Reception yenyewe unaijua, bado nikaiharibu tena akhuuuUkisikia kuchambwa au kupigwa si unatokaga baru wewe!! Sasa mnyaki gani huyo!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] balaa...Hahha wapo vizuri kwa kutoa makofi, makonde
Naona unahitaji mabanzi sasa[emoji15] [emoji15] [emoji15] balaa...
Huwa nawaona waajabu sana wanawake wanaorusha ngumi na mateke...
na kama ndiyo hivyo ile tetesi ya wanawake wa kanda za juu kusini ndiyo wanaongoza kwa sura mbaya inaweza kuwa kweli...
Haiingii akilini mwanamke mrembo kurusha miteke na mingumi.
hata wewe unayarusha hayo?Naona unahitaji mabanzi sasa
Sasa kama nayarusha, ntakuwaje cute?hata wewe unayarusha hayo?
acha iyo mambo bana u know ur cute eeh
mhhh...Sasa kama nayarusha, ntakuwaje cute?
Unavyotuona wanyaki ni laini laini?mhhh...
labda unayarusha yale ya upande mwingine!!
mwanamke ni delicate bana...laini ukinirushia hayo mabanzi si kuniongezea tu ashki ashki?
sina experience sana...Unavyotuona wanyaki ni laini laini?
Mmmh hongerasina experience sana...
Niliwahi kukutana na mrembo mmoja eneo moja linaitwa Iwiji, Mbeya vijijini huko, nilikuwa natokea Ileje!!
Mpaka tunafika Mbalizi binti ulaini ulishampata!! mbaya tu, nilikuwa naungaisha safari....ningepiga mzigo ningechoka sana! hasa kwenye overnight drive
Ushauri mzuri ,mliobahatika kupata waume mkiufanyia kazi, hakika ndoa zenu zitaongezeka, furaha ,amani, na kikubwa zaidi, uchumi wenu utaimarika.
sikula...ila kwa kuonekana tu ulaini ulikuwepo.Mmmh hongera
Haha usituchukulie poasikula...ila kwa kuonekana tu ulaini ulikuwepo.
Sidhani kama yule mrembo kama angeweza hata kurusha teke
Duuuh! Kumbe mzee uko vizuri bado!!sina experience sana...
Niliwahi kukutana na mrembo mmoja eneo moja linaitwa Iwiji, Mbeya vijijini huko, nilikuwa natokea Ileje!!
Mpaka tunafika Mbalizi binti ulaini ulishampata!! mbaya tu, nilikuwa naungaisha safari....ningepiga mzigo ningechoka sana! hasa kwenye overnight drive