Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Bi mkubwa kuna a point umeitaja kuhusu friendship na nimekuelewa. Wengi wetu soon after getting married tunawish kucut some old ties na jamaa/rafiki. But at some point I don't think kama it's good, coz for many years you have been using your friends to sustain, afu leo ndo unataka kuwatema mazima kisa you are married, nah. I understand kuna vitu vitapungua kidogo, maybe priorities etc, but isiwe reason ya kuwakacha Marafiki zetu, tena hii ni commonly between girls. Kila mmoja anamuona mwenzie lakini they don't fit in the same category, kumbe still kuna mambo mengi tu tunayoweza kushirikishana hata kama hayahusu ndoa Coz there is life apart from marriage

Bi mkubwa i guess uncle aliona possibly in the area of business unaweza ukamsaidia zaidi ya mkewe, was it wrong? Sio kila mtu ni mzuri kwenye biashara, I think mngesaidiana tu as long as you don't cross your limit.

Hiyo ya mke kumvunja moyo mume ni hatari kusema za ukweli. Kuna watu are naturally dream killers, Yani ukimshirikisha tu jambo lako atakukatisha tamaa huyo hadi ujute na unaweza kuacha kabisa kufanya jambo lako. Ndo unakuta mume anamtenga tu mkewe kwenye mambo yake afu akija kujua anajiliza, lia tu. Kumtia moyo mwenzio si hutaki, ngoja afanye tu vitu vyake kimya kimya ingawa ni vyema kuwa open na projects unazofanya, anything can happen anytime afu vitu vyako vikapotea bure

Mambo, mzima bibie?, basi nkakumiss.

Mie nilifikiri alipunguza urafiki wa kawaida akaachia wa kibiashara zaidi.
 
Bi mkubwa kuna a point umeitaja kuhusu friendship na nimekuelewa. Wengi wetu soon after getting married tunawish kucut some old ties na jamaa/rafiki. But at some point I don't think kama it's good, coz for many years you have been using your friends to sustain, afu leo ndo unataka kuwatema mazima kisa you are married, nah. I understand kuna vitu vitapungua kidogo, maybe priorities etc, but isiwe reason ya kuwakacha Marafiki zetu, tena hii ni commonly between girls. Kila mmoja anamuona mwenzie lakini they don't fit in the same category, kumbe still kuna mambo mengi tu tunayoweza kushirikishana hata kama hayahusu ndoa Coz there is life apart from marriage

Bi mkubwa i guess uncle aliona possibly in the area of business unaweza ukamsaidia zaidi ya mkewe, was it wrong? Sio kila mtu ni mzuri kwenye biashara, I think mngesaidiana tu as long as you don't cross your limit, kuna a a certain distance that has to be maintained honestly.

Hiyo ya mke kumvunja moyo mume ni hatari kusema za ukweli. Kuna watu are naturally dream killers, Yani ukimshirikisha tu jambo lako atakukatisha tamaa huyo hadi ujute na unaweza kuacha kabisa kufanya jambo lako. Ndo unakuta mume anamtenga tu mkewe kwenye mambo yake afu akija kujua anajiliza, lia tu. Kumtia moyo mwenzio si hutaki, ngoja afanye tu vitu vyake kimya kimya ingawa ni vyema kuwa open na projects unazofanya, anything can happen anytime afu vitu vyako vikapotea bure
Dota kuwa marafiki sio mbaya kwasababu in one way or another we need friends wa kusaidiana ktk mambo mbalimbali, kuna sababu zilizofanya nikate ties nae(sijazieleza hapo).
 
wote wangekuwa na mawazo kama haya aise viwanda vingechipuka kama uyoga
 
Mpaka nakwambia wewe ujue nishaomba ushauri sana huko nje mpaka nimefikia uamuzi huu naomba support yako sio kunikwamisha.

Safi sana...umewaza kama mimi...

Japo mara nyingi amenisaidia maamuzi mengi pia....huwa simtegemei sana. Zaidi akili yangu.

