Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Ni upumbavu zaidi ya ule wa Nabali. Na kuishi na mume wa hivyo, ni uwe na akili njema haswaa+ neema ya Mungu tuAsee hakuna kinachokera kama kutoa siri za ndani kwa mchepuko.
Ni upumbavu zaidi ya ule wa Nabali. Na kuishi na mume wa hivyo, ni uwe na akili njema haswaa+ neema ya Mungu tuAsee hakuna kinachokera kama kutoa siri za ndani kwa mchepuko.
Njema sanaPoa my kaka, za wewe
Mke ni mshauri wa mume, nafasi hiyo ukiichezea akaipata mwingine ni balaa hilo ktk ndoa hiyo.Nilikuwa nasikiza mada ya MASUALA YA NDOA Radio OneStereo, jamaa akadai Mume anaweza kuwa na pesa lakini akakosa mshauri wa kumshauri namna ya kuzitumia kama ulivosema na endapo Beki 3 akimpa ushauri tu kidogo anamwona wa maana kuliko Mke na hata ndoa kuvunja.
Asante sana ndiyo maana nakupendaHabari za jumapili wapendwa!
Kuna tukio lilinitokea na through that nikapata funzo kubwa tu.
Nina rafiki yangu(class mate) tulikuwa marafiki tangu shule, ila baada ya kuhitimu tukapotezana na hatukuwa na mawasiliano. Tukaja kuonana tena baada ya kama miaka 9 akiwa katika mchakato wa kuoa, urafiki ukarudi na tukawa na mawasilianao ya karibu tu. Baada ya kufunga ndoa nilianza kuweka kadistance maana mazoea sana na waume za watu sio mazuri.
Kuna kipindi alikuwa na wazo fulani kuhusu biashara na alinishirikisha tukashauriana vizuri na biashara ikafunguliwa na ikawa ikienda vyema.
Alipenda kunipa updates za hiyo biashara, na baadae akamuachia mkewe(wifi) aiendeshe then akawa na wazo lingine la project nyingine kubwa zaidi ambayo ingekwenda vizuri alikuwa na plan ya kuacha kazi ya kuajiriwa na kuiendesha mwenyewe.
Kutokana na kunishirikisha kwa karibu sana mambo yake, nikagundua mazoea yanakolea zaidi, nikaanza kumpotezea nikitambua yeye mtu mzima ataelewa tu. Alianza kulalamika sana maana mara nyingi nilikuwa sipokei call zake wala kujibu text zake, ikabidi nimwambie tu ukweli kuwa nisingependa hayo mawasiliano ya karibu namna hiyo. Japo kwa uchungu alinielewa ila aliomba sana nisipoteze mawasiliano nae kabisa.
Baada ya kama mwezi hivi nilipokea simu kutoka kwa mkewe akilalamika sana na kunilaumu akihisi nina mahusiano na mumewe, ilibidi nimtulize munkari then tulonge taratibu kiutu uzima.
Alilalamika kuwa kuna mambo mengi ambayo emekuta ktk mawasiliano baina yangu na mumewe ambayo yeye binafsi hayajui na hajawahi kushirikishwa. Hapo sasa ndio ikabidi niongee nae na kumuuliza vizuri kuhusu mawasiliano baina yake na mumewe, nikagundua sio supportive kwa mumewe na huwa hayaamini mawazo ya mumewe.
Sasa nilichojifunza ni kwamba mwanaume anapenda sana kusikilizwa,kuheshimiwa na kuaminiwa. Anaweza akaja na wazo lake ambalo ukiliangalia harakaharaka unaona kabisa hapa hakuna kitu, sasa sisi wanawake huwa tuna tabia ya kuwakatisha tamaa, unaweza kuguna mguno classic au kucheka kabisa kwa dharau kumuonyesha kuwa wazo lake ni la hovyo kabisa, ilihali hata wazo mbadala pia hauna.
Mpe nafasi ya kumsikiliza, then kama atakuomba ushauri mpe kama hauna bora umshauri atafute ushauri pahali sahihi, mtie moyo na umuamini kuwa anaweza, hata kama alikuwa na hofu na wazo lake kwa kumtia moyo na kumuamini itampa ari ya kulifanyia kazi vizuri zaidi.
