BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,331
Uwe unafumba macho lol! Pole usiote ndoto mbaya leo. 🙂
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Unanikuza.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Unanikuza.
Nafumbaga sema nimeona bahati mbaya tu. Mie siotagi bwana.Uwe unafumba macho lol! Pole usiote ndoto mbaya leo. 🙂
Nafumbaga sema nimeona bahati mbaya tu. Mie siotagi bwana.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kama huoti bomba sana. Maana ungeamsha wapendwa wote nyumbani kwako huku ukipiga kelele JF JF! Lol! 🙂🙂
Yupi huyo??[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Nishajibu..Mama mzaa chema
Zile za ukweli ukweli au za jamvini?I miss those days[emoji24] [emoji24] [emoji24]
fumbua macho umuoneYupi huyo??[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Za ukweli ukweli.Zile za ukweli ukweli au za jamvini?
Nini tena we mwanamke?Toooooba!![emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134]
ophsss!!! Pole..Inabidi nikupeleke china wakakuformat ubungoZa ukweli ukweli.
[emoji40] [emoji40] [emoji40]Nini tena we mwanamke?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]ophsss!!! Pole..Inabidi nikupeleke china wakakuformat ubungo
Mbona bado wakumbuka sasa..Kazi haijafanyika vizuri nadhani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nishaufomart tayari.
Kwani dhambi kukumbuka jamani?Mbona bado wakumbuka sasa..Kazi haijafanyika vizuri nadhani
Sio dhambi..Ila unajitonesha kidonda..Na vile wajua sipendi kuona una huzuniKwani dhambi kukumbuka jamani?
Hahaaaa!! Wewe ndio umenitoa kwenye malengo maana nilikuwa nakuongelea wewe hapo.Sio dhambi..Ila unajitonesha kidonda..Na vile wajua sipendi kuona una huzuni