Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,242
Poa uncle baadaeTeh uncle wait mada moto iishe
Poa uncle baadaeTeh uncle wait mada moto iishe
Hahha mbona fent fontAseeh,
Nikishaona maandishi yamezidi aya tatu sisomi na ndicho kilichonifelisha shule na jana tu jina langu halikukosa kwenye fent font.
Cc espy msimulie kiwatengu
Umenifananisha mie sichambi labda nilikuwa nakupa factsHivi sio wewe uliniamulia siku ile ukanichamba weeee! Huku Mentor akiwa mpambe!!!
Nimeamua tu kukituliza ila hakuna cha manyau nyau au mapaka paka kama nikiamuaNaona manyau nyau kastaafu, maana siku hizi anatajwa mmoja tu!
Sasa kama unajulikana ndio balaa hilo!! Unakwenda tu unamshika mkono mnasepa.
Hunitaki Mimi nikuoewenye waume zao watakuelewa mi nafight mwenyewe bado
muoaji utakuwa wewe?Hunitaki Mimi nikuoe
Ni roho za uharibifu zilizomo ndani yao, hazitotulia till ndoa imevunjika waolewe wao. Kuna watu wana nyota za usecond best pheeew. Shindwaaa roho chafu
Aiiiii kwa hiyo misifa sasa khaaa mbona mtanipasua chogo langu
Nilikuwa nasikiza mada ya MASUALA YA NDOA Radio OneStereo, jamaa akadai Mume anaweza kuwa na pesa lakini akakosa mshauri wa kumshauri namna ya kuzitumia kama ulivosema na endapo Beki 3 akimpa ushauri tu kidogo anamwona wa maana kuliko Mke na hata ndoa kuvunja.
Kwanini jamani mie ndio mwenyewe sema tu upewe haki yako. Si unaona mvua hii. Alafu ukinipata huyajuta utabadili na jina utaandika MRS NIMEPATAmuoaji utakuwa wewe?
AsanteOkey, pole kwa safari.
Kwanini jamani mie ndio mwenyewe sema tu upewe haki yako. Si unaona mvua hii. Alafu ukinipata huyajuta utabadili na jina utaandika MRS NIMEPATA