Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Nimekuelewa sana aunt, najua ndoa pia inaanzia kwenye mahusiano yakikomaa ndo hatua ya ndoa. Nina mwanaume nnampenda huu ni mwaka wa pili hadi mtoto tunae anaelekea kujaza mwaka, yy amekuwa akinitia moyo hasa ktk bidii niyonayo maana tofauti na kufanya kazi yakuajiriwa najishughulisha na biashara ndgndg, lkn mm nimekuwa mckilizaji wa ndoto zake tu yy amesoma hajapata kazi lkn nilivyomsoma anaamini ktk kufanya kazi ya kuajiriwa Kwa suala lakujiajiri mmmh bado sioni mwitikio. Aunt nishauri mtu wa hivi ntamsapot vipi? Wkt Kwa suala LA kwenda Kwa wazazi anaona ni mapema kisingizio hana kazi wkt huo nawasiliana na mama yake kwamba kama familia wapo tayar kufuata taratibu tuoane lkn kijana wao yaani huyu baba mtoto ndo anawakwamisha niliumia sana na sikumwambia chchote. Hivi juzi kaja na wazo lakutaka kuanzisha biashara ya nguo za kike Kwa mtaji wa zaidi ya mill3 nilimwitikia ni nzuri lkn kiukweli sina mpango wakumpa hata elfu kumi yngu maana hata simuelewi mm naishi Kwa imani tu sasa. Nishauri mtu wa hivi namsapot nn na vipi?
Kwanza kuhusu hayo mambo ya kufunga ndoa hata ktk maelezo yako utaona tu ni kwanini anasita!!
Wanaume walio wengi hupenda kuoa pale anapokuwa tayari kiuchumi na kisaikolojia, ili ahakikishe atakuwa provider mzuri kwa familia yake kwa hali na mali pia.

Sasa kwa huyo wako bado hayuko tayari kwa vipengele hivyo haswa cha mali, mwanaume akiwa hana kipato anakosa kujiamini. Hiyo ya kumpa pesa ya mtaji ni utashi wa mtu na aina ya mahusiano mliyonayo. Kama kaja na wazo la biashara na hana mtaji, na unaona wazo lake na plan zake ni nzuri basi mshauri kuna njia nyingi za kupata mtaji, haswa zile njia zitakazo mfanya ajiongeze ili aweze kurudisha pesa hiyo.

Mtie moyo na ikiwezekana hata zile semina za ujasiriamali hakikisha unahudhuria nae then mnakaa mnajadili ni nini afanye kwa kujiongeza mwenyewe, usijifanye ndio controller wa kila kitu hiyo itamuongezea kutokujiamini, let him decide.
 
Asante sana, mm huwa sijifanyi mjuaji hata kidogo huwa namshirikisha kila kitu
 
Asante sana, mm huwa sijifanyi mjuaji hata kidogo huwa namshirikisha kila kitu
Vipi na yeye anakushirikisha kila kitu?
Utayari wake kwako unauonaje? Mengine tumia jicho la kike tu kumchunguza then jiongeze tu mama.
 
[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101]

Hakuwahi kumchafua mkewe hata!! Ni those kind of men ambae hawezi kumuongelea vibaya mkewe hata iweje. Hilo nililijua kupitia mke mwenyewe ktk chit chating.
Wewe uli-chitchat na mkewe hadi kujua kuwa jamaa hamsemi vibaya? Okay mama..ninekusoma..teh!!
 
Wewe uli-chitchat na mkewe hadi kujua kuwa jamaa hamsemi vibaya? Okay mama..ninekusoma..teh!!
Duuuh!! Jamaa is a friend of mine na nimekwambia hajawahi kumsema vibaya mkewe kwangu, wala kuzungumzia madhaifu ya mkewe.
Hayo mengine niliyajua kwa kuchata na upande wa pili. Bado haujaelewa baba?
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Kweli Mimi nilikuwepo mkichambana na Honey Faith!?? MIMI?

meme.jpg
 
Back
Top Bottom