma hapa Soma kwa sauti ya puani)
Wengi tu hata huko nje hawasimamishi kabisa wanawake tunawavumilia Sana wanaume
 
Kwani mumewe alipiga mtungo?
Hapana, anajitafutia mmoja tu mtulivu anamtuliza baaasi. Maisha yanasonga taratiiibu bila stress.
Mmoja wa nini bwana? atafute njemba tano ama saba kabisa, one for everyday of the week asuuzwe wee mpaka achoke. Nimeamua kuunga juhudi zenu achepuke tu hakuna njia maana naona ya talaka hamtaki bado mnataka aendelee kula visenti vya mwanaume na ugali wa bure. Mimi ntajitolea kuwa mchepuko wake nipigie pande basi
 
Wanajimwambafai tu kwenye keyboard huku mtaani wanatia huruma ajabu
Yani Tena sisi tunavotongozwa hovyo na wanaume waliowazidi kila kitu, huwa tunatulia tu sio kwamba hatutamani, tuna tamani Sana vile tunafanya kuwaheshimu.
Tena mwanaume ukute Hana hela hakutunzi yet hapa nyuma ya keyboard anaji mwambafai mwambafai.
 
Tema akifanya hivo kuwa busy kutokumkasirikia mume, na kipoozeo high class atamuumiza mume Mara elfu na zaidi na aache kulia Lia ajipende na achangamke zaidi awe na furaha, mume atakoma mwenyewe
Unakuwa na kipoozeo chako saaafi kabisa, ndani heshima na adabu zote ila busy tu na mambo yako na watoto wako. Piga kazi kama huna akili nzuri, chukua watoto w.ends nendeni mkarelax na kuogelea huko au kuangalia wanyama.
 
Heshima ya kutiwa mimba na wanaume tofauti? Alafu mimi sicondone cheating kwa jinsia zote don't get it twisted. Kama kashindwa kusamehe kila mtu afuate njia yake ila kwenda kufunuliwa sketi na kutiwa mimba sio sahihi, hivi itakuaje akiolewa tena na huyo mwanaume akacheat? akatiwe mimba nyingine tena? na watatu? na wanne? Yaani una watoto nane na wote baba tofauti [emoji23]. Narudia kusema unajikomoa mwenyewe mwisho wa siku uanze kusema all men are the same mara wamenitelekeza kumbe akili zako ndo zimekufikisha hapo ulipo
[emoji117]THIS IS THE BEST EVER COMMENT
[emoji117]COMMENT BORA KULIKO YOYOTE
 
Basi sawa, watoto wangu niliwapata kupitia surrogacy kuepuka ujinga kama huu. Naomba kuuliza hivi nikikupa hao watoto bado utataka nikupe na child support ama utalea wewe kama wewe?
Lazima utoe hela ya matunzo ni haki ya watoto wewe kuwatunza. Tumeachana ndio lakini hela za matunzo ni must
 
Mmoja wa nini bwana? atafute njemba tano ama saba kabisa, one for everyday of the week asuuzwe wee mpaka achoke. Nimeamua kuunga juhudi zenu achepuke tu hakuna njia maana naona ya talaka hamtaki bado mnataka aendelee kula visenti vya mwanaume na ugali wa bure. Mimi ntajitolea kuwa mchepuko wake nipigie pande basi
Talaka for what yaani? Ilihali suluhisho zuri kabisa lipo hapa.

Sasa huu ushauri wako ndio mufilisi kabisaaa, wewe huna nia njema na hii ndoa. Tangu awali nilikuwa nakuona tu teh!
 
Sawa, Nyakoo nenda katafute mabwana tena sio mmoja tafuta watano wawe wanakupiga mtungo on a regular basis heshima utakayopata ni kubwa sana. Mungu akutangulie katika maamuzi utakayochukua.

Mkuu mbona unalazimisha heshima iwe kwa nyakoo tu peke yake ! Je yeye Nyakoo hapaswi kuheshimiwa

Unachokifanya hapa ni double standard sote kwa pamoja tunapaswa kuheshimiana it has to be both ways

Na Hili la kuikimbilia nature wanaume litaendelea kututafuna sana tujitahidi kubadilika na kukabiliana na mazingira kama tulivyofanya tangia mwanzo
 
12 yrs of our marriage, kama anacheat it has never affected our family or my feelings in any ways kwa sababu sijawahi kumgundua wala sijawahi kuwa suspesious

I love the fact that he is protecting feelings and emotions.

Kama nilivyosema mwanzo, almost kila mwanaume anacheat, ila inategemea na style yake. Wengine wanajaribu sana kuhakikisha mke hagundui na hakuna tofauti yoyote ndani ya familia. Ila wengine wanabadilika and everything gets worse

Kwa mfano kwa case ya mleta mada, aligundua kwa sababu aliona mabadiliko kwa mume wake, lets say mume asingeonyesha viashiria vyovyote ndoa yao bado ingekua salams mpaka with the same level of love and trust
Ouk sawaaaah maadam, a get u. Hongera kwa hilo pia. Nikutakie mafanikio mema ya ndoa yako, mdumu zaidi na nmependa life style yenu.
 
Mie huwa nashangaa mtu anaumia vipi kwa usaliti wa mwenzi wake, si na yeye afanye vile mwenzake kafanya. Lazima maisha yawe balanced, ili kutofany upande m1 kuwa ktk risk isiyo na msingi. Mbwai n mbwai tyuuuuuh
Wanaume ni Malaya Sasa kuliko akuletee ukimwi na hukula raha na akuumize si Bora tu uwe unajipa raha mwenyewe. Mleta mada kaumia vile Hana kidumu, asione wenzake wako kwenye ndoa wengi Wana vidumu na life linaendelea.
Kwanza Mimi siumii usaliti maana na Mimi na kidumu, kwanini nihangaike naye.
Wanawake huwa tunajidaganya tuheshimu huko wao wanaenda kujiridhisha huko.
 
