Wanawake wenzangu, je ulivyo ndivyo upendavyo?

Umeongea kweli kabisa dota, au mwingine akielezea mazuri basi itaonekana anapretend tu.
Eeh Mungu atusaidie tu.
Mbona mimi nikijisifia mazuri yangu unaniita nshomile?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwani kuna ubaya nikikuita nshomile?
Hamna ubaya...ila asikwambie mtu hamna raha kama kuwa 'in-shape'
Unakuta mzee kama mimi hata nikiitwa bebi na akina cute b unaona poa tu. Sio mtumbo kule,mishavu huko then kitoto kinakuita bebi!
 
Kumbe mdogo wangu haujamchoka eeh!! Afadhali ule ugonjwa wako wa kuchoka watu haujampitia.

Ni raha sana kwakweli, ila sasa hii midomo na uvivu wa mazoezi unatuponza.
 
Sawa Mkuu umeeleweka. Nimekumbuka ile joke ya konda aliyeulizwa kwenye basi lake kuna abiria wangapi? Akajibu abiria 60 na mmakonde mmoja. Acha mmakonde aje juu, "Kwani mmakonde si ntu, kwani mmakonde si ntu" huku akiwa amejaa jazba ya hali ya juu.

Ha ha ha nshomile ni watu mkuu ila mimi si mmoja wao ila huyo espy kwasbabu hanikubali ananiita hivyo kunisanifu!
 
Kumbe mdogo wangu haujamchoka eeh!! Afadhali ule ugonjwa wako wa kuchoka watu haujampitia.

Ni raha sana kwakweli, ila sasa hii midomo na uvivu wa mazoezi unatuponza.
Kikubwa ni kuamua. Amua kuwa sasa napunguza uzito.

Inatia moyo siku hizi watu wana mwamko mkubwa wa mazoezi ila mazoezi bila ku-control chakula ni kazi bure.
 
Ukitaka uzuri shurti udhurike. Juhudi zenu sasa huna tatizo la kuchagua nguo moja baada ya nyingine ili kupata ile ambayo tumbo litakaa vizuri. Pia kuvua nguo mbele ya SO pamoja na picchu hakuna aibu tena ya kuogopa tumbo lililofutuka. Tumbo noma linaharibu shape kwa sana tu.

Kwakweli ni kujitoa kweli kweli, ni shughuli sio kidogo. Ila ukiyazoea usipofanya hujisikii vizuri.
 
Ha ha ha nshomile ni watu mkuu ila mimi si mmoja wao ila huyo espy kwasbabu hanikubali ananiita hivyo kunisanifu!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
We RRONDO acha kunisingizia!!!
Mimi kabisaa sikukubali!! Seriously!!
 
Kikubwa ni kuamua. Amua kuwa sasa napunguza uzito.

Inatia moyo siku hizi watu wana mwamko mkubwa wa mazoezi ila mazoezi bila ku-control chakula ni kazi bure.
Kwakweli mazoezi bila kucontroll chakula ni kazi bure, unless ufanye yale ya kufa mtu.
Mie najitoaga hata miezi mitatu ila nachoka naachana nayo, mazoezi ni wito jamani.
 
Ukitaka uzuri shurti udhurike. Juhudi zenu sasa huna tatizo la kuchagua nguo moja baada ya nyingine ili kupata ile ambayo tumbo litakaa vizuri. Pia kuvua nguo mbele ya SO pamoja na picchu hakuna aibu tena ya kuogopa tumbo lililofutuka. Tumbo noma linaharibu shape kwa sana tu.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Unanikuza.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom