Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,377
Kwa kweli hadi nimejisikia kuoana ghafla lolKaribu sana bi dada. Nafurahi kusoma uzi kama hizi za kuonyesha watu waliomo kwenye ndoa na wanaishi kwa maelewano hata kwenye afya zao wanashirikiana kwa faida zao binafsi na familia husika. Ni nadra sana kukuta habari kama hizi hapa JF, ni kuponda tu mahusiano na ndoa wanaume hivi wanaume vile, wanawake hivi wanawake vile lakini kuna Watanzania chungu nzima wanafurahia mahusiano yao ndoa zao pamoja na majaribuni chungu nzima yaliyokuwepo.

