Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Eeh unashangaa zinaanza na zile, unakula nini leo, umevaaje weeeeeOkay, I see.
Ni kweli asee, halafu kama mkaka aliona potential zaidi upande huu, angeshawishika ki urahisi zaidi hata kama alikuwa hana mawazo mengine zaidi ya biashara.