Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Sometimes ukiwa na mahusiano toxic na huna guts za kutoka na unaona umeshashindwa kuyabadilisha, all that you need ni kusikia mwingine anatestify vibaya kuhusu ndoa yake, that way unajisikia "ooh kumbe sipo peke yangu, ngoja niendelee kukaa", inafariji sana. Unawish kila mtu awe na maumivu kama yako (Si unajua mahusiano yetu kinachomatter zaidi ni kudumu, hata kama hakuna furaha mweeh)Binadamu tunavyopenda bad news!!
Ingekuwa uzi wa kumbambika mume mtoto ingekuwa page ya 50 sasa hivi.
Ila angalau nyuzi za hivi zinatia moyo kuwa bado lipo tumaini.[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mtu akija akiisifia ndoa yake, utasikia tu "wewe lazima ndoa yako ni changa", as if ndoa zote zenye miaka mingi zote ni mbovu kama za kwao. Tunapenda kweli kugeneralise mambo, tulivyo sisi tunahisi na kila mtu yupo hivyo hivyo. Mungu atusaidie