MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,574
- 41,548
Ushirikiano wa kiroho upo wa kimwili upo hadi wa nyama kwa nyama unapatikanaNimekumiss mpenzi. Nahitaji ushirikiano.
chaguo lako ndio nasubiri
Ushirikiano wa kiroho upo wa kimwili upo hadi wa nyama kwa nyama unapatikanaNimekumiss mpenzi. Nahitaji ushirikiano.
Haha mtu anafunguka kitu chake amazing, mwingine anasonya tu hahha. Anatamani isiwe kweli kheee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwahiyo ili kujipa moyo inabidi useme tu "anapretend".
Tunavuruga wenyewe alafu tunatafuta mchawi ni nani,na watu ndio washajikatia tamaa yaani ilimradi tu.
Ushirikiano wote wote[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Ushirikiano wa kiroho upo wa kimwili upo hadi wa nyama kwa nyama unapatikana
chaguo lako ndio nasubiri
[emoji4][emoji4]Haya nimempisha.
Hahahaaaa! Huku unapiga "hovyoooooo!" Ya kimoyo moyo.Haha mtu anafunguka kitu chake amazing, mwingine anasonya tu hahha. Anatamani isiwe kweli kheee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kinakera, kinalimit nguo, kinafanya shape iwe kama mfuko wa unga
Kumbe bado mama?Kwa kweli hadi nimejisikia kuoana ghafla lol
Huwa nakupenda sana wewe binti, unajielewa sana na una akili sana.Sometimes ukiwa na mahusiano toxic na huna guts za kutoka na unaona umeshashindwa kuyabadilisha, all that you need ni kusikia mwingine anatestify vibaya kuhusu ndoa yake, that way unajisikia "ooh kumbe sipo peke yangu, ngoja niendelee kukaa", inafariji sana. Unawish kila mtu awe na maumivu kama yako (Si unajua mahusiano yetu kinachomatter zaidi ni kudumu, hata kama hakuna furaha mweeh)
Mtu akija akiisifia ndoa yake, utasikia tu "wewe lazima ndoa yako ni changa", as if ndoa zote zenye miaka mingi zote ni mbovu kama za kwao. Tunapenda kweli kugeneralise mambo, tulivyo sisi tunahisi na kila mtu yupo hivyo hivyo. Mungu atusaidie
Kuna watu mna bahati sana.Nachoshukuru ni kwamba sielewagi msosi wangu unaendaga wapi, nafukia Weee Ila still kimbaumbau khaa. Ila mwili ukiamuaga kuwa tukunyema mmmh
Safi sana.Haha mama yangu ni huyo huyo mmoja unayemfahamu[emoji85]
Kama ndivyo upendavyo sio mbaya, ila angalia tu na maradhi yasijekukuandama.Kuwa tukunyema ndo vzr
Ur welcome babyUshirikiano wote wote[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Maisha yako ni wewe wa kuyatengeneza, usitegemee smoothness maana kuna changamoto pia, are you mature enough to deal with them ili kukusogeza mbali zaidi? Changamoto zipo ili kutupush tufikie kule tutakapo ila kama utaichukulia tatizo basi lazima ufail!!Umeongea kweli kabisa dota, au mwingine akielezea mazuri basi itaonekana anapretend tu.
Eeh Mungu atusaidie tu.
Tujifunze kujifunza kwa waliofanikiwa, tuchukue yale mazuri.Eeh lazima uone wanapretend, maana ukipima ndoa yako labda na nyingine ulizozishuhudia in your circle; unajionea mauzauza tu.
Afadhali umwambie.Hahahaha.. Mimi nilitamani hako kakitambi nika kapata bila kutarajia sasa hv natamani katoke nirudi kwenye hali yangu ya zamani
Yani ananunaje hahahaHahahaaaa! Huku unapiga "hovyoooooo!" Ya kimoyo moyo.
Mama umesoma kichwa cha mada vizuri kweli!! Sijamuingilia mtu, kama hivyo ulivyo ndivyo upendavyo basi ni vyema kwako.inategemeana Huyo mwenzi wako kakupendea nn,wengine wamependewa utukunyema wao hivyo si vyema ukawaingilia
Ahsante sana mamaKumbe bado mama?
Karibu sana.
Oooh!! Kumbe huyu ndio bwana shemeji!!Nimekumiss mpenzi. Nahitaji ushirikiano.