Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
Good MorningGood morning brother.
Good MorningGood morning brother.
Uko poa my brother??[emoji125] [emoji125]Good Morning
Niko poa honey. Ujue nilipoteza namba yako itume tena pmUko poa my brother??[emoji125] [emoji125]
Hai aka thikaenda kena ijuma ibahaKiongozi, muovoe uo mjaluo utike noko ivuga[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nisamehe best, nimeelewa...was just trolling[emoji12]Duuuh!! Jamaa is a friend of mine na nimekwambia hajawahi kumsema vibaya mkewe kwangu, wala kuzungumzia madhaifu ya mkewe.
Hayo mengine niliyajua kwa kuchata na upande wa pili. Bado haujaelewa baba?
Hahahahaha..dah, ushee mtwi!!!Hai aka thikaenda kena ijuma ibaha
Nichora kesiovowa mpaka ikii.Hahahahaha..dah, ushee mtwi!!!
Kiongozi, muovoe uo mjaluo utike noko ivuga[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hai aka thikaenda kena ijuma ibaha
Hahahahaha..dah, ushee mtwi!!!
Wapare bwana!! Mtaacha lini?Nichora kesiovowa mpaka ikii.
Vantu vekaogoha
Japo umenichunia ila umenchekesha na hiyo no1 lolNimechukua haya kutoka kwako
1:Kumsikiliza(japo kuna sometimes mtu anaongea pumba hatari ila nitajitahidi)
2:Kumuheshimu(Hili halina ubishi)
3:Kumuamini(Kwa baadhi ya mambo...)
Hii ina ukweli.Sasa nilichojifunza ni kwamba mwanaume anapenda sana kusikilizwa,kuheshimiwa na kuaminiwa. Anaweza akaja na wazo lake ambalo ukiliangalia harakaharaka unaona kabisa hapa hakuna kitu, sasa sisi wanawake huwa tuna tabia ya kuwakatisha tamaa, unaweza kuguna mguno classic au kucheka kabisa kwa dharau kumuonyesha kuwa wazo lake ni la hovyo kabisa, ilihali hata wazo mbadala pia hauna.
Wazungu wanasema "constructive idea"Mpe nafasi ya kumsikiliza, then kama atakuomba ushauri mpe kama hauna bora umshauri atafute ushauri pahali sahihi, mtie moyo na umuamini kuwa anaweza, hata kama alikuwa na hofu na wazo lake kwa kumtia moyo na kumuamini itampa ari ya kulifanyia kazi vizuri zaidi.
Wakati mwingine tunaweza kuwa tunazima ndoto za akina Mengi wengi
Yule sijamkataa, ila unamlaghai mtoto wa watu, mwisho tuonekane wabongo wote viruka njia, au haujui unaliwakilisha taifa?Sister nitongozee basi maana nimezunguka afrika mashariki kila ninayempata unampiga vita.
Nitongozee wako .itabidi nimkubali tu