Wakati mwingine tunaweza kuwa tunazima ndoto za akina Mengi wengi tu bila kujua kuwa kwa support yetu wangefika mbali sana. Hata akishindwa kwa mara ya kwanza mtie moyo na mwambie ajaribu tena na tena na atafanikiwa. Sio ndio unaanza na maneno kama "nilijua tu usingefika kokote"!!
Kama ulimuamini na kumchagua yeye kati ya wengi,basi hauna budi kuyaamini mawazo yake pia. Kuwa msaidizi ambae kila wakati atajivunia kuwa nae, hata akikengeuka akikumbuka mazuri yako mengi hakika atajirudi tu.
You're very bright sis darling. I don't mind if/when my wife seeks advice from her fellas. Kwanza inatupatia fikra pana zaidi, huenda mawazo yetu yasiwe very productive, kuna watu wana experience zaidi yetu, akiwauliza na kupata msaada wa mawazo is a positive thing for the family.Mmmh I agree with you on this. Unapofunga ndoa na mtu, jua huyo mtu ni mume, ni baba, kaka, shemeji, mjomba, rafiki kwako na kwa watu wengine etc, at one point kuna watu watamuhitaji na yeye kuna muda atahitaji watu wengine.
I know unaweza ukawa good, but sometimes you can't be good in everything. Kama kuna vitu ambavyo najua me siwezi kumsaidia as much as anavyohitaji, I don't mind akitafuta msaada kwa mtu mwingine trustworthy. Sema ndo iwe ananishirikisha na ananipa updates inaendaje and if I can help in my own lil way, basi inakuwa pouwah zaidi. Honestly hakuna mtu atakayependa kugundua mumewe anamshirikisha mtu mwingine mambo yake, afu yeye mke haambiwi unless huyo mke ndo awe wa kukatisha tamaa. Unampa tu taarifa unamuacha zake
Oouh naona kweli mada ni ya moto moto..Oooh karibu sana.
Tupo tunapiga soga kidogo.
Ukimess up unakula tu stick katikati ya Ibada haha, kanisani ntabaki tu na baba Mchungaji mbona[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tena wasikuletee ujinga kabisa ktk kazi yako. Lazima wawe kwenye mstari tu.
Kubwa la waongea shudu!! Hiki cheo umetoa wapi tena my kaka?Oouh naona kweli mada ni ya moto moto..
Wazungu wanasema the matter is very very hot . nisiwavurugie utaratibu endeleeni kudiscuss muda wa fungulia mbwa ukifika nitagi nije nihitimishe kubwa la waongea Shudu.
Unategemea na mtu na mtu[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inategemea.
Ni moja ya athari za ZOEZI la watumishi fake.Kubwa la waongea shudu!! Hiki cheo umetoa wapi tena my kaka?
Mpwa siku hizi hauna heshima hatuamkiani...Ukimess up unakula tu stick katikati ya Ibada haha, kanisani ntabaki tu na baba Mchungaji mbona
Thank you brod darlin. Sure cha msingi ni kushirikishana + kusupportiana tu kila kitu kiwe open, sio kufanya kitu behind your partner's back, hata mwenzako akigundua ndo yale anakuhisi vibaya. So far ni Maendeleo yenu wote, kwa nini ufanye siri?. Kuna watu wanakufa ghafla and mali zinapotea zote coz anafanya mambo sirini, mtu anadhulumu tu afu ulowaacha nyuma wanateseka kumbe una vitu ambavyo vingewasaidia sana once you are gone.You're very bright sis darling. I don't mind if/when my wife seeks advice from her fellas. Kwanza inatupatia fikra pana zaidi, huenda mawazo yetu yasiwe very productive, kuna watu wana experience zaidi yetu, akiwauliza na kupata msaada wa mawazo is a positive thing for the family.
Japo, katika hayo ni vizuri kushirikishana. Mke/mume anayejitambua atakuambia mawazo mbadala toka kwa watu wanaomsaidia mawazo.