the viking
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 1,170
- 1,373
aliyekuoa wewe kama ushaoleka basi atafaidi bonge la miakili...kina wengine vipapuchi tu lakini ubongo hamna kabisa
Ni roho za uharibifu zilizomo ndani yao, hazitotulia till ndoa imevunjika waolewe wao. Kuna watu wana nyota za usecond best pheeew. Shindwaaa roho chafuAmen! kwa kweli.
Hiyo ni insecurity pia kwa mchepuko. Kama tayari umemchukua toka kwa mkewe, kwa nini uongeze Ugomvi usio na sababu? kama kweli mtu mjanja atatulia ajilie huyo mume mtu taratiiibu bila wasi.
But, they need to understand that Karma is a big ass biatch..
Wewe nae aaarghhh?Unatutoa kwenye mood yetu na malove unatuletea bashite wako aaarghhh[emoji57] [emoji19]Superiority complex ya kijinga. Nina amini kama bashite asingekuwa msukuma angeshawajibika kwa kutumia cheti cha kufoji kuingia nyegezi! Ila kwa vile ni kidume cha kisukuma anaona kila Mtanzania ni small boy na hajali. Angalikuwa mchagga kama mimi ashajitoa taratibuuuu cocochanel makonda oyeeee
Aiiiii kwa hiyo misifa sasa khaaa mbona mtanipasua chogo languHahaha, sawa Nitajitahidi.
Mwache mwache kidogo basi bi mkubwa ake.
Si unaona anavyodondosha points. 🙂
Ndio shida mtoto akiwa na maakili mengi, yaani taabu tupu!! Maswali yake sasa ya utotoni ndio yalikuwa balaa, bora hata alivyokua angalau napumua kidogo.
[emoji53][emoji53][emoji53]Uligegedwa
Nilikuwa nasikiza mada ya MASUALA YA NDOA Radio OneStereo, jamaa akadai Mume anaweza kuwa na pesa lakini akakosa mshauri wa kumshauri namna ya kuzitumia kama ulivosema na endapo Beki 3 akimpa ushauri tu kidogo anamwona wa maana kuliko Mke na hata ndoa kuvunja.Wapi huko?
Poa my kaka, za weweAnother dadake mie, mambo!
Poa.. upo.Shikamoo!
Asee hakuna kinachokera kama kutoa siri za ndani kwa mchepuko.Kuna this friend of mine, aligundua mumewe anachepuka akautafuta huo mchepuko. Afu worse enough mumewe ni one of those idiots ambao wanatoa siri za wake zao kwa michepuko. Kichambo alichokula + kumwagiwa siri zake, presha ilipanda hapo hapo
Haha mbona waumini watakoma kwa vichambo mweehAmeeen!! Mama mchungaji ktk ubora wako.