Hapo napo ni kama mimi vile...
 
Hekima ni kitu cha msingi sana, unfortunately sio kila mtu amepewa. Me kwanza kuanza kumpigia mtu simu kumtuhumu anatembea na mtu wangu aiseeee
Dota tunatofautiana sana when it comes to deal with issues! Kwahiyo nilimuelewa tu.
 
Mambo, mzima bibie?, basi nkakumiss.

Mie nilifikiri alipunguza urafiki wa kawaida akaachia wa kibiashara zaidi.
Me nimehisi bi mkubwa aliona huku kushirikishwa project kunaongeza mazoea maradufu. Imagine kila siku unapewa updates, kibinadamu haipo comfortable kihivyo sometimes. I guess kwa sababu mke hakuwa anatoa support kabisa, uncle akaconcentrate zaidi anaposupportiwa. Na huwezi tu ukamtafuta mtu na kumpa updates, lazima visalamu, utajichekesha kidogo etc

Nilikumissipo pia
 
Mimi bwana nipo tofauti, hasa kwenye mambo ya kutake risk za biashara huwa namuambia mchumba wangu nataka kufanya hivi naomba usinishauri tofauti. Mpaka nakwambia wewe ujue nishaomba ushauri sana huko nje mpaka nimefikia uamuzi huu naomba support yako sio kunikwamisha.
Nilimuambia hivyo wakati nataka kuacha kazi....mimi huwa sisikilizi negatives ninapoamini pana njia ya kutoboa. Japo mara nyingi amenisaidia maamuzi mengi pia....huwa simtegemei sana. Zaidi akili yangu.
Pamoja na kwamba unategemea sana akili zako( which is good) lakini support ya mwanamke wako itakupa hamasa zaidi, that is nature.
 
Hahaaaa I know...I know...

I'm kinda different...kinda eccentric...but an all around good guy😉.

But on the real, I really trust my judgement. Thus far it has never failed me....
Good for you. Ila sapoti ya mama kisura ikiwepo inakupa moyo zaidi right?
 
Dota kuwa marafiki sio mbaya kwasababu in one way or another we need friends wa kusaidiana ktk mambo mbalimbali, kuna sababu zilizofanya nikate ties nae(sijazieleza hapo).
Nakuelewa...... kumruhusu mtu wako arely sana kwa mtu mwingine, sio vizuri sana
Dota tunatofautiana sana when it comes to deal with issues! Kwahiyo nilimuelewa tu.
Maturity darlin
 
Sijui hata nichangie nn ila ant nimejifuza mambo matatu....
1>kumuheshimu mume
2>kumsikilizaaa l
3> kumuamini (lakini si kila jamboo)

Michaelray
 
Me nimehisi bi mkubwa aliona huku kushirikishwa project kunaongeza mazoea maradufu. Imagine kila siku unapewa updates, kibinadamu haipo comfortable kihivyo sometimes. I guess kwa sababu mke hakuwa anatoa support kabisa, uncle akaconcentrate zaidi anaposupportiwa. Na huwezi tu ukamtafuta mtu na kumpa updates, lazima visalamu, utajichekesha kidogo etc

Nilikumissipo pia
Yaani nyie bwana, hebu msitake nifunguke sana. Ila akili zenu zimenishinda.
 
Me nimehisi bi mkubwa aliona huku kushirikishwa project kunaongeza mazoea maradufu. Imagine kila siku unapewa updates, kibinadamu haipo comfortable kihivyo sometimes. I guess kwa sababu mke hakuwa anatoa support kabisa, uncle akaconcentrate zaidi anaposupportiwa. Na huwezi tu ukamtafuta mtu na kumpa updates, lazima visalamu, utajichekesha kidogo etc

Nilikumissipo pia

Okay, I see.
Ni kweli asee, halafu kama mkaka aliona potential zaidi upande huu, angeshawishika ki urahisi zaidi hata kama alikuwa hana mawazo mengine zaidi ya biashara.
 
Back
Top Bottom