Shikamoo uncleMpwa siku hizi hauna heshima hatuamkiani...
Hayo yaache msiba ni wa wifi yako sio wewe.Kwani nawe mtumishi fake my kaka niweke msiba?
Marahaba...Shikamoo uncle
Nikajua mmoja akose mwingine apate! Sasa mkikosa wote hiyo ni akili?
Kiwatengu nakusalimuOi oi oi...
[emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tatizo kila siku unabadilisha cheo, anashindwa kuelewa ashike lipi aache lipi!!
Hayo yaache msiba ni wa wifi yako sio wewe.
Kwa hiyo wewe unamawazo ya biashara kwa wanaume wengine eeeh?
Marahaba...
Hii mienendo ya kumkaushia anko ohooo sema mpo kwenye hot mada tu
Nimepokea salamu mkuu...Kiwatengu nakusalimu
Nzuri N.Uncle wake habari za leo. 🙂
Teh uncle wait mada moto iisheMarahaba...
Hii mienendo ya kumkaushia anko ohooo sema mpo kwenye hot mada tu
Ni poa mzuri wewe..niko Moshi nimefika muda si mrefuHabari kiwatengu!
Mmh Yani akili nyingine, chefuuu
Hahah ukute mchepuko wenyewe wa kinyaki, unakulaje mabanzi