Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Huko kwingine ni kwa starehe tu unajua mkikutana kwa starehe huwa Kuna raha Sana ya kutoa hamu, Tena you can choose kutoka na tofauti for body satisfaction

Mungu aniepushie wa aina yako [emoji23] kibomba si kipo wash room ata sitokivunja ajisatisfy tu huko mwenyewe sio kwa me mwingine.
 
Unakuwa na kipoozeo chako saaafi kabisa, ndani heshima na adabu zote ila busy tu na mambo yako na watoto wako. Piga kazi kama huna akili nzuri, chukua watoto w.ends nendeni mkarelax na kuogelea huko au kuangalia wanyama.
Ni kweli akifanya hivi hyo ndoa yake lazima wafanye anniversary ya miaka hamsini ya ndoa. Kwenye mahusiano inabidi kujipa kiupaumbele wewe mwenyewe, fanya kazi na maendeleo kiujumla penda wanao, nenda vacation za hapa na pale stress utazisikia radio, na mwanamke una fanya maendeleo au kazi una watoto kwanini jitu zima likupe stress. Si na wewe utafte kipoozeo kikali kumzidi yeye kila Jambo Hadi ushuzi
 
Nawewe unasapoti uchepukaji? Kama upendo upo samehe na maisha yaendelee kama kawaida ukishaona unachepuka basi jua unakosea sana tena zaidi yake maana huko ni kukomoa (makusudi) ilihali alishakiri na kuomba samahani kwa alichokifanya.
There is no win to win situation in love lazima mmoja akubali yaliyotokea ili upendo udumu.
Anachepuka kidogo tu ili kurudisha heshima iliyopotea. Akirudi ndani basi ana furaha tele, na mahaba kama yote kwa mumewe. Basi mambo yanasonga freeesh kabisa.
 
Talaka for what yaani? Ilihali suluhisho zuri kabisa lipo hapa.


Sasa huu ushauri wako ndio mufilisi kabisaaa, wewe huna nia njema na hii ndoa. Tangu awali nilikuwa nakuona tu teh!
Kwanini utafte talaka unaendeleza Mambo kimya kimya kwa kiwango Cha juu
 
Mungu aniepushie wa aina yako [emoji23] kibomba si kipo wash room ata sitokivunja ajisatisfy tu huko mwenyewe sio kwa me mwingine.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kibomba cha nini ilihali vidume vipo? Unajitwaalia kamoja tu ka kupoozea machungu.
 
[emoji16] we mwanamke inaonesha ni jeuri sana najaribu kukuvisha uhusika wa mleta mada, kama ingekuwa ni wewe sijui ungekua ushatafuta faraja kwa wanaume wangapi. Siungi mkono usaliti ila haipaswi kuwa hvyo unavyoshauri wewe iwe utakuwa unabomoa na mbaya zaidi utatumia nguvu nyingi kufanya huo utopolo ukidhani utaweza mfanya ajutie mwsho wa siku majuto na ningelijua huja mwsho wa safari. Busara inahitajika zaidi hasa mkishakuwa ndani ya ndoa na mna familia.
Mimi hufanya Jambo linalonifuraisha moyo wangu hata kabla sijamkuta ni mtu ninayeoenda kujaribu jaribu Mambo.
Halafu huyo mwanaume angekuwa anaheshimu kiapo angetulia wallah, Mimi ningemfuraisha wallah[emoji23][emoji23]
 
Mkuu nakuhakikishia ikitokea umeoa Au ikiwa tayari una mke utakapo msaliti na amekukamata pasipo shaka

Amini atarudisha hiyo punch hawasamehi na wao ni binadamu tena usiombee yeye awe hajawahi kukusaliti
Huwa hatusamehi kabisa tunaweza ishi na mtu hatumpendi sembuse hyo, na tukiishi Hadi kuzeeka mume akifika uzeeni ndo hupata shida akiona anadharaulika kumbe ni Mambo ya kale
 
Ni kweli akifanya hivi hyo ndoa yake lazima wafanye anniversary ya miaka hamsini ya ndoa. Kwenye mahusiano inabidi kujipa kiupaumbele wewe mwenyewe, fanya kazi na maendeleo kiujumla penda wanao, nenda vacation za hapa na pale stress utazisikia radio, na mwanamke una fanya maendeleo au kazi una watoto kwanini jitu zima likupe stress. Si na wewe utafte kipoozeo kikali kumzidi yeye kila Jambo Hadi ushuzi
Yaani unakuwa huna habari kabisa. Vaa pendeza kweli kweli, jipodoe uwake haswa. Kuwa busy na kazi na watoto, wekeza hapa na pale. Pika vyakula vitamuu faidi na wanao, achelewe awahi walaa usijisumbue. Ukijifanya kumtilia maanani na kumfuatilia anajiona bila yeye maisha yako yamesimama. Jipende na wanao inatosha.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana. Yaani mbwembwe zote za kutaka mtoto ni ili upate mtelezo wa child support? wanawake si mnaweza? wapambanaji? mashujaa? Kweli mnashidwa kulea vitoto viwili vitatu tu? Skia nikwambie kama ni haki ya watoto kulea basi watakaa kwangu kama watakaa kwako ujue hiyo ni responsibility yako.
Wanawake tunaweza Ila lazima ulipie gharama za mwanao hyo haihusiki na ninayo fanya. Child support muhimu maana na Mimi Nina maisha yangu and I must contribute kwa watoto. Ndio tumeachana hyo haihusiki na kutotoa matunzo ya watoto wako
 
Yani ni mwendo wa bampa tu bampa Kama walivo wao na sisi tunakutana na watu wa different taste, Kuna wanaume wamebarikiwa kila idara, vile heshima tu basi.
Hii mbinu haiwezekani

Wanawake wenyewe mnafurahia kunyang'anyana mabwana mwisho wa siku inakua furaha Kwa wanaume Kwa sababu mnalalamika wanaume wachepuko na at the same time unachepuka kwenda kua mchepuko Kwa mwanaume mwingine Kwa Sera ya bampa to bampa unakua hautatui tatizo Kwa sababu hakuna tatizo linalotatuliwa Kwa ubabe juu ya ubabe

Hizo unazoongea zote ni nadharia ngoja ukutane na uhalisia

Mwanaume/mwanamke akikosea tazama tatizo ni nini? Kama uko clean zungumza nae vzr
 
N
Yani Tena sisi tunavotongozwa hovyo na wanaume waliowazidi kila kitu, huwa tunatulia tu sio kwamba hatutamani, tuna tamani Sana vile tunafanya kuwaheshimu.
Tena mwanaume ukute Hana hela hakutunzi yet hapa nyuma ya keyboard anaji mwambafai mwambafai.
Nakwambia hivi huku field tunawaona wasikutishe
 
Wanaume waliooa ni vinara wa kuchepuka, na kwako hata hakufanyi vizuri unaishia kumhurumia tu yeye na mkewe.
Wanaume wengi na stress hizi za maisha wanavumiliwa tu, pia huku Africa umalaya wa mwanaume ni prestige, Kuna wanaume hawasimamishi Ila michepuko kila corner shoga angu yeye michepuko yake alikuwa anawachezea hawawezi kitu Yani kikubwa alichoangalia hela tu.
Kikubwa mtu jipende nafsi yako hii kujifanya penda mtu waweza kufa siku si zako
Yaaani mwanaume haisimami alafu ana michepuko?
 
Back
Top Bottom