Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Nyie michepuko ina ngebe jamani, ukiifata fata hukawii kupata kichaa. Ishindweeeeee IJN

Amen! kwa kweli.
Hiyo ni insecurity pia kwa mchepuko. Kama tayari umemchukua toka kwa mkewe, kwa nini uongeze Ugomvi usio na sababu? kama kweli mtu mjanja atatulia ajilie huyo mume mtu taratiiibu bila wasi.

But, they need to understand that Karma is a big ass biatch..
 
Mwenzangu, na wanaume wanavyojua kudeka!
Kila siku atakwambia hayuko sawa umbembeleze. 🙂
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaanza kusikia my wife this, my wife that!! Unajua kabisaaa hii ni red alarm, dont tell me, just tell her, she is the one FCS!!
 
Amen! kwa kweli.
Hiyo ni insecurity pia kwa mchepuko. Kama tayari umemchukua toka kwa mkewe, kwa nini uongeze Ugomvi usio na sababu? kama kweli mtu mjanja atatulia ajilie huyo mume mtu taratiiibu bila wasi.

But, they need to understand that Karma is a big ass biatch..

Mtu akishajizira unadhani anaijali hata hiyo the so called karma!!
 
Usukuma unahusiana nini na nilichokiandika?
Superiority complex ya kijinga. Nina amini kama bashite asingekuwa msukuma angeshawajibika kwa kutumia cheti cha kufoji kuingia nyegezi! Ila kwa vile ni kidume cha kisukuma anaona kila Mtanzania ni small boy na hajali. Angalikuwa mchagga kama mimi ashajitoa taratibuuuu cocochanel makonda oyeeee
 
Hahaha, sawa Nitajitahidi.
Mwache mwache kidogo basi bi mkubwa ake.
Si unaona anavyodondosha points. 🙂
Ndio shida mtoto akiwa na maakili mengi, yaani taabu tupu!! Maswali yake sasa ya utotoni ndio yalikuwa balaa, bora hata alivyokua angalau napumua kidogo.
 
Superiority complex ya kijinga. Nina amini kama bashite asingekuwa msukuma angeshawajibika kwa kutumia cheti cha kufoji kuingia nyegezi! Ila kwa vile ni kidume cha kisukuma anaona kila Mtanzania ni small boy na hajali. Angalikuwa mchagga kama mimi ashajitoa taratibuuuu cocochanel makonda oyeeee

A load of claptrap!
 
Ushauri mzuri ,mliobahatika kupata waume mkiufanyia kazi, hakika ndoa zenu zitaongezeka, furaha ,amani, na kikubwa zaidi, uchumi wenu utaimarika.
 
Back
Top Bottom