Haha afu sijaongeapo siku mingi banaDota hivi muda wa kulala haujafika tu!! Kitoto kinaongea hiki, Nalendwa naomba umchukue kwa muda tafadhali. Angalau siku moja tu.
Nimeshakwambia amenisaidia sana....na namuomba sana support yake. Kikubwa nampenda.Pamoja na kwamba unategemea sana akili zako( which is good) lakini support ya mwanamke wako itakupa hamasa zaidi, that is nature.
Hakuna mwingine zaidi yakeNi Rogie tu au kuna mwingine?
Haha kukaa kimya ni jibu la mjinga sometimes. Ujue kuna muda michepuko inakuchokonoa wee ili ikuvuruge, ikiona huyu mtu mbona hatikisiki inanyweaje. Panic uifurahisheSema tu sinaga maneno maana huwa naishiwa kuchambwa tu......[emoji125] [emoji16]
Si ni Valentina au kuna mwingine?Mmmmh!! Haya bwana.
Siku ukimuumba huyo wifi yangu naomba taarifa tafadhali.
Mara mbona kama hauko sawa leo just tell me am here for you!! Ohoooooo
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Kuna this friend of mine, aligundua mumewe anachepuka akautafuta huo mchepuko. Afu worse enough mumewe ni one of those idiots ambao wanatoa siri za wake zao kwa michepuko. Kichambo alichokula + kumwagiwa siri zake, presha ilipanda hapo hapo
Kuna this friend of mine, aligundua mumewe anachepuka akautafuta huo mchepuko. Afu worse enough mumewe ni one of those idiots ambao wanatoa siri za wake zao kwa michepuko. Kichambo alichokula + kumwagiwa siri zake, presha ilipanda hapo hapo