Dawa ya Moto ni Moto wallah, kabla ya kufa lazima upay Price wallah maana nakuwa nimeshajiandaa, I can plan revenge even for 10 year's Hadi unasahau

[emoji16] we mwanamke inaonesha ni jeuri sana najaribu kukuvisha uhusika wa mleta mada, kama ingekuwa ni wewe sijui ungekua ushatafuta faraja kwa wanaume wangapi. Siungi mkono usaliti ila haipaswi kuwa hvyo unavyoshauri wewe iwe utakuwa unabomoa na mbaya zaidi utatumia nguvu nyingi kufanya huo utopolo ukidhani utaweza mfanya ajutie mwsho wa siku majuto na ningelijua huja mwsho wa safari. Busara inahitajika zaidi hasa mkishakuwa ndani ya ndoa na mna familia.
 
Mkuu mbona unalazimisha heshima iwe kwa nyakoo tu peke yake ! Je yeye Nyakoo hapaswi kuheshimiwa

Unachokifanya hapa ni double standard sote kwa pamoja tunapaswa kuheshimiana it has to be both ways

Na Hili la kuikimbilia nature wanaume litaendelea kututafuna sana tujitahidi kubadilika na kukabiliana na mazingira kama tulivyofanya tangia mwanzo
Waelimishe hawa wapumbavu wasiojielewa. Nahisi huenda wee mwenzao watakuelewa aaaaaah
 
Hahhaahhah tuseme ameeeeee

Asipolipiza ataumwa madonda tumbo, presha na sonona,, atakufa awaache beautiful babies wake mikononi mwa mke mwenzie na bwana kiborodinda wakila maraha
Huyo aache kulia ajipende Tena aache kugombana naye adamshi, aendelee na maisha kisa Cha kufa na stress na kuacha watoto yatima,. Maana ukifa kwa pressure haishi mwaka mwanaume anaoa watoto wanaanza kuteswa kah.
Jamani mwanamke mwenzangu mpuuze huyo mjinga tafta furaha yako na amani, ili uleee watoto, Anza kujijenga mwenyewe maana Kuna Intruders hapo
 
Wao wakisalitiwa wanavyotia huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shenzi zao

Wengine hata nguvu hawana wapo hapa wanajishaua,, 'mwanamke mmoja hatoshi'' (ukisoma hapa Soma kwa sauti ya puani)

Mwanaume anayetia huruma kwa kusalitiwa na mwanamke basi ni dhahiri huyo mwanaume hajui mahali wala maduka yanayo uza pombe!
 
Apo umeruka mkojo unakanyaga mavi. Bora uniambie utaachana na habari za wanaume jumla ila kama utaenda kwa me mwingne mambo ni yale yale. Kwenye hii ndoa tunachoangalia cha kuokoa ni watoto. Je ukianza maisha maisha mapya yatawasaidia vipi watoto wasidhurike?
Huko kwingine ni kwa starehe tu unajua mkikutana kwa starehe huwa Kuna raha Sana ya kutoa hamu, Tena you can choose kutoka na tofauti for body satisfaction
 
Wanaume ni Malaya Sasa kuliko akuletee ukimwi na hukula raha na akuumize si Bora tu uwe unajipa raha mwenyewe. Mleta mada kaumia vile Hana kidumu, asione wenzake wako kwenye ndoa wengi Wana vidumu na life linaendelea.
Kwanza Mimi siumii usaliti maana na Mimi na kidumu, kwanini nihangaike naye.
Wanawake huwa tunajidaganya tuheshimu huko wao wanaenda kujiridhisha huko.
Itoshe kusema "Vidumu Hoyeeeeeeeeeeeeeeeh" sauti ya JPM [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hapana, anachepuka kwa heshima ili kulinda ndoa yake. Hawavunji ndoa maana bado wanapendana na wana watoto wa kulea.

Nawewe unasapoti uchepukaji? Kama upendo upo samehe na maisha yaendelee kama kawaida ukishaona unachepuka basi jua unakosea sana tena zaidi yake maana huko ni kukomoa (makusudi) ilihali alishakiri na kuomba samahani kwa alichokifanya.
There is no win to win situation in love lazima mmoja akubali yaliyotokea ili upendo udumu.
 
Lazima utoe hela ya matunzo ni haki ya watoto wewe kuwatunza. Tumeachana ndio lakini hela za matunzo ni must
😂 😂 😂 nimecheka sana. Yaani mbwembwe zote za kutaka mtoto ni ili upate mtelezo wa child support? wanawake si mnaweza? wapambanaji? mashujaa? Kweli mnashidwa kulea vitoto viwili vitatu tu? Skia nikwambie kama ni haki ya watoto kulea basi watakaa kwangu kama watakaa kwako ujue hiyo ni responsibility yako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakufa uwiiiiiiiiiiih, utakuta mwanaume ni kiba100, kweny show 16% F grade, kiumbe kike wa watu anamvumilia ili kumpa heshima na thamani yake, afu kenyewe kanajikuta kumba kumba kwa demuz pembeni,

Dadeki ni kupeleka nyapu nje ikutane na mikunyenge ya kiwango cha uchumi wa kati hadi ijute kukaa ndani tyuuuh 4 nothing, uwiiiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23]eti akutane na mkunyenge wa uchumi wakati[emoji23][emoji23][emoji23]. Mkunyenge wa uchumi wakati vepee
 
Back
Top Bottom